wahamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Wahamiaji haramu kutoka nchi za Kiislamu waleta fujo huko Georgia

    Polisi wa Georgia walipambana na wafuasi wa Beşiktaş wa Uturuki wakionyesha bendera zinazoitwa "za Palestina" na mabango ya "Wapalestina" wakati wa mechi ya Ligi ya Europa ya UEFA dhidi ya Hapoel Be'er Sheva ya Israeli. Maafisa walitumia dawa ya pilipili na fimbo, na kumwacha angalau mtu mmoja...
  2. Echolima1

    Wahamiaji haramu kutoka West-Bank wanaswa wakitaka kuingia Israel kinyemela!!

    Maafisa wa polisi wa mpaka wa Israeli kutoka kitengo cha Etzef Yerushalayim waliwakamata wahamiaji 8 haramu wa Kiarabu (waliovuka kutoka Ukingo wa Magharibi kuingia Israeli) wakiwa wamejificha ndani ya tanki kubwa la mafuta lililokuwa limesafirishwa katika eneo la mizigo la gari katika Tunnels...
  3. C

    Senegal: Watu 21 wamefariki baada ya boti ya wahamiaji kuzama

    Watu wasiopungua 21 wamefariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba wahamiaji kuzama katika pwani ya kaskazini-magharibi mwa Senegal. Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo imesema mtu mmoja ameokolewa, huku juhudi za kuwatafuta manusura wengine zikiendelea. Ajali hiyo imetokea Jumamosi karibu...
  4. M

    Kosa la kuruhusu kuficha majina ya asili ya kiafrika limewapa wahamiaji nafasi kubwa ya kupenya serikalini, jeshini, utawala na hata kuwa majasusi

    Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile George Jackson David Aisha Muhammad Nurdin Uhuru Baraka Amani Judith Christopher Benard Salehe Abdul Ally kunafuta utambulisho wa asili na...
  5. Echolima1

    Ufaransa waendelea kuvuna walichopanda- Kukaribisha wahuni wahamiaji wa kiarabu!!

    Mapigano mapya ya vurugu yalizuka kote Ufaransa leo huku waandamanaji wa Kiislamu wenye msimamo mkali wakipita Paris, Lyon na Bordeaux. Huko Paris, waandamanaji walirusha fataki, makombora na vinywaji vya Molotov kwa polisi, huku maafisa kadhaa wakijeruhiwa. Video zinaonyesha miali ya moto...
  6. C-C Digital Pro

    Civilian-Coin: Fikira za Ukombozi kwa Wahamiaji, wakimbizi, wafungwa na Ukombozi wake "Freedom is coming"

    https://youtu.be/8oZsLV_eFw0?si=0U9s3QabO1OqA8x_
  7. M

    Wahamiaji wasio na vibali wameanza kuelekea Marekani, wakiombea ushindi wa Democrats katika chaguzi ndogo utalainisha sera za Trump

    Msafara Mpya wa Wahamiaji Waelekea Kaskazini Kupitia Mexico, Wakitarajia Ushindi wa Democrats Katika Uchaguzi wa Katikati ya Muhula: Inaripotiwa kuwa washiriki wanatoka Honduras, Guatemala, El Salvador, Nicaragua, Haiti, Venezuela na Cuba. Kipindi cha Biden wahamiaji zaidi ya milioni 10...
  8. Eli Cohen

    France walijifanya vinara wa uhamiaji. Leo hii kizazi cha wahamiaji kutoka North na West Africa wanaunguza nchi. UK wao ni ubakaji umeongezeka

    Katika mipango ya kisasa ya EU ilikuwa ni kukumbatia sera la mlengwa kushoto (liberalism), ambao maudhui na haki za mashoga, kuspport course ya palestine na kupokea wahamiaji kiholela ndio zikawa focal points zao. Poland na hungary zilikata uhuni huu kwa kukataa sera za liberalism ambazo...
  9. uhurumoja

    Je kwa yanayotokea Ufaransa na Italy Kuna haja kuwalaumu South Africa kufukuza na kupinga wahamiaji!?

    Dunia inashuhudia namna mapokezi ya kibidamu yanavyoweza kugeuka na kuwa siraha Kali yenye kuharibu Wahamiaji waliopokelewa kwa ishara ya wema na ubinadam Leo inawagharimu wazungu wa Ufaransa na Italy Je afrika kusini walichukua hatua stahiki kuwafurumusha wahamiaji kutoka nchini mwao hususani...
  10. B

    TANZANIA na nchi za Afrika pamoja na Ghuba zatoa wito wa ulinzi imara zaidi kwa wafanyakazi wahamiaji - SADC

    08 October 2026 Tanzania together with African and Gulf countries calls for stronger protection of migrant workers - SADC https://m.youtube.com/watch?v=CW-uZzb3yUc Tanzania na nchi za Afrika na Ghuba zinatoa wito wa ulinzi mkali kwa wafanyakazi wahamiaji kadri uhamaji wa wafanyakazi kati ya...
  11. Jaji Mfawidhi

    Serikali ya Tanzania Kuondoa Wahamiaji Haramu kama Wenzetu?

    Afrika kusini wamekimbiza wahamiaji haramu, waliopitiliza vibali, waii, majambazi na wadaa poa , wanao jiuza kama ajira. Uganda wakafuata kufukuza wageni wa namna hiyo na sasa Kenya kuaznia leo wanafukuza , warundi wamejaa ubalozi kuomba passport na residency permitt. Je, Tanzania nasi tuanzie...
  12. M

    Wahamiaji 14 wafa maji kisiwa cha Mafia

    Wahamiaji wasiopungua 14 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Visiwa vya Comoro wamefariki dunia, huku wengine 22 wakiokolewa baada ya boti yao kuharibika karibu na Kisiwa cha Mafia nchini Tanzania, afisa wa eneo hilo alisema Jumamosi. Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo...
  13. M

    Afrika Kusini kimenuka maandamano ya kupinga waafrika wengine nchini humo

    Wamesahau kuwa waafrika wengine ndio waliowaunga mkono katika mapambano yao dhidi ya ubaguzi wa rangi! Leo waafrika toka nchi zingine ndio wanaowindwa na kufurumishwa bila heshima yoyote! Kwa maneno wanadai wanapinga wagamiaji haramu, kakini kwa vitendo wanavamia waafrika wowote na kuwatimua...
  14. Azniv Protingas

    Je, Maisha katika Nchi za Ulaya kama Uingereza (UK) ni Rafiki kwa Wahamiaji Wanaotafuta Maisha Bora?

    Kwa miaka mingi, nchi za Ulaya, hususan Uingereza (UK), zimekuwa kivutio kikubwa kwa watu wanaotafuta maisha bora. Wengi huamini kuwa huko kuna ajira nyingi, mishahara mikubwa, huduma bora za afya na elimu, pamoja na fursa za kujenga maisha yenye utulivu. Hata hivyo, swali la msingi ni: Je...
  15. Financial Analyst

    Report ya ubakaji nchini UK ilitoka na kuonesha wasichana 250,000 kama wahanga huku watuhumiwa wakuu ni wahamiaji kutoka pakistan na uarabuni

    RAPE GANG INQUIRY:https://t.co/EuKgGWBRhS Uingereza walijifanya sana kuwa na ubinadamu kuzidi watu wengine, wakawapokea wahamiaji kiholela kutoka nchi za kikobazi, kilichofatia ni UK kuwa kitovu cha magenge ya ubakaj na grooming barani ulaya.
  16. Abelaurent

    Duniani sisi ni wahamiaji kutoka Mercury

    Habarini wana wa JF, Natumaini mko salama na afya njema. Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine hawako katika hali nzuri kiafya, nawaombea pumziko na nafuu katika miili yenu. Ningependa uzi huu usomwe na “The JF Great Thinkers” pamoja na wadau wengine wote mnaopenda mijadala ya kina ya...
  17. Traxtion

    Al Jazeera wameshare video za wahamiaji wakipigwa South Africa

    I think kama hii kitu iko on the rise basi ni muda wa kurudi nyumbani. Like seriously how can you live with these people 🥷 Watu wavivu, masikini wasiopenda kufanya kazi, wanasingizia matatizo yao yote kwa foreigners Huwezi kukuta Msouth Africa aliyefanikiwa kimaisha akifanya huu ujinga. It's...
  18. Roving Journalist

    Katambi: Tumedhibiti wimbi la wahamiaji haramu, Uhamiaji imedhibiti na kufunga njia za vipenyo 1,777

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema katika kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu wanaoingia nchini. Idara ya Uhamiaji imedhibiti na kufunga jumla ya Vipenyo Elfu Moja Mia Saba Sabini na Saba vilivyopo maeneo mbalimbali nchini, vilivyokua vinatumika kuingia nchini kwa njia...
  19. Yoyo Zhou

    Kutoka “Shithole” hadi “Takataka”: ubaguzi wa rangi dhidi ya wahamiaji wa Afrika nchini Marekani wazidi

    Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
  20. R

    Jeshi la Polisi Mwanza limewakamata wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi, waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa kutumia usafiri wa magari Mawili tofauti ya abiria Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana, Novemba 23 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbroad...
Back
Top Bottom