vyama

  1. Pamoja na CHADEMA, Maridhiano shariti yahusishe TEC, SHURA YA IMAMU, TLS, THRDC, Wasiokua na Vyama ambao ndio waliuliwa Oktoba 29

    Bahati mbaya sana CCM Imejaa watu wajinga wàjinga wapuuzi, hawana akili, waliofeli feli, na safari zao za ELIMU za kuunga unga, kwa Bahati na kwa HILA na kwa kujipendekeza, wakayashika MADARAKA. Nasikitika sana Kuona kwamba, HAWAONI HATARI KUBWA ILIYOPO MBELE HATA KABLA YA 2030!!
  2. K

    Vyama Machawa akupendaye hakupi 2% wana wadharau sana CCM

    CCM inawaheshimu na kuwaogopa Chadema tu masikini hata ACT wazalendo wamebaki kama machawa. Sasa vyama vya kisanii ni kama vile vinaenda kupata uji na chai Ikulu na wamekuwa wapiga debe wakubwa wa CCM. Sasa cha kujiuliza pamoja na wizi wote wa kura yaani mnabakiziwa 2% na vibunge viwili au...
  3. Abdul Nondo: Wakati wa kujadili hatma ya taifa si wakati wa kushindana kwa vyama!

    Nimemsikiliza Abdul Nondo, na kwa kweli nadhani amekosea kutambua kipaumbele cha kisiasa cha wakati huu. Wakati wananchi na umma kwa ujumla wameelekeza nguvu zao katika kudai HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI kuhusu yaliyotokea nchini, yeye ameamua kurudisha mjadala kwenye ushindani wa vyama vya siasa...
  4. F

    Vyama vya upinzani vipo kikatiba, hayupo wa kuifuta CHADEMA tusidanganyane

    Kuna chama cha malaghai wanajaribu kuipitisha kwenye moto CHADEMA na kuitishia kuifuta endapo watagomea maridhiano ya kitapeli. Ukweli ni huu, wa kuifuta CHADEMA hajazaliwa Bado. Endeleeni kujidanganya.
  5. Katiba mpya ije ifute hivi vyama vinavyoongozwa na wafungwa wa magereza.

    Leo nimemsikia Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan akilihutubia taifa amesema katiba mpya itaanza kuchakatwa kuanzia 2029s, nitatoa maoni yangu ili hivi vyama vinavyoongozwa na wafungwa vifutwe Tanzania Kuna chama kinaongozwa na mfungwa wa magereza hii ni kwasababu katiba ya Nchi haijagusia suala...
  6. Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.

    Wanabodi, Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania. Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi? Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM? Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
  7. K

    Vyama hivi 2% vinawakilisha familia za watekwaji, vijana walio poteza maisha Oct 29, 2025!!! au uchawa?

    Vyama hivi 2% vinawakilisha familia za watekwaji, vijana walio poteza maisha Oct 29, 2025!!! au uchawa? familia zinauliza hata kama wamepigwa risasi wamezikwa wapi? watekwaji wako wapi?
  8. E

    Siasa za Tanzania zimeshavuka vyama, Maridhiano yanahitaji Wafanyakazi, Wasomi, Azaki, Wanaharakati, Wananchi

    Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuanzisha upya mazungumzo na vyama vya siasa, huku akiahidi kuanza mchakato wa marekebisho ya Katiba na maridhiano ya kitaifa, imeibua mjadala mpana kuhusu makundi yanayopaswa kushiriki katika kutafuta suluhu ya changamoto zinazoikabili Tanzania. Soma pia...
  9. K

    Kwasasa wahuni wote wanaojiita Vyama vya Siasa wanaohudhuria kinachoitwa maridhiano tuwatenge kwenye shughuli yoyote

    Wakuu natoa pendekezo kuwa wale wahuni wanaojiita vyama vya siasa wanaoshirikiana na wafiraji na watekaji tuwatenge kwenye mitaa yetu popote walipo.
  10. T

    Tuwatenge kwa namna zote wasaliti wanaojiita Baraza la Vyama vya Siasa

    Ndugu wana jamvi naombeni sana kwa wote wapenda haki na ukweli. Tuanze kuwaona na kuwachukulia hawa wanaojiita Baraza la vyama vya siasa kama Samia muuaji. Tusiwaone kama ni wanzetu. Tuwapelekee moto hasa kama tunavyompelekea moto huyo kimama chao zero brain. Tuko katika mapambano ya kuikomboa...
  11. M

    CCM iwaombe radhi Watanzania dhidi ya mauwaji,

    Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki Kwa MAONI YANGU, Juhudi zilizoelekezwa...
  12. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  13. Wanasiasa wa vyama vyote wapo kimaslahi binafsi

    Tusidanganyane et oh sjui Nan akiwa rais mambo yatabadilika mara oh upinzan ukichukua nchi mambo yatabadilika ,mambo kubadilika hii n asili tu ya maumbile ya kidunia lakin ukwel n kwamba hata chama gan kiingie asili ya mwanadamu ipo pale pale atadhulumu,ataua,atateka hata awe Nan? Hata Hawa...
  14. Kwanini vyama vya kitaaluma Tanzania havitetei wanataaluma wenzao? TLS anzeni na Lissu, fungueni kesi

    Nakumbuka Ulimboka,uliposhawishi madKitari waandamane,uling'olewa meno kwa bisi bisi pamoja na kucha,sijui sina hakika kama hakukuingilia kinyume na maumbile. Najiuliza, chama cha wanasheria akiongozwa na Mwabukusi mko wapi?mwaogopa kung'olewa kucha kwa plaizi?mwaogopa kufilwa?(Nani alienda...
  15. N

    Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025..!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025. Diplomacy should always be given a chance before the first bullet is shot. "MILITARY ACTION" must only be a decision of last...
  16. B

    Mabadiriko ya vyama vya siasa yawe hivi : mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais.

    ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu...
  17. Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kuwatia Hamas Magaidi!!

    Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kukiita Hamas kundi la kigaidi. Hawa ndio watu wanaotaka kushiriki katika serikali ya Israel. Wanapaswa kufukuzwa na kurudishwa Jordan! Yeyote aliyewapigia kura anapaswa kufukuzwa na kupelekwa akaishi Gaza. Vyama vyote vya waarabu...
  18. Gadi Eisenkot Kushirikiana na vyama vya waarabu kutaka kumshinda Netanyahu!!

    Israel: Kiongozi wa chama cha Ra'am, Mansour Abbas, anaashiria kuwa masharti yaliyowekwa na Gadi Eisenkot kwa ajili ya kuunda muungano hayatazuia chama chake kujiunga na serikali, kwa mujibu wa taarifa ya Channel 12. Masharti hayo manne ni Kuitambua Israel kama taifa la Kiyahudi na la...
  19. 1994, Rwanda walikaa kimya dhidi ya unafiki na chuki zilizkua zinahamasishwa na vyama vya siasa na taasisi za kidini kama ambavyo inafanyika Tz sasa.

    Please Please, My friends, ladies and gentlemen, tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta...
  20. S

    Hadi sasa, Netanyahu 53 seats. Eisenkot 48 seats, na Vyama vya waarabu 19 seats

    Wakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera. Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha? Alamusiki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…