Bahati mbaya sana CCM Imejaa watu wajinga wàjinga wapuuzi, hawana akili, waliofeli feli, na safari zao za ELIMU za kuunga unga, kwa Bahati na kwa HILA na kwa kujipendekeza, wakayashika MADARAKA.
Nasikitika sana Kuona kwamba, HAWAONI HATARI KUBWA ILIYOPO MBELE HATA KABLA YA 2030!!
ccm
chadema
haki
kidini
maridhiano
n.k
oktoba
oktoba 29
pamoja
siasa
sio
taasisi
taasisi za kidini
tec
thrdc
tls
vyamavyama vya siasa
wajinga
watetezi
wengi
CCM inawaheshimu na kuwaogopa Chadema tu masikini hata ACT wazalendo wamebaki kama machawa.
Sasa vyama vya kisanii ni kama vile vinaenda kupata uji na chai Ikulu na wamekuwa wapiga debe wakubwa wa CCM. Sasa cha kujiuliza pamoja na wizi wote wa kura yaani mnabakiziwa 2% na vibunge viwili au...
Nimemsikiliza Abdul Nondo, na kwa kweli nadhani amekosea kutambua kipaumbele cha kisiasa cha wakati huu. Wakati wananchi na umma kwa ujumla wameelekeza nguvu zao katika kudai HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI kuhusu yaliyotokea nchini, yeye ameamua kurudisha mjadala kwenye ushindani wa vyama vya siasa...
Kuna chama cha malaghai wanajaribu kuipitisha kwenye moto CHADEMA na kuitishia kuifuta endapo watagomea maridhiano ya kitapeli.
Ukweli ni huu, wa kuifuta CHADEMA hajazaliwa Bado.
Endeleeni kujidanganya.
Leo nimemsikia Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan akilihutubia taifa amesema katiba mpya itaanza kuchakatwa kuanzia 2029s, nitatoa maoni yangu ili hivi vyama vinavyoongozwa na wafungwa vifutwe
Tanzania Kuna chama kinaongozwa na mfungwa wa magereza hii ni kwasababu katiba ya Nchi haijagusia suala...
Wanabodi,
Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania.
Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi?
Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM?
Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
ccm
chama
chama kimoja
fikirishi
hapo
hii
inahitaji
kati
katiba
katiba mpya
katiba ya ccm
marekebisho
marekebisho ya katiba
mpya
mwaka
sio
swali
swali fikirishi
tanzania
vingi
vyamavyama vingi
wananchi
watanzania
Vyama hivi 2% vinawakilisha familia za watekwaji, vijana walio poteza maisha Oct 29, 2025!!! au uchawa?
familia zinauliza hata kama wamepigwa risasi wamezikwa wapi? watekwaji wako wapi?
Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuanzisha upya mazungumzo na vyama vya siasa, huku akiahidi kuanza mchakato wa marekebisho ya Katiba na maridhiano ya kitaifa, imeibua mjadala mpana kuhusu makundi yanayopaswa kushiriki katika kutafuta suluhu ya changamoto zinazoikabili Tanzania.
Soma pia...
Ndugu wana jamvi naombeni sana kwa wote wapenda haki na ukweli. Tuanze kuwaona na kuwachukulia hawa wanaojiita Baraza la vyama vya siasa kama Samia muuaji. Tusiwaone kama ni wanzetu. Tuwapelekee moto hasa kama tunavyompelekea moto huyo kimama chao zero brain.
Tuko katika mapambano ya kuikomboa...
Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya.
Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni.
Kwa mujibu wa matokeo ya...
baada
bila
bungeni
hana
israel
kiongozi
kukosekana
kuongoza
kushikilia
kuwa
madaraka
mkuu
mpya
muafaka
nchi
ndogo
netanyahu
nguvu
rais
serikali
uchaguzi
viti
vyama
waziri
waziri mkuu
zaidi ya
Tusidanganyane et oh sjui Nan akiwa rais mambo yatabadilika mara oh upinzan ukichukua nchi mambo yatabadilika ,mambo kubadilika hii n asili tu ya maumbile ya kidunia lakin ukwel n kwamba hata chama gan kiingie asili ya mwanadamu ipo pale pale atadhulumu,ataua,atateka hata awe Nan? Hata Hawa...
Nakumbuka Ulimboka,uliposhawishi madKitari waandamane,uling'olewa meno kwa bisi bisi pamoja na kucha,sijui sina hakika kama hakukuingilia kinyume na maumbile.
Najiuliza, chama cha wanasheria akiongozwa na Mwabukusi mko wapi?mwaogopa kung'olewa kucha kwa plaizi?mwaogopa kufilwa?(Nani alienda...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025. Diplomacy should always be given a chance before the first bullet is shot. "MILITARY ACTION" must only be a decision of last...
baada
ccm
chadema
chadema na ccm
katika
kumbukizi
kwenda
mazungumzo
meza
mmoja
mwaka
mwaka mmoja
uchaguzi
viongozi
viongozi wa chadema
viongozi wa vyamavyama
ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu...
Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kukiita Hamas kundi la kigaidi. Hawa ndio watu wanaotaka kushiriki katika serikali ya Israel. Wanapaswa kufukuzwa na kurudishwa Jordan! Yeyote aliyewapigia kura anapaswa kufukuzwa na kupelekwa akaishi Gaza.
Vyama vyote vya waarabu...
Israel: Kiongozi wa chama cha Ra'am, Mansour Abbas, anaashiria kuwa masharti yaliyowekwa na Gadi Eisenkot kwa ajili ya kuunda muungano hayatazuia chama chake kujiunga na serikali, kwa mujibu wa taarifa ya Channel 12. Masharti hayo manne ni Kuitambua Israel kama taifa la Kiyahudi na la...
Please Please,
My friends, ladies and gentlemen,
tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta...
Wakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera.
Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha?
Alamusiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.