vijana

  1. M

    Ni kitu gani kifanyike kupunguza tatizo la ajira kwa vijana mkoani MBEYA ?

    Miezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana Mandhari ya jiji la Mbeya imesambaa kwenye wilaya tatu ambazo ni, Mbeya CBD, UYOLE na MBALIZI. Kuna vijiwe vya vijana asubuhi utawakuta, mchana utawakuta, jioni utawakuta Mbeya kuna...
  2. Sisi baadhi ya vijana tuache ngono na ulevi kupindukia akina mama mikopo inawamaliza

    Kuna tatizo lipo na ni kubwa lifanyiwe kazi Ndugu zangu naanza na SISI vijana Baadhi ya SISI vijana tulio wengi tumekuwa wazinzi ,walevi na wavivu wa kufanya kazi si Wana wake wala wanaume Ulevi- nani kakwambia ulevi unaondoa mawazo ?hyo buku mbili ya dable kiki 2000 mara mwezi ni 60,000...
  3. K

    Mada: Uchambuzi wa Kina: Wimbo wa "Mary Maria" wa Vijana Jazz Orchestra (Mtindo wa Pamba Moto Awamu ya Pili)

    Habari za muda huu wana-JamiiForums na wapenzi wote wa Muziki wa Dansi (Zilipendwa). Leo naomba tuutazame kwa jicho la kiweledi wimbo wa "Mary Maria" ulioimbwa na bendi mashuhuri ya Vijana Jazz Orchestra (Wana Pamba Moto). Wimbo huu ulirekodiwa mwanzoni mwa miaka ya 1975 katika studio zetu za...
  4. Udereva ndio fani inayoongoza kwa ajira, ajira portal vijana tupambane tuwe madereva.

    Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri. Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na kupata check Number
  5. M

    Uzalendo hauna vipande, Vijana wa Tanganyika wamepoteza uzalendo wa Muungano wamehamishia uzalendo kwenye Pesa na vyeo tofauti na Wazanzibari

    UZALENDO HAUNA VIPANDE Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri. Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
  6. Kauli ya tafuta hela, inapotosha vijana.

    Inatakiwe isomeke na ieleweke kuwa ni tafuta kazi na si tafuta hela; ili kuweza kudumisha maadili na afya za vijana. Kwa sababu kazi ndio chanzo cha kupata hela. Hii ya kutafuta hela, ndio inapelekea vijana wengi kuwa legelege, kutembea huku wakiyumbisha makalio na kupelekea kuchagua chagua...
  7. Wazazi wanafiki hawafundishi IMANI vijana wao

    Huu ni ukweli usio pingika kuwa wazazi wengi hawapati Muda wa kuwafundisha vijana wao swala la imani, kwamba elimu ya shule, na Nyumba ya ibada ndio sehemu pekee tumejifunza tunayo yajua. Na kibaya zaidi dini zote tulizonazo wabongo zinafundisha hasa, usifanye hichi ni dhambi fanya bidii kwenye...
  8. F

    Je vijana hasa Gen Z watakubali na kuzuzuliwa na uteuzi wa Ndejembi ili waunge mkono udhalimu?

    Hotuba ya rais Samuya wakati akimuapisha makamu wa rais wa mashaka na mizengwe akisema kuwa wamewapa vijana umakamu. Je, nii ni hila ya kuwahadaa vijana hasa Gen Z kuingia mkenge kuwa wameshirikishwa kwenye uongozi kupitia machawa? Je. vijana watakubali kuwa sehemu ya CCM ambayo ndiyo chanzo...
  9. John Heche:Je Betting itaondoa umaskini kwa vijana?

    Betting itaondoa umasikini kwa vijana? Kilimo hakuna watu, Betting ina watu!!!!
  10. A

    KERO Kamari imekuwa janga kubwa, Vijana tuungane kutokomeza janga hili

    Kamari imekuwa janga kubwa, hasa kwa vijana na watu wengi kwa ujumla. Imeua ndoto nyingi na kusababisha watu kupoteza mali, kazi na hata maisha. Zaidi, michezo ya kubashiri mtandaoni kama casino, Aviator, JetX na mingine imekuwa changamoto kubwa kutokana na urahisi wa kuifikia. Hakuna dalili...
  11. M

    Kwa nini mijimama mengi yaliyoachika huwa yanafungua grocery na huwanasa vijana

    Nimefanya tafiti na kugundua mijimama mingi iliyovunja miji huwa inafungua biashara ya grocery . Hapo ndipo huwa inawanasa vijana wadogo wadogo na hutumia juju kali sana.
  12. Maandiko yanasemaje kuhusu vijana wa kiislam walio mashoga kuhusu wao kupokea thawabu ya mabikra 72 kama wengine?

    Tuseme nae amechangia kufanya jihad na akafa kama mpambanaji. Akipokewa huko, atapewa mabikra hawa kama straight men wengine? Sasa najiuliza, atawaweza kweli? Au kuna mbdadala wake ?😁
  13. Dkt. Evaline Munisi: Ughaibuni Loan ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
  14. M

    Hizi hasira za baadhi ya vijana wa Tanganyika ni wivu na chuki ya kuona kijana kama wao kapewa cheo chenye uhakika wa maisha mazuri hadi kifo

    Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani. Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
  15. Afunga Wi-Fi ya Bure Usiku Kupata Ulinzi wa Vijana Bila Gharama

    TAMALE, GHANA – Mmiliki mmoja wa jumba kubwa la kifahari (mansion) katika mji wa Tamale nchini Ghana, amegundua mbinu ya kipekee na ya kijasusi ya kuimarisha ulinzi wa nyumba yake kwa kutumia teknolojia ya internet. Mwanaume huyo, ambaye ripoti zinasema alikuwa akikabiliwa na changamoto ya...
  16. EFM Radio: Kocha anayelawiti na kulawitiwa na vijana achukuliwe hatua

    Nilileta uzi humu kuhusu malalamiko ya huyu kocha lakini MODS waliufuta kwa madai ya kuwa kijana aliymtuhumu kocha amekiri kusema uwongo. Leo EFM wamejadili suala hili, na hapa nawaletea link msome wenyewe: https://www.instagram.com/reel/DcfmfofMFS_/?igsi=NjA1c2lkYnljN3gw
  17. Vijana, thamani yako haipimwi na kiasi cha pesa ulichonacho. Usikubali kuingizwa kingi na wanawake

    VIJANA, THAMANI YAKO HAIPIMWI NA KIASI CHA PESA ULICHONACHO. USIKUBALI KUINGIZWA KINGI NA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wengi leo wanaishi chini ya shinikizo kubwa ili kuthibitisha thamani yao kupitia pesa. Unaambiwa bila pesa huwezi kupendwa, kuheshimiwa au kuwa mwanaume...
  18. Viongozi Wataka Ushiriki Mkubwa wa Vijana katika Ubunifu wa Kidijitali Afrika

    Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
  19. Vijana muacheni Rais Samia afanye anavyoviweza, hawezi kuridhisha kila moja

    Watanzania wenzangu, hasa vijana, jikiteni kwenye kuzitafuta fursa. Achana na siasa vijana wenzangu, acheni kutumia mitandao ya kijamii kutoa maneno yasiyo mazuri kwa viongozi. Kumbuka Mungu anatutazama, ipo siku utaeleza kwanini ulitumia maneno hayo ya matusi na dhihaka. Mama Samia ni Mtulivu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…