Miezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana
Mandhari ya jiji la Mbeya imesambaa kwenye wilaya tatu ambazo ni, Mbeya CBD, UYOLE na MBALIZI.
Kuna vijiwe vya vijana asubuhi utawakuta, mchana utawakuta, jioni utawakuta
Mbeya kuna...
Kuna tatizo lipo na ni kubwa lifanyiwe kazi
Ndugu zangu naanza na SISI vijana
Baadhi ya SISI vijana tulio wengi tumekuwa wazinzi ,walevi na wavivu wa kufanya kazi si Wana wake wala wanaume
Ulevi- nani kakwambia ulevi unaondoa mawazo ?hyo buku mbili ya dable kiki
2000 mara mwezi ni 60,000...
Habari za muda huu wana-JamiiForums na wapenzi wote wa Muziki wa Dansi (Zilipendwa).
Leo naomba tuutazame kwa jicho la kiweledi wimbo wa "Mary Maria" ulioimbwa na bendi mashuhuri ya Vijana Jazz Orchestra (Wana Pamba Moto). Wimbo huu ulirekodiwa mwanzoni mwa miaka ya 1975 katika studio zetu za...
Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri.
Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na kupata check Number
UZALENDO HAUNA VIPANDE
Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri.
Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
Inatakiwe isomeke na ieleweke kuwa ni tafuta kazi na si tafuta hela; ili kuweza kudumisha maadili na afya za vijana.
Kwa sababu kazi ndio chanzo cha kupata hela.
Hii ya kutafuta hela, ndio inapelekea vijana wengi kuwa legelege, kutembea huku wakiyumbisha makalio na kupelekea kuchagua chagua...
Huu ni ukweli usio pingika kuwa wazazi wengi hawapati Muda wa kuwafundisha vijana wao swala la imani, kwamba elimu ya shule, na Nyumba ya ibada ndio sehemu pekee tumejifunza tunayo yajua.
Na kibaya zaidi dini zote tulizonazo wabongo zinafundisha hasa, usifanye hichi ni dhambi fanya bidii kwenye...
Hotuba ya rais Samuya wakati akimuapisha makamu wa rais wa mashaka na mizengwe akisema kuwa wamewapa vijana umakamu. Je, nii ni hila ya kuwahadaa vijana hasa Gen Z kuingia mkenge kuwa wameshirikishwa kwenye uongozi kupitia machawa? Je. vijana watakubali kuwa sehemu ya CCM ambayo ndiyo chanzo...
Kamari imekuwa janga kubwa, hasa kwa vijana na watu wengi kwa ujumla. Imeua ndoto nyingi na kusababisha watu kupoteza mali, kazi na hata maisha.
Zaidi, michezo ya kubashiri mtandaoni kama casino, Aviator, JetX na mingine imekuwa changamoto kubwa kutokana na urahisi wa kuifikia.
Hakuna dalili...
Nimefanya tafiti na kugundua mijimama mingi iliyovunja miji huwa inafungua biashara ya grocery .
Hapo ndipo huwa inawanasa vijana wadogo wadogo na hutumia juju kali sana.
Tuseme nae amechangia kufanya jihad na akafa kama mpambanaji.
Akipokewa huko, atapewa mabikra hawa kama straight men wengine?
Sasa najiuliza, atawaweza kweli? Au kuna mbdadala wake ?😁
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu
MAFAO BAADA YA KUSTAAFU
Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani.
Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
TAMALE, GHANA – Mmiliki mmoja wa jumba kubwa la kifahari (mansion) katika mji wa Tamale nchini Ghana, amegundua mbinu ya kipekee na ya kijasusi ya kuimarisha ulinzi wa nyumba yake kwa kutumia teknolojia ya internet.
Mwanaume huyo, ambaye ripoti zinasema alikuwa akikabiliwa na changamoto ya...
Nilileta uzi humu kuhusu malalamiko ya huyu kocha lakini MODS waliufuta kwa madai ya kuwa kijana aliymtuhumu kocha amekiri kusema uwongo.
Leo EFM wamejadili suala hili, na hapa nawaletea link msome wenyewe:
https://www.instagram.com/reel/DcfmfofMFS_/?igsi=NjA1c2lkYnljN3gw
VIJANA, THAMANI YAKO HAIPIMWI NA KIASI CHA PESA ULICHONACHO. USIKUBALI KUINGIZWA KINGI NA WANAWAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana wengi leo wanaishi chini ya shinikizo kubwa ili kuthibitisha thamani yao kupitia pesa. Unaambiwa bila pesa huwezi kupendwa, kuheshimiwa au kuwa mwanaume...
Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
Watanzania wenzangu, hasa vijana, jikiteni kwenye kuzitafuta fursa. Achana na siasa vijana wenzangu, acheni kutumia mitandao ya kijamii kutoa maneno yasiyo mazuri kwa viongozi. Kumbuka Mungu anatutazama, ipo siku utaeleza kwanini ulitumia maneno hayo ya matusi na dhihaka.
Mama Samia ni Mtulivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.