My Take
-Programu ya BBT inaendelea
-Programu ya kuchimbia wakulima wadogo visima vya Bure inaendelea
-Programu ya mbolea ya ruzuku inaendelea
Vijana, wanawake 97 wakabidhiwa mashamba ya BBT-II BahiVijana na wanawake 97 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wamekabidhiwa ekari 500...
Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri Kifungo cha Tundu Lissu Kitawaamsha Usingizini Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanapenda sana Uropokaji mihemko kutukana Matusi na kutoa lugha chafu mbaya na hatari kwa Usalama wa Taifa letu.
Walikuwa wanahisi pengine Sheria inaangalia sura ama cheo cha mtu kisiasa...
Humo kambini nyarugusu kuna vipaji vya kutisha , kwanzia muziki , mpira na hata uchekeshaji.
Hawa vijana wa kambini hawana uhuru kamili ila ukiwatazama , wana vipaji vikubwa na ujasiri mara kumi ya vijana wetu.
Kuna vijana wakibembe unaona kabisa wangepewa sapoti na serikali yetu...
Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza.
Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
gani
hali
hata
kamwe
kilio
kujikomboa
kujikwamua
kulia
kuomba
kusaga
kusaga meno
kutoka
kutumia
kwenda
mbaya
meno
mlango
msaada
mtakuja
mtego
nchi
vijana
Bhana wee miaka hiyo dar es salaam, temeke sudan kam sikosei ilibamba stori kali iliyo washangaza watu wengi.
Ili husu vijana wawili waliojifanya waganga wa kienyeji wanao safisha nyota za warembo, ilikua hivi ukifika pale kwenye chumba chao, unapewa masharti ya kufanya mapenzi na majini...
Nairobi, Kenya — Hali ya taharuki na mshangao imezuka mitandaoni kufuatia kusambaa kwa video fupi inayoonyesha kundi la vijana wakifanya vitendo vya hatari barabarani huku gari likiwa linaendelea kusafiri.
Katika video hiyo inayosambaa gari jeupe aina ya Toyota lenye namba za usajili za Uganda...
Waziri wa wizara ya vijana, pole Kaka vijana wa mjini wamekuingiza chaka.
Waziri wa kilimo Bashiru wewe umepigwa chenga la mwili linaitwa mwana ukome na utakomeshwa.
Ila vijana wa umoja wa vijana ccm Mungu anawaona kwa ili tunawashukuru
==
"kuna zaidi ya bilioni 120.48 zimetolewa kwa mwaka...
Inashangaza mno vijana wakichaga haswa wa kiume kuteswa na mapenzi badala ya pesa na hangover , sichelei kusema tunaenda kupoteza utambulisho wetu rasmi🤔
Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿
UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600.
Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linaendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio lililotokea tarehe 03.11.2026 muda wa asubuhi baada ya kundi la vijana jamii ya Kimasai kudaiwa kuvamia maboma ya jamii nyingine ya Kimasai na kuchukua mifugo huko katika Kijiji cha Kimnyaki, Wilaya ya Arumeru...
Hamjambo wote!
Lema anahaki ya kuongea atakachoongea. Kulingana na maoni yake yanayoendeshwa na uelewa wake, maslahi yake na na muono wake. Hiyo ni haki yake.
Lakini Lema atafanya Kosa la kiufundi ikiwa atadhani anaushawishi ndani ya CHADEMA.
Huo ushawishi hana.
LEMA ajue Chadema ndio...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka.
Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi"
Au...
Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga Kampala, wakati akichangia hoja bungeni jana Oktoba 30, 2026, amesisitiza kuwa ili nchi iweze kutekeleza mipango yake ya maendeleo kwa mafanikio, inapaswa kuwekeza kwa dhati na kulinda nguvu kazi ya vijana ambao ndio asilimia 70 ya wananchi wote wa Tanzania...
Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
afrika
bara
kutokana
mkubwa
mkuu
muhimu
mustakabali
mwigulu
mwigulu nchemba
pamoja
uwezo
vijana
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
▪︎ Ataka viongozi wa Afrika wazingatie uwezo mkubwa walionao vijana
▪︎ Ashawishi matumizi ya Kiswahili kwenye mikutano ya jukwaa hilo▪︎
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Afrika kwa umoja wao waangalie mustakabali wa vijana wa bara hilo kwa vile wana uwezo mkubwa licha ya...
“NIKAE KUWA MWIZI? NIMEJARIBU KUJIAJIRI, LAKINI BADO NAKAMATWA NA JIJI!” — KIJANA ALALAMIKIA KUKAMATWA KWA KUFANYA BIASHARA
Kijana mmoja ameeleza masikitiko yake baada ya kukamatwa na askari wa Jiji kwa madai ya kufanya biashara, akisema amekuwa akijitahidi kujitafutia riziki kwa njia halali...
Hali ya kuchanganyikiwa au kuwa na mkazo mkubwa wa kisaikolojia (stress/confusion) huathiri mfumo mzima wa ubongo, hasa maeneo yanayohusika na kufikiri, kufanya maamuzi, na kudhibiti hisia.
Tunapozungumzia ubongo wa mtu aliyechanganyikiwa au aliyefikishwa katika kiwango cha ugumu mkubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.