Hii Business Idea ni Idea ya kawaida sana ambayo vijana wengi wanaweza kufanya inachohitaji tu ni utayari,muda na mtaji kidogo.I
tabadilisha sana mfumo wa Utendaji katika sekta husika na pia itaongeza thamani ya huduma kwa wateja.Ina potential ya kutengeneza Mapato makubwa sana kwa vijana hawa...
Umuhimu wa vijana kupiga kura
Kupiga kura. Neno linalofafanuliwa kama " maoni au upendeleo." Dhana inayojulikana na Watanzania wote kwa kuzingatia mambo yetu mengi juu ya nchi hii huamuliwa na uchaguzi. Rais, wabunge na madiwani wote wanapigiwa kura na watu ili kuweza kupata nafasi ya...
Habari wakuu.
Naombeni uzoefu kwa wale wenye experience hasa wajasiriamali wadogo wadogo Biashara ni ya kusaga na kupack na kuuza viungo vya vyakula. Ndio inaanza anza lakini nafikiria nipate vijana wanisambazie kwa kuanzia Dar es salaam na maeneo yake.
Wazoefu nijibuni baadhi ya dukuduku...
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema unyanyapaa dhidi ya watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya Ukimwi umezidi kuwa kikwazo katika kukabiliana na maambukizi mapya ya ugonjwa huo.
Pamoja na changamoto hiyo unyanyapaa umechangia kwa kiwango kikubwa wenye maambukizi kutokuwa...
Kama siyo mbinu ya JPM Kupiga Marufuku mikutano ya kisiasa tangu Alipoingia Madarakani, sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine kabisa, Nina Imani hata kitendo cha kuvunja katiba ya Nchi makusudi ni baada ya Kuona CCM ilivyozidiwa ktk Kampeni za Uraisi, 2015. Binafsi Mimi siyo mfuasi wa Chama...
Ndugu zangu! Sote tunafahamu kazi kubwa ya wandisi wanaohitimu katika vyuo vyetu ajira zao nyingi zilikuwa zinapatikana kupitua kampuni za ujenzi.
Kumbukeni miradi mingi katika nchi ni ile ya serikali, kama zahanati, barabara za vijijini, majengo ya madarasa, mabweni, na shughuli nyingine...
Wote wameshatangulia mbele ya haki; kwenye picha hiyo ni Nyerere tu aliyekuwa na umri zaidi ya 60, wengine wote walikuwa chini ya 55
L-R: (1) Halahala, (2) Sozigwa, (3) Nyerere, (4) Mbita, (5) Mkapa
Serikali yatoa mamilioni kwa vijana, wanawake na walemavu bila riba kujikwamua kiuchumi
SERIKALI wilayani Bunda mkoani Mara imetoa mikopo kwa vikundi vya wajasiliamali kiasi cha zaidi ya Tsh. milioni 600 zinazotokana na fedha za makusanyo ya mapato ya halmashauri na Serikali kuu.
Serikali...
Vijana sisi ni watu wenye nguvu sana katika Historia mambo mengi makubwa yalifanywa na watu wakiwa katika umri wao wa ujana mfano hao kina Malcom X, Marcus, Martin Luther, Mandela, Nyerere na wengineo Historia inawazungumzia mpaka leo kwasababu ya waliyoyafanya wakiwa vijana at their 20's and...
Rais Jakaya Kikwete Pamoja na mapungufu yake mengi ya corrupt system aliyokuwa ameijenga lakini alifanikiwa kutoa Ajira kwa watanzania kila mwaka,kupandishwa madaraja kwa wafanyakazi kila mwaka,kupeleka wafanyakazi kusoma kila mwaka na mengine mengi.
Tanzania watu wanaingia kwenye soko Ajira...
Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM...
Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye Sandusky la kura kuanzia kwenye udiwani, ubunge na hata kwenye uraisi.
CCM mko hatarini na kikombe niki...
Inafahamika kuwa Viajana wa CCM ndio vijana wenye upeo mdogo Sana wa kufikiri katika mambo muhimu yanayohusu nchi na Dunia.
Vijana Hawa Ni tofauti na vijana wa nchi nyingine Hapa Afrika na Duniani.
Wakati vijana wa vyama vya Upinzani na wa nchi nyingine huwa wanauchungu wa kweli wa nchi zao...
Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla.
Tunaamini yapo...
Wanajamvi,
Kwa wale ambao wamefuatialia “Tanzania demographics”, watakubaliana na mimi. Lakini pia kama upo Tanzania utaelewa ninachosema.
Lakini kuna mabandiko mengi ambayo nilikwishazungumzia kuhusu “Tanzania Demographics”, haswa kwenye thread za kuhusiana na “COVID-19”. Ambapo niliweka...
Serikali imewataka viongozi vijana kuacha tabia ya kujiona kila kitu wanakijua katika ofisi, hivyo kuharibu taasisi.
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Dk. Laurean Ndumbaro, wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya uongozi ngazi ya...
Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15
Background
The International Center for Not-for-Profit Law (ICNL) is an international not-forprofit organization that promotes an enabling legal environment for civil society, freedom of association...
Nini kimeifanya CCM iachane na idea ya Dr.Bashiru ya kutokutumia wasanii?
Tena alidai ujumbe katika nyimbo za kina Diamond, Harmonize, Ali Kiba, Zuchu, Dula Makabila, etc haziwachomi MABEBERU.
Hebu msikilizeni alichokisema hapa.
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza...
Nina imani wengi wetu humu JamiiForums tumetoka kwenye familia za kawaida, nikimaanisha kuwa tumeishi na wazazi wetu kwenye nyumba za tofali hata kama zilikua za kupanga, tumekua tukiwa na uhakika wa Milo mitatu kwa siku, kila siku, na ada ya shule haikusumbua sana wazazi.
Vijana wengi tumeishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.