vijana

  1. K

    Kama Serikali inawapoteza Vijana wenye maono kama haya wanataka Taifa la aina gani?

    Wakuu, habari za muda huu. Nimekutana na kipande hiki cha video cha kumbukumbu cha mwanaharakati na kiongozi wa vijana, Twaha Mwaipaya, ambaye mpaka sasa bado hajulikani alipo tangu ripoti za kutekwa kwake mwishoni mwa Oktoba 2026. Katika video hii, Mwaipaya anasikika akitoa msimamo mzito kuwa...
  2. Vijana tafuteni ajira; teuzi zinazunguka ndani ya ukoo wa panya

    Hizi teuzi za juzi ambazo Rais Samuya alitanua goli ili kuwaongezea ulaji watu wake zimenishangaza sana. Kama kuna kijana anasubiri uteuzi badala ya kutafuta kazi ajiajiri mwenyewe, ataendelea kusubiri hadi Yesu atakaporudi. Hakuna sura mpya hata moja iliyoyoingizwa ndani, teuzi zinazunguka...
  3. A

    KERO Vijana tunajiajiri, lakini tunaporwa mali zetu. COSOTA wanashirikiana na wahuni?

    Habari mimj ni kijana niliejiajiri kwenye kurusha movie maarufu kama Library, kuna changamoto imejitokeza watu binafsi wameanzisha kampuni ya kusambaza movie na wamejimilikisha uhalali wa movie zote za Tanzania na nje. Mbaya zaidi, COSOTA inawasapoti hadi kupelekea kuingia mtaani na kuanza...
  4. Tutahiri Vijana wetu.wakiwa na umri wa kujielewa ili kuwajengea ujasiri na kupunguza ombwe la ushoga

    Unajua zoezi la kutahiri siyo la mchezo mchezo pamoja na kuchoma ngazi kuna mda ganzi inakata kijana anaanza kusikilizia maumivu. In short huo ndo uanaume wenyewe sasa siyo kutahiri kitoto hata hakijui nini kinaendelea, Siyo rahisi mtoto wa kiume aliyeshuhudua dudu ikikatwa halafu aje awe...
  5. Fursa za AFCON 2027- vijana tuchangamke

  6. O

    Sikuhizi vijana wavivu kwenda chuo tatizo nini?

    kijana kafaulu vizuri ana qualify mkopo, chuo n.k kifupi hana cha kukosa kulingana na sifa zake ila sasa hataki kwenda chuo kwa muda husika anakaa mtaani anasema ataenda next year . Mwaka unaofata haendi wala huoni pilika pilika anakuwa bodaboda mtaani mtu na divishen one tatizo nini ukiacha...
  7. Kuna haja ya utafiti jinsi punyeto inavyowaepusha vijana na magonjwa ya zinaa

    Badala ya kila siku watu kutueleza madhara ya punyeto kuna haja sasa ya watafiti kufanya utafiti na kutuletea faida za punyeto. Tunahitaji kupata data za idadi ya vijana walioepushwa na magonjwa ya zinaa kupitia punyeto. Nina uhakika kama kila hamu ya tendo ingeishia kwenye ngono magonjwa kama...
  8. Ndejembi kuzindua mfumo wa uwezeshaji vijana 155,000 wasajiliwa

    Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, anatarajiwa kuzindua Mfumo wa Uwezeshaji Vijana (YES), ambao tayari umesajili vijana 155,000 katika kipindi cha majaribio kabla ya kuzinduliwa rasmi. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika Novemba 23, 2026...
  9. Shukrani kwa taasisi zinazobadilisha maisha ya vijana wa Kitanzania kupitia ajira

    Katika kipindi ambacho changamoto ya ajira imeendelea kuwa kubwa nchini, tunapaswa kutambua na kuthamini taasisi ambazo zimekuwa zikifungua milango ya fursa kwa vijana wa Kitanzania. Baadhi ya taasisi hizo ni: PSRS โ€“ Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma VETA-Elimu ya Mafunzo na Ufundi...
  10. A

    KERO Vijana tulioshiriki ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma tutapata lini mrejesho wa ahadi za Waziri?

    Vijana tulioshiriki katika ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tulipewa matumaini makubwa baada ya kuitwa na Waziri wa Ulinzi jijini Dodoma, ambaye alituahidi mambo makubwa ndani ya muda mfupi. Hata hivyo, mpaka sasa ni takribani miezi miwili imepita bila kupata mrejesho wowote kuhusu...
  11. F

    Uelekeo sahihi ni kuongeza kuzaana, ujerumani kufikia 2045 itakuwa Haina vijana wa kufanya uzalishaji

    Imeripotiwa kuwa, mwaka 2025 Nchi ya ujerumani ilikuwa na vijana milioni 83. Kutokana na uwepo wa idadi ndogo ya vijana walio tayari kuzaa watoto, nchi Yao imegoma kukua, Imeripotiwa kuwa kufikia mwaka 2045, idadi ya vijana itakuwa milioni 81 pekee, Sasa hiyo ni miaka ishirini mbele ambapo...
  12. M

    Vijana wetu wa IT wa Tanzania mnakwama wapi kutengeneza app mbadala za Bolt zitazowaumiza Bodaboda kwa makato makubwa ?

    Kila siku tunasikia kilio cha ndugu zetu wa Bodaboda na Bajaji wakilalamikia makato makubwa (commission) kutoka kwenye hizi app za usafiri za nje. Wanafanya kazi kubwa juani na mvua, lakini jasho lao linaishia kwenye makato yanayoenda Bolt Vijana wetu wa IT wa Tanzania, mnakwama wapi? au ndio...
  13. K

    Vyama hivi 2% vinawakilisha familia za watekwaji, vijana walio poteza maisha Oct 29, 2025!!! au uchawa?

    Vyama hivi 2% vinawakilisha familia za watekwaji, vijana walio poteza maisha Oct 29, 2025!!! au uchawa? familia zinauliza hata kama wamepigwa risasi wamezikwa wapi? watekwaji wako wapi?
  14. C

    Tetesi: Baraza la Mawaziri 2030 kusheheni vijana wa kazi wanaojua siasa.

    Waziri 2030 tulidhani hii kazi haipo CCM - Ndani ya Balaza La Mawaziri
  15. Mafanikio ya vijana wa Dar yanachekesha sana

    Kijana wa Dar akiwa na hivi vitu tayari kamaliza kazi. Kinachobaki kwake ni bata na mademu 1. Bed Sofa 2. Tv inch 32 3. Viatu vya ghorofa 4. Meza ya kuweka mtungi wa gesi 5. Taa ya kuwaka marangi rangi chumbani 6. Hela ya kulipa taka 7. Router 8. Feni Akijitahidi saana ana kiwanja cha 15X15...
  16. L

    Ndani ya Muda Mfupi Sanaaaa Lissu Kasahaulika ,Pambalu Kapuuuzwa. Vijana wa CHADEMA ni Lazma Wajifunze Kuacha Kufuata Mkumbo na kutumika Kuharibu Nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Vijana wa CHADEMA ni lazma wafahamu kuwa usije kufanya vurugu ama kuvunja sheria kwa makusudi kwa kufikiri kuwa Utasaidiwa na mtu ukiingia kwenye Mkono wa sheria. Lazima ufahamu Mchuma Janga hula na wa Kwao. Ukivunja sheria utadonolewa wewe Kama wewe na kufikishwa...
  17. F

    Vijana wa Afrika wataandamana lini kutaka haki, maisha bora na uhuru kama wenzao wa Ulaya?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Vijana wa Afrika wanaumia sana kuliko mtu yeyote tokana na kuzaliwa kwenye mifumo chakavu na kifisi na kifisadi. Je, watalianzisha lini lau dunia ijue wapo? Nawasilisha. Bila vijana wa Afrika kuamua, wasitutegemee sisi wazee tuliowaangusha kwa kuogopa na kujiangalia.
  18. H

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii nchini. Serikali itaendelea kukamilisha vifaa vya mafunzo na miundombinu iliyobaki ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š...
  19. Siri Nzito Yafichuka kwa vijana hawa waliokutwa Goba!

    Vijana kuleni, maisha ni mafupi, kula nyama na pombe uwezavyo, mambo ya figo ni majaliwa tu!
  20. Hivi mzazi nawezaje kuruhusu mtoto wako afanye ngono na bado ukataka vijana wafungwe akifumaniwa?

    Mzazi na akili zako timamu unamchoma binti mdogo sindano au unamuweka kijiti mwanao, ukiwa na lengo la kuzuia mimba. Hivi hii na kumruhusu kufanya ngono atakavyo kuna tofauti gani? Ameshajua anachomwa sindano au anawekwa kijiti asipate mimba. Maana yake anao uhuru wa kufanya ngono atakavyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ