video

  1. Umoja wa Wafanyabiashara wa Library za Video Iringa Watishia Kutofanya Kazi na Umoja Movies

    UMOJA wa wafanyabiashara wa filamu maarufu kama Library za Video mkoani Iringa umeazimia kusitisha kwa muda kufanya kazi na kampuni ya Umoja Movies, ili kutoa nafasi kwa viongozi na wawakilishi wa wadau kukutana na kampuni hiyo kujadili changamoto zinazodaiwa kujitokeza katika mfumo mpya wa...
  2. Video: Uhaini wa Lissu uko hapa

    Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani? Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu...
  3. Hii video ya wasira inaonyesha taswira halisi ya ngozi nyeusi

    Msikilizeni huyu mzee akipigania ubunge dhidi ya Ester
  4. Kama sio Football Video Support (FVS) basi wachezaji wawili wa Simba wasingepewa redcard

    Huu ni ukweli ambao ni wachache wanauona kama sio Football Video Support (FVS) basi leo hii watu wangeishia tu kulalamika kwamba jabar na duchu walistahili redcard sana sana watu wangesubiria kamati ya masaa 72 itoe hukumu Viongozi wa simba miaka nenda rudi wamekuwa wakilalamika kwamba...
  5. M

    Video ya CCTV camera ikionyesha utekaji wa Peter Richard Mushi Kariakoo

    Huyu kwenye video Anaitwa Peter Richard Mushi ni fundi simu Kariakooalipigiwa simu tarehe13/8/2026 na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mteja anahitaji kutengenezewa simuAlimwelekeza alipo lakini mteja akataka ndugu peter amfuate maeneo ya china plaza alipofika china plaza Alikutana na huyo mteja...
  6. Video: Mwanamke adhurika vibaya baada ya kula chips zinazosemekana kukaangwa kwa mafuta ya transfoma

    Wakuu mko poa, Kipindi cha nyuma nadhani 2016 wakati Muhongo akiwa waziri aliwahi kupiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa mapishi ya chips, wakati huo zilikua ni tetesi tu kua kuna wauza chips wasio waaminifu wanatumia mafuta ya transfoma. Sasa leo nimekutana na video ya simulizi...
  7. VIDEO : RAPID INDUSTRIALIZATION COULD TRIGGER ELECTRICITY SHORTAGE - TRADE MINISTER WARNS

    Trade Minister Sanjay Tanna has warned that Uganda could face load shedding within the next year unless urgent measures are taken to expand electricity supply. Tanna said wealthy investors should be encouraged to install rooftop solar systems under the Presidential CEO Forum and feed excess...
  8. M

    VIDEO: Hili somo la David Kafulila sasa naona limeeleweka kwa Watanzania

    == Mkurugenzi David Kafulila ameendelea kusimama kama sauti ya kizazi kipya cha viongozi wanaoelekeza Watanzania kwenye mustakabali wa taifa lenye uchumi ulio mkubwa ambao ni shindani na unaoshirikishisha watu wengi. Katika hotuba na mijadala yake, amesisitiza kuwa DIRA2050 si ndoto ya...
  9. VIDEO: “We shall not be polite to thieves,” Minister Balaam Barugahara.

    “We shall not be polite to thieves,” Minister Balaam Barugahara. So far 10 CAOs interdicted. NEW VISION REPORTS
  10. Video: Stendi ya Magufuli ilivyojaa Mabasi baada ya tangazo. Yagezwa Parking ya Mabasi

    Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza...
  11. Kamati za Usalama za Wilaya ni watuhumiwa Wasiojulikana

    Umofia kwenu Nisiwachukulie muda, tazama na sikiliza hii video Tulishawasanua awali kuwa matukio yote ya utekaji, utesaji, ufiraji na mauaji huratibiwa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa Moja ya ushahidi ndo huo hapo juu
  12. Tuwapongeze TFF kwa Video Support kwenye ligi, So far so good

    Inakera sana makosa ya kibinadamu yakitumika kudhoofisha jitihada za timu, makocha na wachezaji kuwekeza kwenye ushindi wa timu kiwanjani. Football Video Support (FVS) kwenye ligi ya NBC mpaka sasa imeleta utulivu wa hali ya juu. Kelele juu ya waamuzi mpaka sasa hazijasikika au ziko kwenye...
  13. VIDEO: Afariki dunia baada ya kugongwa Na lori lililo beba Ciment

    Tukio hili limetokea Asubuhi ya leo majira ya saa 3 katika Barabara ya kutoka kongowe kuelekea Twangoma. Ambambo lori lilifeli Breki likiwa kwenye mwendo kasi. Dereva wa Bodaboda alifariki mara tu baada ya ajali, Mpaka muda huu abiria alie panda pikipiki hiyo nae ni majeruhi na yupo...
  14. Video: Ukiulizwa kwanini haufanyi mazoezi jibu lako litakua ni lipi ? Mdau amejibu kwa kushangaza sana

    binafsi nakosa muda mixa kauvivu na pia sina company ya watu wa kwenda nao mazoezi, je wewe sababu yako ni ipi video: https://vt.tiktok.com/ZSVLwaS17/
  15. Video: Wenye wake zenu wanaoenda gym kuna ushauri wenu huku

    hakika mazoezi ni muhimu kwa afya mma hata madaktar wanatushauri lakini kuna mengi yanazungumzwa juu ya wake za watu na matrainer, tazama video kisha tuambie maoni yako...
  16. Natafsiri youtube video kuwa maandishi

    Kwa mwenye uhitaji wa kutafsiriwa video au kitabu au makala kutoka lugha ya kingereza kwenda kiswahili, whatsap/sms/piga 0756704145
  17. Tengeneza sabuni kupitia video hii

    Angalia hii tutorial kisha fanya majaribio. Usisahau kushare nasi matokeo hapa.
  18. POTOSHI Video ya wakati wa kampeni imetumika kuonyesha matukio ya uchaguzi mkuu nchini Zambia

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, ikiambatanishwa na madai kwamba leo nchini Zambia, siku ya uchaguzi mkuu, polisi wametumia risasi za moto na mabomu ya machozi kuwatawanya wapiga kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura kwa tuhuma za uvunjifu wa...
  19. Video: Nifundisheni na mimi AI

    https://youtube.com/shorts/sNRkCxTNwsw?si=zY5a8w0jsQ8nDxgJ
  20. Video:- Mama mlokole akamatwa akiwanga Babati

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mama Gift, mkazi wa Kitongoji cha Mbugani, Kijiji cha Magugu wilayani Babati, amenusurika kushambuliwa baada ya kudaiwa kukutwa usiku akifukia dawa zinazohusishwa na imani za kishirikina katika nyumba ya jirani. Mwanamke huyo mara baada ya kugundulika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…