video

  1. Dalton Elijah

    SI KWELI Video hii inayodaiwa kuwa ya Mwanamfalme Harry pamoja na mkewe Meghan ni halisi?

  2. comrade_kipepe

    Hivi huyu Mwandishi anayejiita ZUNGU, yupo sawa kichwani?

    Kaandika pumba nyingi sana humu, halafu mwenyewe anajiona JASUSI 🤣🤣🤣 Ila bongo bana, ukiweza kuandika maandishi marefu sana na kuyapangilia kuhusu jambo lolote lile basi nawewe ushajivika ubobezi. Unaishauri serikali ikatae Starlink eti sio salama kwa usalama wa taifa, hivi nawaza marekani...
  3. Eronda

    FALSE TikTok video claiming Dr Kizza Besigye was "rushed to America" and "seems to have died

    Tunachokijua(What we Know).
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Hutaki tuvujishe Video zako za uchi baki na mkeo/mumeo. Ukifanya uhuni tegemea lolote usitegemee serikali

    HUTAKI TUVUJISHE VIDEO ZAKO ZA UCHI BAKI NA MKEO/MUMEO. UKIFANYA UHUNI TEGEMEA LOLOTE usitegemee SERIKALI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Yule Shahidi Jeuri. Anakuja sasa anasema mumpishe! Tunakupisha aiiseeh! Wewe unatakaje! Hii ni michezo ya kihuni Babu. No rules huku kuzimu. Michezo ya...
  5. J

    VIDEO: Tazama David Kafulila Akieleza Jinsi PPPs Inavyoweza Kuihami Tanzania Dhidi ya Migogoro[Crisis] za Kiuchumi Duniani

    Wasalaam Jf, Ukweli ni kwamba huyu jamaa anajua sana Uchumi. 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 PPP INAWEZAJE KUTULINDA DHIDI YA MISUKOSUKO YA UCHUMI WA DUNIA? Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, Bwana David Kafulila, anasema, PPP Centre na mfumo mzima wa PPP vinalisaidiaje Taifa pale dunia inapokumbwa na misukosuko mikubwa...
  6. Traxtion

    Ukifanyika utafiti Tanzania tunaweza kuwa nafasi ya juu sana Afrika katika nchi zinazoongoza kuvujisha video za utupu wa watu mitandaoni

    In recent years Tanzania kumekuwa na video za watu wengi sana ambazo zimevuja mitandaoni zikionesha wakiwa wanafanya ngono. Hapa siongelei porn acting/ porn industry, hapana. Naongelea video za wapenzi wawili wanaojirekodi wakifanya ngono na kisha mmojawapo anazipost mitandaoni na zinasambaa kwa...
  7. youngkato

    Jifunze kutengeneza na ku-edit video zako mwenyewe kwa kutumia CapCut!

    Unataka kuwa Content Creator, lakini bado unategemea watu wengine kukufanyia video editing? Ni wakati wa kujifunza ujuzi huu muhimu. Kupitia CapCut unaweza kujifunza: ✅ Ku-edit video kitaalamu. ✅ Kuongeza subtitles na captions. ✅ Kuweka transitions na effects. ✅ Kuongeza muziki na sound...
  8. youngkato

    Unataka kujifunza video editing kama pro lakini huna pesa ya kulipia kozi? Nina habari nzuri kwako! 🔥

    Fikiria kuwa na uwezo wa kutengeneza video zinazovutia, zenye transitions nzuri, effects za kuvutia, maandishi yanayosogea na audio iliyopangwa kitaalamu, ukitumia simu yako tu! Unajua kitu kizuri zaidi? UNAWEZA KUJIFUNZA CAPCUT BURE! Watu wengi wanatamani kuwa Content Creators, Video Editors...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa hapa Tanzania, Hakuna sehemu inawaka Jua kali kama kwetu Makanya, Same, Mkoa wa Kilimanjaro

    KWA HAPA TANZANIA, HAKUNA SEHEMU INAWAKA JUA KALI KAMA KWETU MAKANYA SAME, MKOA WA KILIMANJARO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimesikia watu wakilia na kupiga mayowe. Oooh! Jua kali. Oooh! Siku za mwisho. Oooh! El nino! Yaani kilio wakilalama hali ya hewa kuwa mbaya kutokana na kile...
  10. Da Dona

    Viral Video of Student Struggling to Speak English Sparks Debate on Education Standards in Western Uganda

    Video: A video showing a Senior Five student struggling to express themselves in English during a conversation with Local Government Minister Balaam Barugahara has sparked debate about English proficiency and the quality of education in government-aided secondary schools in western Uganda. In...
  11. Archival Sense

    VIDEO - Minister Balaam Shocked by Wooden Bridge that Costs UGX 500M Per Year in Maintenance Fees

    Courtesy Video
  12. leroy

    Video: Uchumi wa Kenya ni mkubwa kwa karibu 57% kuliko Tanzania. Je, ndiyo imara zaidi?

    https://youtu.be/37pkGJHxis0 Kwa makadirio ya IMF ya Oktoba 2026, thamani ya Pato la Taifa kwa bei za sasa ni takribani dola za Marekani bilioni 151.2 kwa Kenya na bilioni 96.2 kwa Tanzania. Kwa mwaka huo huo, uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 6.0, dhidi ya asilimia 4.5 kwa...
  13. K

    Kama kweli hizo video za "connection" za wanafunzi ni "spinning" zimelenga kuhamisha mjadala, wahusika wanaua Taifa

    Nianze kuweka wazi kwamba si muumini wa kutazama mambo ya faragha za watu toka utoto wangu hata video pendwa za X sijawahi kuangalia, hivyo hata hizi connection naishia kusoma comments za watu na maelezo ya viongozi na kuangalia hatua wanazochukua Mitandao imefurika connection ya mwanafunzi...
  14. Dronephonex

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin. Polisi wamdaka na kutoa maelezo haya…

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin,polisi wamdaka nakutoa maelezo haya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetangaza kumkamata kijana aitwaye Kelvin Daniel, mwenye umri wa miaka 26, kwa tuhuma za kumrekodi mwanafunzi wakiwa faragha na kusambaza picha...
  15. Damaso

    Sakata la video ya Kelvin na mwanafunzi: Tunafuga ujinga ambao unatuumiza

    Kila takwimu za mimba za utotoni zinapotoka, mfano ule mchanganuo wa wanafunzi zaidi ya 9k waliopata mimba kati ya mwaka 2021–2022, jamii ya watanzania illipuka balaa. Watoto 9k sio wachache, huku maswali yakiwa mengi, je usalama wa watoto wa kike upoje? je wataendelea kusoma? Watasoma kwa...
  16. PureView zeiss

    Video: Kwa utapeli huu sioni sababu ya kununua gari kwenye baadhi ya yard

    Ebu fikiria tapeli anashusha milage kutoka km 160,000! Hadi km 1,1970 alafu bila kujua kuwa used car yenye milage kiasi hicho bei inakuwa sawa na mpya. Serikali ingieni Kati kusaidia wananchi dhidi ya utapeli huu kwenye baadhi ya yard...tunajua baadhi ya wauze magari wamenyooka ila wengi wao ni...
  17. Da Dona

    VIDEO: “Life is Never Straight… Especially When You Support Manchester United”

  18. Manyanza

    Video: Mume alipia kodi ya nyumba miaka 14, nyumba ya mkewe

  19. M

    Video inayoonyesha watoto wa kiislamu wakiwa kwenye mafunzo maalum ya chuki kali ya kidini, huku wakiimba chenja za kuwaua Wakristo

    Nigeria: Mwalimu wa Baraza la Izala (JIBWIS), Baraza rasmi kubwa la Kiislamu Nigeria na ukanda wa Afrika Magharibi, amerekodiwa video akiwaongoza watoto wanaopatiwa mafunzo maalum ya kuchukia dini nyingine hususan Wakristo. Katika video hiyo mwalimu huyo anawafundisha watoto kuimba nyimbo...
  20. leroy

    Video: Sarafu ipi ya Afrika Mashariki imeshikilia thamani yake vizuri zaidi katika miaka 10?

    https://youtu.be/7XUF3in8wzQ Habari wanajukwaa, Video hii inalinganisha sarafu tano za Afrika Mashariki dhidi ya dola ya Marekani, kuanzia 2016 hadi tarehe 6 Novemba 2026. Zote tano zimepoteza thamani, lakini tofauti ni kubwa: Uganda: takriban -16% Tanzania: takriban -18% Kenya: takriban...
Back
Top Bottom