Kila takwimu za mimba za utotoni zinapotoka, mfano ule mchanganuo wa wanafunzi zaidi ya 9k waliopata mimba kati ya mwaka 2021–2022, jamii ya watanzania illipuka balaa.
Watoto 9k sio wachache, huku maswali yakiwa mengi, je usalama wa watoto wa kike upoje? je wataendelea kusoma? Watasoma kwa...