utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HOJA Mnaoenda kunua viwanja Bagamoyo, Kibaha, na Kigamboni kuweni makini; kuna utapeli wa kutisha huko

    Wakuu, hayo maeneo ni hatari kwa utapeli wa viwanja, kiwanja kimoja mnauziwa watu kumi. Nenda kwa umakini hayo maeneo, jasa Bagamoyo unakuta ni pori lakini ni mali za watu, wenyewe wapo mjini wametulia na hati zao mifukoni. Jichanganye utalia.
  2. Polisi Dar: Tunachunguza tukio la mtu aliyetuhumiwa kufanya utapeli akiwa na sare za jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limebaini kuwepo kwa picha mjengo kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ikionesha mtu anayedaiwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi akiwa amevaa sare ya Jeshi la Polisi akituhumiwa kufanya utapeli/wizi wa pesa. Uchunguzi umeanza mara moja na ikithibitika...
  3. Utapeli ni mwingi nchi hii....mko wapi, mnaendeleaje na biashara zenu?

    Kuna wale walihamasika kufuga kware miaka ile, mko wapi? Biashara inaendeleaje sasa? Wapi wale wa vanila? Wapi wale wa mr. Kuku? Wapi na wale wengine mliokuwa fursa za wengine labda mmefanikiwa pengine?
  4. Serikali tazameni ili kuhusu simu za mikopo zina utapeli mkubwa

    Kuna utapeli nahisi umepewa baraka na hupo tanzania umejificha kwenye mikopo ya simu na vifaa vingine. Embu angalia simu ya laki mbili unalipa laki nane. Hii riba benki kuu wana fahamau
  5. Video: Kwa utapeli huu sioni sababu ya kununua gari kwenye baadhi ya yard

    Ebu fikiria tapeli anashusha milage kutoka km 160,000! Hadi km 1,1970 alafu bila kujua kuwa used car yenye milage kiasi hicho bei inakuwa sawa na mpya. Serikali ingieni Kati kusaidia wananchi dhidi ya utapeli huu kwenye baadhi ya yard...tunajua baadhi ya wauze magari wamenyooka ila wengi wao ni...
  6. Wanasiasa wa vyama vyote wapo kimaslahi binafsi

    Tusidanganyane et oh sjui Nan akiwa rais mambo yatabadilika mara oh upinzan ukichukua nchi mambo yatabadilika ,mambo kubadilika hii n asili tu ya maumbile ya kidunia lakin ukwel n kwamba hata chama gan kiingie asili ya mwanadamu ipo pale pale atadhulumu,ataua,atateka hata awe Nan? Hata Hawa...
  7. Utapeli Mpya Mjini!

    "Yaya"- dada wa kazi wangu alitumiwa sms/ujumbe ambayo ni kama mimi ndio nimemtumia na namba zilizotuma ni kama zangu kabisa na likatokea jina langu . Meseji ilisema hivi" "Dada Maria, naomba umtumie huyu fundi shilingi laki 3 , namba zake ni 0777-77 98 45 na kweli akatuma. Niliporudi nyumbani...
  8. N

    Maria Sarungi acha utapeli na uongo njoo tushiriki wote maandamano

    Jamani kwa nini huyu mdada anatuona sisi mazuzu hivi? eti anatushauri wote totoke mtaani tuandamane sasa mbona yeye haji kutuongoza ? anatushauri tusiogope mbona yeye alishindwa hata kumzika baba yake? TAPELI MKUBWA WEWE MWANAMKE ndo maana unazeeeka na laana ya baba yako mshenzi mkubwa wewe...
  9. Wasiwasi wangu wa Utapeli juu ya Wanaopost na kuuza mikeka ya kubet mitandaoni (Tipsters)

    Hello Wadau Nimekuwa niki-bet mara kadhaa na pia kupitia mikeka ya Tipsters mbalimbali. Lakini wasiwasi wangu mkubwa ni juu ya hili wimbi kubwa la Tipsters mitandaoni wanaozidi kuongezeka wengine wakiwa hao wachambuzi wa soka. Nilichogundua hawa Tipsters wengi wanaingia mikataba na kampuni za...
  10. U

    Chama cha Mapinduzi CCM Kahama huyu mwnachama wenu anayejiita Manala Mbumba anayefanya utapeli ilikuaje mkamruhusu agombee ubunge kura za maoni?

    Huyu jamaa alikuwa anafanya real estate, kuuza viwanja ametapeli watu wengi sana hapa Daressalaam. Na pia ana chuo cha udereva kinaitwa Essence Driving School amekuwa akikitumia kutapeli watu kuanzia wafanyakazi wake , Wanafunzi n.k Mpaka Sasa hapa NIT sisi Wanafunzi ametutapeli pesa za...
  11. Waajiri acheni utapeli wa kutoa matangazo ya ajira Kwa Vijana bila kuweka wazi kiwango cha mshahara

    Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema! Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
  12. M

    Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
  13. K

    Je mkataba wa kujenga kiwanda cha usafishaji Tanga ni kweli au utapeli

    Tukumbuke mradi wa gas tumeongea kwa miaka 20 wenzetu kenya miezi minne uwekezaji $17B na hawana chochote pale! Sasa huu mradi wa Tanga hata Musevi hajui kinachoendelea amesema hata weka pesa mpaka aone plan
  14. Magaidi walimteka nyara joshua na kumpeleka Gaza, kisha wakamtesa na kumuua. Walimtukana na kumwita "nyani" na "mtumwa" huku waki rekodi mauaji yake

    Rest In Peace Mwamba. Sitasahau walichokufanya.
  15. O

    SIM Cards Kadhaa Zapatikana Polisi Wakimkamata Mshukiwa Maarufu wa Utapeli wa M-Pesa

    M-Pesa attendant mmoja Garissa alidhani anasaidiwa kufanya line upgrade. Dakika chache baadaye, line yake ilikuwa imeswap na fedha zikahamishwa kwenda account nyingine. Polisi sasa wamemkamata Edwin Mugoi, ambaye DCI inamtuhumu kujifanya Safaricom agent na kuwalenga M-Pesa attendants katika...
  16. Tyler Perry: Kamwe sitakuja kuoa maana Ndoa ni Utapeli

    Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli" Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo mwanaume hupoteza zaidia ya nusu za mali zake kumpa mtaliki wake pale wanapoachana Ameongeza kuwa...
  17. Umewahi kutapeliwa?

    Ilikuwa 2022 tuko kijiweni mida ya saa tano asubuhi, muda huo tume paki Pikipiki tuna piga stori, mara ikaja gali ndogo ya abiria akawa ameshuka jamaa ana begi dogo Mgongoni. Kama ilivyo kawaida bodaboda tukiona Abiria huwa tuna mkimbilia, Sasa tulivyo mkimbilia yule jamaa yeye akakataa akasema...
  18. Sakata la Bodi ya Mikopo dhidi ya Nicholaus Komba

    Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nadhani mahakama za kwetu Tanzania ndio zinaongoza kwa kutoa maamuzi kichwa kichwa sana, vitivo vya sheria ndani ya chuo...
  19. Unatafuta Mitambo ya Ujenzi kutoka China? Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka Utapeli

    Salamu zenu, wenzangu. Ninauliza swali: Ni njia gani bora ya kupata vifaa vya ujenzi kama mitambo ya kuchimba na mitambo ya kupakia kutoka China bila kuingia kwenye udanganyifu? Kuna kituo cha biashara cha kimataifa cha mitambo ya ujenzi nchini China ambacho kinalenga kurahisisha mchakato wa...
  20. Al Badir ni utapeli. Kwanini msimsomee Netanyahu

    Kila muislam anamchukia anamlaani sana ,ni miaka sasa jamaa anawapasua tu kwanini msimsomee afe aache kuwatesa Waislamu wenzenu USSR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…