Wakuu, hayo maeneo ni hatari kwa utapeli wa viwanja, kiwanja kimoja mnauziwa watu kumi.
Nenda kwa umakini hayo maeneo, jasa Bagamoyo unakuta ni pori lakini ni mali za watu, wenyewe wapo mjini wametulia na hati zao mifukoni. Jichanganye utalia.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limebaini kuwepo kwa picha mjengo kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ikionesha mtu anayedaiwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi akiwa amevaa sare ya Jeshi la Polisi akituhumiwa kufanya utapeli/wizi wa pesa.
Uchunguzi umeanza mara moja na ikithibitika...
Kuna wale walihamasika kufuga kware miaka ile, mko wapi? Biashara inaendeleaje sasa?
Wapi wale wa vanila?
Wapi wale wa mr. Kuku?
Wapi na wale wengine mliokuwa fursa za wengine labda mmefanikiwa pengine?
Kuna utapeli nahisi umepewa baraka na hupo tanzania umejificha kwenye mikopo ya simu na vifaa vingine.
Embu angalia simu ya laki mbili unalipa laki nane.
Hii riba benki kuu wana fahamau
Ebu fikiria tapeli anashusha milage kutoka km 160,000! Hadi km 1,1970 alafu bila kujua kuwa used car yenye milage kiasi hicho bei inakuwa sawa na mpya.
Serikali ingieni Kati kusaidia wananchi dhidi ya utapeli huu kwenye baadhi ya yard...tunajua baadhi ya wauze magari wamenyooka ila wengi wao ni...
Tusidanganyane et oh sjui Nan akiwa rais mambo yatabadilika mara oh upinzan ukichukua nchi mambo yatabadilika ,mambo kubadilika hii n asili tu ya maumbile ya kidunia lakin ukwel n kwamba hata chama gan kiingie asili ya mwanadamu ipo pale pale atadhulumu,ataua,atateka hata awe Nan? Hata Hawa...
"Yaya"- dada wa kazi wangu alitumiwa sms/ujumbe ambayo ni kama mimi ndio nimemtumia na namba zilizotuma ni kama zangu kabisa na likatokea jina langu . Meseji ilisema hivi" "Dada Maria, naomba umtumie huyu fundi shilingi laki 3 , namba zake ni 0777-77 98 45 na kweli akatuma. Niliporudi nyumbani...
Jamani kwa nini huyu mdada anatuona sisi mazuzu hivi? eti anatushauri wote totoke mtaani tuandamane sasa mbona yeye haji kutuongoza ? anatushauri tusiogope mbona yeye alishindwa hata kumzika baba yake? TAPELI MKUBWA WEWE MWANAMKE ndo maana unazeeeka na laana ya baba yako mshenzi mkubwa wewe...
Hello Wadau
Nimekuwa niki-bet mara kadhaa na pia kupitia mikeka ya Tipsters mbalimbali. Lakini wasiwasi wangu mkubwa ni juu ya hili wimbi kubwa la Tipsters mitandaoni wanaozidi kuongezeka wengine wakiwa hao wachambuzi wa soka.
Nilichogundua hawa Tipsters wengi wanaingia mikataba na kampuni za...
Huyu jamaa alikuwa anafanya real estate, kuuza viwanja ametapeli watu wengi sana hapa Daressalaam.
Na pia ana chuo cha udereva kinaitwa Essence Driving School amekuwa akikitumia kutapeli watu kuanzia wafanyakazi wake , Wanafunzi n.k
Mpaka Sasa hapa NIT sisi Wanafunzi ametutapeli pesa za...
Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya
Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema!
Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi
Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana
WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
ajali
chivayo
forgery
hali
jela
kabla
kakimbia
kuanza
kufungwa
kufungwa jela
maisha
maisha mapya
mapya
mara
marais
marejesho
master
tetesi
ughaibuni
utapeli
Tukumbuke mradi wa gas tumeongea kwa miaka 20 wenzetu kenya miezi minne uwekezaji $17B na hawana chochote pale! Sasa huu mradi wa Tanga hata Musevi hajui kinachoendelea amesema hata weka pesa mpaka aone plan
M-Pesa attendant mmoja Garissa alidhani anasaidiwa kufanya line upgrade. Dakika chache baadaye, line yake ilikuwa imeswap na fedha zikahamishwa kwenda account nyingine.
Polisi sasa wamemkamata Edwin Mugoi, ambaye DCI inamtuhumu kujifanya Safaricom agent na kuwalenga M-Pesa attendants katika...
Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli"
Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo mwanaume hupoteza zaidia ya nusu za mali zake kumpa mtaliki wake pale wanapoachana
Ameongeza kuwa...
Ilikuwa 2022 tuko kijiweni mida ya saa tano asubuhi, muda huo tume paki Pikipiki tuna piga stori, mara ikaja gali ndogo ya abiria akawa ameshuka jamaa ana begi dogo Mgongoni.
Kama ilivyo kawaida bodaboda tukiona Abiria huwa tuna mkimbilia, Sasa tulivyo mkimbilia yule jamaa yeye akakataa akasema...
Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mahakama za kwetu Tanzania ndio zinaongoza kwa kutoa maamuzi kichwa kichwa sana, vitivo vya sheria ndani ya chuo...
Salamu zenu, wenzangu.
Ninauliza swali: Ni njia gani bora ya kupata vifaa vya ujenzi kama mitambo ya kuchimba na mitambo ya kupakia kutoka China bila kuingia kwenye udanganyifu?
Kuna kituo cha biashara cha kimataifa cha mitambo ya ujenzi nchini China ambacho kinalenga kurahisisha mchakato wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.