usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania iko katika matishio ya amani na usalama chanzo wivu wa rasilimali zetu

    Katambi ajitetea na agizo lake la kuzuia mikutano :'Sijakiuka Katiba', awashukia vikali CHADEMA Akizungumza leo Juni 27, 2026,wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani huko mkoani Shinyanga, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobasi Katambi amekanusha juu ya kuvunja Katiba na kueleza matishio ya...
  2. Miaka 60 ya uhuru, umeme ni WA grid ya Taifa unakatika masaa 5, usalama wa nchi u wapi?mwizi wa RASIRIMALI akiukata anatuua wote

    Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani. Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme IKITOKEA IMEKATIKA mkoa unawash? Mwizi wa RASIRIMALI alkipitia hapo si atatumaliza wote kasoro ikulu?
  3. Ninaliona tatizo kubwa kwa kamati ya kuu ya ulinzi na usalama wa Taifa letu, HAYA matamko ya wanasiasa ni ushauri wao kweli? 29/10 mlikuwa wapi?

    Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
  4. N

    Je, unawafahamu wafanya-kazi wa USALAMA WA TAIFA?? Uliwahi kuwaona?? Wasome hapa.

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. #USALAMA_WA_TAIFA Je, unawafahamu watu wa Usalama wa Taifa?? Uliwahi kuwaona?? Uliwaona lini?? Uliwaona wapi?? Uliwezaje kuwatambua kama hao ndio wenyewe na sio wanakudanganya?? Nini maana halisi ya Usalama wa Taifa?? Ndugu yangu Mtanzania, sasa ngoja leo...
  5. Je, Tuko Tayari Kukabiliana na Vitisho vya Usalama Julai 7?

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa na mijadala mbalimbali kuhusu uwezekano wa matukio ya vurugu na uvunjifu wa amani yanayoweza kutokea tarehe 7 Julai. Ingawa ni muhimu kutokuwa wepesi wa kuamini kila taarifa inayosambazwa bila uthibitisho rasmi, ni wajibu wa kila mwananchi...
  6. K

    Madai ya Sheikh Mwaipopo Kunusurika Utekaji: Tishio Halisi au Kiki za Kusafisha Bonge la 'Backfire' la Kauli ya Kutahiri Watu?

    Wakuu salama, Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh Said Mwaipopo naye amejitokeza na kudai kuwa kuna watu walifika ofisini/nyumbani kwake wakiwa na...
  7. Waziri wa usalama wa taifa nchini Israel, Itamar Ben-Gvir anyimwa visa ya kutimkia Marekani.

    Niaje waungwana Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea. Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi...
  8. L

    Atakaye Jaribu Kuandamana Atajuta na Kuilaani Siku Aliyozaliwa. Amani Na Usalama Wa Taifa ni Lazima Vilindwe kwa Jasho na Damu ili Visitoweke

    Ndugu zangu Watanzania, Duniani Kote na Mataifa yote yanayojitambua hulinda Amani Na Usalama kwa nguvu zote na kwa kila njia . Mataifa yote kuanzia yale Makubwa hadi Madogo hulinda Amani na Usalama kwa jasho na Damu. Tangu enzi na Enzi tokea kuumbwa kwa Ulimwengu Huu Usalama wa Himaya ama...
  9. R

    Hii kauli hatari sana. Chalamila, kesho utawajibika kwa kauli hii. Kumbuka wewe ni M/kiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa. Kauli yako ni AMRI

    Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026. BADO HAMJAJUTA! HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA! Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
  10. Iran yawataka raia wa Israel kukaa mbali na kambi za jeshi kwa ajili ya usalama wao. Yasema shambulio la Israel nchini Lebanon haliwez kuachwa ivi ivi

    Niaje waungwana Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon. Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
  11. Afariki dunia baada kurushwa bila kamba ya kumshikilia mchezo wa kujirusha daraja refu

    Msichana mwenye umri wa miaka 21 amefariki baada ya kurushwa kutoka kwenye daraja la mita 40 huko Limeira, Brazil na wafanyakazi wa kuruka kwa kamba ya bunge (bungee jump) ambao walisahau kumfunga kamba yake ya usalama.
  12. Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia maandamano. Kauli hiyo imetolewa leo Juni 13, 2026, Jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
  13. Anthropic wazindua "Fable 5" na "Mythos 5" - AI yenye nguvu kuliko zote, lakini yenye kizuizi cha usalama. Tujadili madhara na fursa zake kwa Afrika

    Habari wakuu, Leo Juni 9, 2026, kampuni ya Anthropic (watengenezaji wa Claude) wamezindua mifano miwili mipya ya akili unde - Claude Fable 5 na Claude Mythos 5. Hii ni habari kubwa kwenye dunia ya teknolojia, na ina mambo ya kujadili hasa kwetu sisi tunaofuatilia masuala ya haki za kidijitali...
  14. Nauza Taser mashine ya kujilinda inapiga shoti vibaka wezi na watekaji usikose kwa usalama wako

    Nauza kifaa cha kukusaidia kujilinda yaani self defense 🔥 TASER GUN INAKUSAIDIA KUMPIGA SHOTI KIBAKA SHOT KUBWA KAMA YA UMEME WA GRID YA TAIFA 🔥 Unahitaji kujilinda na vibaka, majambazi, wezi na wabakaji? Taser Gun ni mashine ndogo ya kuchajiwa inapiga shoti ya umeme zaid ya gridi kubwa ya...
  15. Confirmed !Hatimaye wamepewa Orodha ya Viongozi wa kisiasa, Mahakama, Vyombo vya Usalama ambao wanapenda kuwekewa Vikwazo !!

    Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho Kwa sasa...
  16. WASHINGTON, MAREKANI: Mtu mmoja auawa baada ya kufyatua risasi kwenye Geti la Ukaguzi la White House, Mpita Njia ajeruhiwa

    Niaje waungwana Habari ndio hiyo, baada ya muda mchache wa kutangaza makubaliano mapya na Iran, ghafla milio ya risasi ilisikika nje ya white house na kusababisha hatihati katika eneo zima la ikulu ya Marekani. Hapa inawezekana Netanyahu anahusika kuhakikisha Trump haingii makubaliano yoyote...
  17. Picha za utupu si usalama wa penzi — Ni hatari ya maisha

    Leo watu wengi wanaharibu maisha yao kwa kuamini “ni siri yetu tu.” Ukweli ni kwamba picha au video za utupu zikishatoka kwenye simu yako, huwezi tena kuzidhibiti. Watu wengi wamekuwa .Wakisalitiwa baada ya kuachana .Wakisambaziwa picha bila ridhaa .Wakidukuliwa na kutishwa .Wakipata msongo wa...
  18. A

    KERO Mkulima amepanda Mabingobingo kwenye Makazi, Wananchi tunahofia Usalama wetu

    Katika Mtaa wa Nguku, Kata ya Nyandoto, Tarime Mjini, wananchi wanaishi katika hofu ya usalama baada ya mkulima mmoja kupanda mabingobingo (Napier Grass) katikati ya makazi ya watu. Nyasi hizo zimekuwa zikizua wasiwasi mkubwa kwa wakazi kutokana na urefu na wingi wake, hali inayodaiwa kutoa...
  19. K

    Mama 2021 Maua mazuri sasa 2026 yamekauka

    Kwa wanaopenda Tanzania tuko katika wakati mgumu sana kama nchi . Washauri wabaya na uvivu na kujiachia kizanzibari sasa Mama ambaye alikuwa maua yenye harufu nzuri 2021-2022 sasa maua yamekufa kabisa ni lazima yaote upya au tuoteshe mengine. Haya maua ni too late sasa
  20. Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa

    Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa. Hakuna waafrika pakukimbilia afrika kila sehemu afrika ni kama ring tone zina fanana kwa ujinga wao. Hivi mnajua zile muvi za zombie ujumbe ulikuwa afrika itakuwa kama zombies na control na vikundi vya zombie wenye unafuu. Hii ripoti msije...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…