usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Puuzeni Machawa wa CCM na usalama hasa Tlaatlaah

    Puuzeni hawa machawa wanaolipwa pesa za walipa kodi kuja hapa kuwasafisha Wanzanzibari na wazalendo
  2. Kihongosi: Heche anasema chukieni vyombo vya ulinzi? Mwambieni aliyechanganyikiwa aondoe ujinga huo!

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amewataka Watanzania kutokubali kauli zinazowahamasisha kuchukia vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na kuwapa moyo askari wanaolinda usalama wa taifa. Kihongosi amesema askari huendelea kufanya...
  3. DR NCHIMBI NA KANISA:

    Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania. Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu...
  4. Vyombo vya usalama vimeshindwa kulinda usalama wa nchi

    Vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi. NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
  5. Barrick yawaasa wataalamu wanaotekeleza uthamini North Mara kuzingatia usalama mahala pa kazi

    MARA- Wataalamu wanaoshiriki katika zoezi la uthamini wa mali za wananchi wanaotarajiwa kuhamishwa kupisha ujenzi wa eneo jipya la kuhifadhia mabaki ya shughuli za uchimbaji madini (Tailings Storage Facility – TSF) katika Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, wamehimizwa kuzingatia kikamilifu taratibu...
  6. Kutakua na hari ya dharura itakayohusisha vyombo vya ulinzi na usalama (Jeshi.)

    UFUNUO. Inaweza isiwe taharuki kubwa ila pindi uonapo hari ya dharura kama vile ving'ora na convoy yake basi ewe mtumiaji wa barabara kuwa makini. Dharula hiyo inaweza ikawa ni ya muhimu na heshima sana, kiasi kwamba shughuli nyingine zisionekane kuwa na maana, siku hiyo ikifika. Hiyo convoy...
  7. Tanzania Yaomba Kiti Baraza la Usalama UN 2029-2030

    Tanzania imetangaza azma ya kuwania nafasi ya uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha 2029–2030. Akizungumza wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mjadala wa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la...
  8. Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
  9. Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: awasaidie Watu wa Gaza wakae Mkao wa kuondolewa huko Gaza!!

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: Hali ya watu huko Gaza si nzuri. Nataka kuwatoa Gaza. Mimi ni mtu mwenye kujali utu, sawa? Ninawafanyia wema. Ninawatoa huko Kama wataendelea na ugaidi wao!!!!
  10. Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  11. Vyombo vya Usalama Vinapaswa Kulinda Taifa, Siyo Kulinda Mtu Mmoja | Kwa Nini Usimamizi wa Kikatiba ni wa Lazima

    Katika historia ya nchi nyingi duniani, tatizo kubwa zaidi la vyombo vya usalama halijawahi kuwa ukosefu wa uwezo, ni swali la uwajibikaji, Yaani vinawajibika kwa nani. Hatari ni Pale inapokuwa Vinapokuwa chini ya mtu mmoja pekee, bila usimamizi wa nje, vinaweza kutumika kwa urahisi kulinda...
  12. Ukweli ni silaha kali, hata Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaukimbia

    Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu. Binadamu tuyatumie vema. Msingi wa yote ni ukweli. Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili. Ukweli haufichi maovu. Mtu anaweza fanya maovu akifikiri ukweli haumwoni. Sasa mtu huyo akiambiwa aje hadharahi...
  13. Ulinzi na usalama wa uhakika

    🔐 SMART EYE SECURITY SERVICES 📹 Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati. Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. 👁️📹 🏠 Nyumbani 🏪 Madukani & Biashara 🏢 Ofisini 🏭 Maeneo ya kazi 📍 Location: Dar es Salaam 📞 Piga/WhatsApp: 0622667749 SMART EYE...
  14. Ulinzi na usalama

    🔐 SMART EYE SECURITY SERVICES 📹 Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati. Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. 👁️📹 🏠 Nyumbani 🏪 Madukani & Biashara 🏢 Ofisini 🏭 Maeneo ya kazi 📍 Location: Dar es Salaam 📞 Piga/WhatsApp: 0622667749 SMART EYE...
  15. S

    Wakimaliza kumuhoji John Heche, msishangae kesi ikafutwa ili vigogo wa vyombo vya usalama wasohojiwe na Lissu mahakamani

    Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka. Wanajua upo uwezekano wa Lissu kuwa na taarifa nyeti za hao vigogo zikiwemo za kibinafsi na zile zinazohusiana...
  16. Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz: aiambia Iran kuhusu Ali Taher Ridge kuwa hilo ni eneo la usalama!!

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz: Ali Taher Ridge ni sehemu ya mstari wa njano na eneo la usalama la Israeli nchini Lebanon - IDF inajiandaa kivitendo kudhibiti ukingo na kuzuia jaribio lolote la Hezbollah au kipengele kingine chochote kurudi na kuanzisha uwepo hapo. Mtu yeyote...
  17. Kuna members wamepotea sana humu Jf since july kuna usalama kweli?

    adriz de mbusii Intelligent businessman
  18. Chanzo cha Ugomvi wa jana kati ya Trafiki na Daktari ni rushwa. Rushwa imekuwa haki ya askari wa usalama barabarani.

    Itoshe kusema taifa limeshaanguka tayari. Hakuna tena mamla na taifa limeingia kwenye hatari isiyoelezeka. Kwa ufupi tumekwisha.
  19. HOJA Manispaa ya Ubungo, LATRA na Jeshi la polisi usalama barabarani ondoeni bajaji njia kuu za Bunju na Morogoro road

    Wadau, hili jambo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara maeneo Bagamoyo Road na Morogoro Road. Idadi kubwa ya bajaji zinazoingia na kufanya shughuli kwenye barabara kuu, hasa maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari, imekuwa ikichangia usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara. Tatizo...
  20. Polisi: Conrad Agonza Kayoza anashikiliwa kwa kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari wa Usalama barabarani

    Jeshi la Polisi Dar es Salaam linamshikilia Conrad Agonza Kayoza, miaka 35, kwa tuhuma za kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari Polisi wa Usalama Barabarani, F. 8886 SGT Andrew, wakati akitekeleza majukumu yake katika eneo la Lugalo, Kinondoni, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea Septemba 8...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…