Marekani imemuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Cuba, ikimtuhumu kwa ukiukaji wa haki za binaadamu na kumuunga mkono Rais wa msoshalisti nchini Venezuela Nicolas Maduro.
Marekani imemuweka kwenye orodha ya vikwazo Leopoldo Cintra Frias, Waziri wa Majeshi ya Mapinduzi ya Cuba, na watoto wake...