Mhe. rais km mpambanaji namba 1 kwenye taifa letu la tanzania lenye kila aina ya maliasili tulizobarikiwa na mungu. tunahitaji kusikia kitu kutoka kwako tunahitaji kufahamu hapa tulipo tuna fanyaje na huko mbele tunaendaje.
Katika kipindi hiki kigumu mno kwa dunia na sisi tukiwemo janga hili...
Ombi: Naomba nitangulize ombi la kusamehewa kama nitakuwa nimewakwaza watu katika mchango huu wa mawazo.
Nitatoa maoni kwa mtindo wa kuuliza swali ili tupate mawazo ya watu wengi, huenda tuna nguli wengi wa kidiplomasia humu JF.
Mawazo Yangu: Lile angalizo alilotoa kiongozi mkuu kuhusu kuwa...
Kama unadhani Marekani huwa hafurahishwi na makombora ya korea kaskazini basi jua unajidanganya. Makombora ya korea kaskazini yamekuwa ni mtaji mkubwa wa marekani kuishurutisha korea kusini kulipa kiwango kikubwa cha pesa kwa ajili ya ulinzi.
Hivi karibuni Ikulu ya marekani imeitaka korea...
Ni rahisi kuhisi kuzidiwa na kila kitu unachosikia kuhusu #COVID_19. Inaeleweka pia ikiwa watoto wako wanahisi wasiwasi. Watoto wanaweza kupata shida kuelewa kile wanachokiona mtandaoni au kwenye Runinga - au kusikia kutoka kwa watu wengine - kwa hivyo wanaweza kuwa katika hatari ya kuhisi...
Nashindwa kuelewa nini maana ya siasa kwamba inafikia hatua watu wazima na akili zao wanashindwa kujua mipaka ya majukumu yao.
Kwanini msitambue wala kujua mambo hatari kwenye usalama wa nchi?
Vyovyote mfanyavyo, msivuke msitari mwekundu, si tu mtaumizwa bali pia mtauliwa kabisa na kutoweshwa...
Diwani wa CCM mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana.
Watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi hadi sasa na OCD amesema idadi hiyo inategemewa kuongezeka
Mkuu wa mkoa wa Tabora mh Mwari ameagiza msako mkali uanze mara moja ili kuwanasa wauaji.
Nao...
Salaam,
RPC Njewike anapaswa kufahamu kwamba Alex Jonas ni Katibu wa Jimbo la Manyoni Mashariki na kwamba nafasi hii haikatazi yeye kufanya kazi ya Bodaboda.
RPC Njawike anapswa kujua kuwa katiba ya CHADEMA inaeleza wazi kuwa mwanachama wa chama chetu anapaswa kuwa na kazi halali ya kufanya...
Leo nimesoma sehemu jinsi Urusi na India zilivyokubaliana kuuziana Mfumo wa Ulinzi S 400 kwa gharama ya US Dollar Billion 5.
Nikilinganisha na hela yetu ni kama Trillion 11+. Hapa nikilinganisha na Bajeti yetu ya mwaka ni USD 14.3 (Trillion 33).
Haya masilaha nilikuwa nayachukulia poa kumbe...
Rais Magufuli anawaapisha leo hii Kamishna Jenerali wa Magereza, Kamishna Jenerali wa Zimamoto, Makatibu wakuu na Makatibu tawala wa mikoa saa 3:30 asubuhi.
A. MAKATIBU WAKUU
1. MARY GASPER MAKONDO - kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huo Bi...
Polisi nchini imesema ifikapo Desemba 31 kampuni binafsi za ulinzi zinatakiwa ziwe zimejisajili na kuwasajili walinzi wake kwenye mfumo wa uboreshaji wa sekta ya ulinzi binafsi kwa njia ya kielektroniki (PSG-P).
Kampuni ambazo zitashindwa kutatekeleza agizo hilo hazitaruhusiwa kufanya kazi...
Israel imeanza hii leo kuchimba eneo la mpaka wake na Lebanon kwa ajili ya kufunga mfumo wa kujilinda utakaopita chini ya ardhi hii ikiwa ni mujibu wa jeshi la nchi hiyo.
Luteni kanali Jonathan Conrius amesema kwenye mfumo huo kutafungwa vifaa vya kutambua shughuli zozote za uchokozi. Amesema...
Mifumo ya Ulinzi wa Anga (Missile Defense Systems)
Patriot "MIM-104" SAM System (USA)
===
S-300 Missile System (Russia)
===
THAAD "Terminal High Altitude Area Defense" (USA)
===
S-400 Missile System (Russia)
===
Iron Dome (Israel)
===
Arrow 3 (Israel)
===
To Be Continued!
Habari wakuu!
Linapokuja suala la nafasi za kazi kwenye Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama na kuhitaji vijana walioko makambini(jkt) vijana wa Zanzibar huwa wanabebwa kana kwamba yatima, hapa sisemi kuwa hawa vijana kutoka Zanzibar waachwe la bali ni vyema watazamwe kama vijana wengine kutoka...
Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS
Chanzo:Twitter...
Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani
Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
" Nitasema Kweli daima fitna kwangu mwiko "
Zikiwa zimesalia dk 30 mpira kumalizika vijana wezi , vibaka na majambazi kutoka Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , Keko torori , keko machungwa na baadhi kutoka Chang'ombe husogea karibu na uwanja wa Taifa , wengi hujikusanya kwenye njia panda ya...
Marekani imemuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Cuba, ikimtuhumu kwa ukiukaji wa haki za binaadamu na kumuunga mkono Rais wa msoshalisti nchini Venezuela Nicolas Maduro.
Marekani imemuweka kwenye orodha ya vikwazo Leopoldo Cintra Frias, Waziri wa Majeshi ya Mapinduzi ya Cuba, na watoto wake...
Msanii wa Kenya King Kaka anataka ulinzi baada ya watu wasiojulikana kutoupokea vema wimbo wake mpya unaokemea maovu ikiwemo rushwa.
King Kaka amabye jina lake halisi ni Kennedy Ombina, mwishoni mwa juma alitoa video ya wimbo aliouta 'Wajinga Nyinyi', akikosoa maovu miongoni mwa jamii ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 26, 2019 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga.
Akizungumzia ujio wa Rais Magufuli mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha amesema Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.