Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.
Mfalme wa Kirumi Hadrian alibadilisha jina la Yudea kuwa Syria Palaestina baada ya vita vya Wayahudi dhidi ya Warumi vilivyojulikana kama Uasi wa Bar Kokhba.
Alipadirisha ili kuondoa uhusiano wa jina hilo judea na uyahudi na kuwapachika jina ambalo sio lao.
Neno judea linaotakana na asili ya...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndg. Dorothy Semu, ameeleza kuwa hukumu uliyotolewa na mahakama Leo dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ndugu Tundu Lissu, ina maana kubwa zaidi ya hatima ya mtu mmoja, kwa kuwa ni kipimo cha namna taifa linavyoheshimu misingi ya haki, utawala wa sheria, demokrasia...
Wakuu.
Habari za wakati huu, wale wapenda haki na usawa najua tumeumia sana na kilichoamuliwa leo na Mahakama kuu kuhusu mwenendo wa kesi iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu.
Kila jambo linalotokea kwenye maisha yetu au katika hii dunia hutokea na...
Habari,
Nimeona kwenye Group la shule ya sekondari X Mkuu wa shule akiwaambia wazazi kuwa wajiandae mwakani hakutokuwa na Elimu bila malipo yaani wajiandae kulipia ada na michango mingine ndani ya shule
Je, kuna yeyote mwenye taarifa rasmi au ushahidi kutoka wizara ya elimu kama kuna mpango...
Wakuu, habari za wakati huu.
Leo nataka niwaambie ukweli mchungu ambao vijana wengi wanaomaliza vyuo hawataki kuusikia, lakini ndio uhalisia wa soko la ajira kwa sasa.
Siku hizi mambo yamebadilika sana. Kelele za "Nasoma UDSM chuo bora Afrika Mashariki" au "Nimepata First Class au Upper Second"...
Mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM wilaya ya mbogwe mkoani Geita, Pius Lukaga amesema mjumbe wa kamati kuu ya chama cha demokrsiaa na manedeleo (CHADEMA), Godbless Lema amekuwa muwazi kwa kukiri jinsi ccm ilivyoumizwa na chama hicho.
Lukaga amesema ukweli wa lema umetoa picha...
Wazungu wa Afrika kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao, tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao hatuwezi kuwa na Makaburu hapa, halafu tukawaheshimu kwa sababu ni weusi ni makaburu." Mwl.JK NYERERE.
Tumefika katika nafasi ambayo ,tunavuruga chaguzi zetu bila aibu,tunatumia risasi za moto...
WANAWAKE MASHETANI NA KATILI HAWAAMBII WATOTO KUHUSU BABA ZAO HALISI. WANAWAFICHA UKWELI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Umefinya ufuska wako huko ukabeba mimba ya mwanaume asiye wako. Yaani asiye mumeo.
Kwanza nani aliyekuambia umbebee mimba mtu ambaye hajakuoa? Ni kwamba hujitambui...
1:Utaonekana mwerevu pale utakapo kuwa na kitu cha kuonesha, porojo za mdomoni ni sawa na mbwa koko kubweka tu.
2:hakuna mwanaume anayependa mwanamke mmoja, hakuna mwanamke anaye penda mwanaume asiye na kitu.
3:flashlights za dunia hii, zipo kukusherehekesha, ila kama huna plan ya maisha...
Kitu ambacho kina nisuta jinsi watu walizikwa wakiwa hai,wengine waliitaji matibabu ila walishikiliwa na kuunganishwa kama marehemu.
Hii kazi mungu ni samahee
Huu ndio ukweli asilimia 100% wamama ndio watunzaji wawatoto kwenye familia.
Wababa wao kazi zao kubwa nikuwapiga watoto na mama na kukimbilia kwa michepuko kuwahudumia .
Halafu wanaume wengi kutoa zamani wanapenda kutunzwa sana tu mwanamke anaamka asubuhi anaenda kutafuta chochote kitu ili...
Wakili wa Mahakama Kuu Fulgence Massawe ameleza kilichotokea Oktoba 29, 2025 "Yaani ukweli ndio unaotangulia; ndio unaopelekea hayo mengine unayoyataka. Mfano, majirani zetu hapa, Kenya, [mwaka 2007] walipata changamoto inayofanana na yetu. Na changamoto yao, nikuambie, huenda haikuwa na madhara...
Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika?
Je, huu ni mkakati wa...
Ukweli mchungu ni kwamba sio Yanga,Simba Wala Azam wayavuka makundi licha ya kujifariji,makundi yamewakalia vibaya sana.
My Take
Ambae hataki kukutana na vigogo akashiriki Kagame CUP
Ukubwa wa makalio hauhusiani na uwezo wa kufikiri, akili au tabia ya mwanamke. Ubongo upo kichwani, na ukubwa wa matako hauonyeshi kiwango cha akili ya mwanamke.
Kama ukiilenga tabia badala ya maumbile, Basi ni kweli wanawake wengi wenye matako makubwa wanajivunia mwonekano wa nje kiasi cha...
Utangulizi: Malezi Yangu na Mwanzo wa Shaka
Nimezaliwa na kulelewa katika mazingira ya Kikristo yenye misingi thabiti. Tangu utotoni, nilikuwa muumini mzuri, mfuatiliaji wa mafundisho, na mtoto niliyebahatika kusoma katika shule za misheni. Huko ndiko nilikolishwa Biblia kwa mara ya kwanza...
MOD UKITAKA KUBADILI CHOCHOTE SEMA NAMI BWANA NASIKIA ACHA UJUAJI.
MADA
Wakati wa tendo la ndoa, msuguano ukizidi unaweza kusogeza bakteria kutoka kwenye ngozi au eneo la haja kubwa ya ke kuelekea kwenye tundu la mkojo la me na ke simulitaneously, na bakteria hao wanapoingia kwenye njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.