ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    PostGE2025 Kukubali maandamano kwao ni sawa wamekubali kuachia na kukubali ukweli na makosa

    Maandamano ni haki ya kikatika ila sasa kwa mikono yao iliyoshika damu na utamu wa madaraka unaweza kufikiri waka kubari. Maandamano haya yanataka waachie nchi.Ndio maana wamejiandaa kwa propaganda,mauwaji,utekaji. Hakuna mwanaCCM na fisadi wanaweza kukubari wabwage manyanga. Bila damu D9...
  2. JamiiCheck

    Ernest Sungura: Ulinzi wa kweli wa mwandishi wa habari ni kusema ukweli

    Ujumbe wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura, alioutoa Septemba 18, 2025 jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa majadiliano baina ya MCT na waandishi wa habari, maafisa wa idara na mamlaka za serikali, unakumbusha jukumu la waandishi wa habari katika kusimamia...
  3. M

    PostGE2025 Hebu tuongee ukweli nani anayoiharibu Tanganyika, Ni CCM au Wapinzani?

    Unajua watu wazima wanaziba ufa kwa kusema UONGO,wanayoiharibu inchi ni CCM na serikali kwa ujumla,hivi hakuna mtu asiyejua chanzo cha haya matatizo ni mama kujipitisha kugombea peke yake na tume ya uchaguzi ya mchongo. Kama uchaguzi ungekuwa huru na haki kuna mtu yeyote angeingia barabarani...
  4. The Father of All

    Japo ni muongo, ila Mwigulu hapa anasema ukweli

    Hivi karibuni, Lameck Madelu Mkumbo au Mwigulu amekuwa na mstari wa kuchusha anaourudia kila aendapo. Anapenda kutuaminisha na kutushauri kuwa 'kuna mchezo' Watanzania tunachezewa na mabeberu. Hili la kuchezewa kamchezo ni kweli. Uongo ni wale anaodai wanatuchezea. Ukweli ni kwamba...
  5. The Burning Spear

    Ukweli ni kwamba Serikali ina hofu na D9 Kuliko raia

    GT Sikilizeni watawala huko waliko wana bet hawajui kesho itakuwaje. Siri kubwa ni kwamba you can't defeat the mass. Nguvu ya umma ni hatari sana. Ikumbukwe M029 waliua na kuuwawa sana. Swali ni je wataua tena? Jibu ni Hapana wamechanyikiwa mkandamizo ni mkubwa sana. . Kwa sasa wamebaki...
  6. Bawabu wa pili

    PostGE2025 THRDC: Maridhiano yafanyike katika njia za ukweli, haki na uwajibikaji

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ametoa wito kwa taifa kuanzisha mapema mchakato wa maridhiano na uponyaji baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyotokea kuanzia Oktoba 29 na siku zilizofuatia. Kwa mujibu wa Wakili...
  7. Fbn

    Kuna ID nyingi mitandao ya kijamii na zingine zinazotetea utawala huu ukiwajibu ukweli utajua ni ghost na zina ofisi

    ID nyingi kwa sasa zipo makusudi na tena walivyo jisahau zina majina ya kwao sana kutetea mtawala ,ukitaka kugundua we replay comment uwezi jibiwa ila kuna ID fake ambazo ujifanya ndio wapo wanapinga utawala mpaka zitangazwe na hizo wanapoona comment wanaingia DM wakiomba ujifanye kuwa pamoja...
  8. Tindo

    Hasira ya leo imechangiwa na ukweli kuwa anajua hakuwa amechaguliwa watu

    Nimemuelewa sana Samia, hasira zake si maandamano, bali ni kitendo cha wananchi kugoma kujitokeza kumpigia kura. Anajua waliotoka kuandamana ni kama walikuja kujazia tu hesabu, lakini ukweli unaomuuma hadi ni sasa ni ile voters turn out ya aibu.
  9. Idugunde

    PreGE2025 Ukweli wasioutaka Mafisadi: TEC hawajaoverride madhehebu mengine bali Wanapinga uonevu na ufisadi

    Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi. TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu. Mfano Dp World kupewa usimamizi wa Bandari bila sababu ili kutengeneza mianya ya upigaji na kuwanufaisha warabu. Utekaji usio na...
  10. Arsenal Gunner

    Ukweli usemwe Sasa hivi duniani hamna timu Bora kama Arsenal

    Hamtaki kusema ukweli hii ndio timu Bora duniani imagine imecheza games 3 kubwa wiki Moja na imepata point 7 muhimu gunner to the world
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Sheikhe Kishki elewa kuwa hakuna muislam atakayewaponda masheikhe kama watakuwa kwenye Ukweli na Haki.

    Hamjambo Wote! 1. Kuna watu Wana mawazo ya kizamani Sana. 2. Kuwa kwako Mchungaji au sheikhe haikufanyi uwe Special sana kwamba ukifanya mambo yasiyoeleweka watu wasiseme. 3. Au kuwa kiongozi. Sijui Waziri, sijui Rais, sijui Mfalme, sijui Mkuu wa Mkoa. Kuwa na cheo chochote haikufanyi uwe...
  12. tonicimmobility

    Ukweli wabainika, chanzo cha kifo cha Mwanfunzi wa UDOM ni Lecturer kumzuia kufanya mtihani na sio kuwa alibeti

    Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), anayetambulika kwa jina la Said Kabuga, kudaiwa kujitumbukiza kwenye kisima cha maji na kufariki baada ya kutumia fedha ya ada kwenye michezo ya kubashiri, Mzazi wa mwanafunzi huyo...
  13. M

    Kwanini hamuutaki huu utawala wa Rais Samia? Nawauliza na mseme ukweli

    Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala? Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu. Tatizo nini?
  14. Genius Man

    PostGE2025 Picha hii inakupa mtizamo gani? Je, Serikali kwa mara nyingine inajaribu kuficha ukweli?

  15. Mookiesbad98

    PostGE2025 Ni tabia yetu kuukataa ukweli na kuamini mambo ya uongo uongo

    Najiuliza ikiwa mode of operation ya viongozi wetu ni kuukataa ukweli uliodhahiri na kupoteza muda kwenye uongo na.uzushi utamaduni huu umwfanyika kwa muda.mrefu kiasi gani. Ukisikiliza hoja zilizoleta msuguano maandamano vurugu za Mo29 ni za ukweli lakini viongozi wote wanazikataa waziwazi na...
  16. mshale21

    Tusiyasingizie mataifa ya nje, ukweli na uwajibikaji ndiyo mwarobaini wa kutuvusha hapa tulipofikia na tukavuka salama

    Matatizo ya nchi yetu ni sawa na jipu lililolelewa na muda wake wa kupasuka umefika na sasa halikwepeki kutumbuliwa. Inasikitisha sana, kuona viongozi wetu wakiendekeza propaganda na wakati ukweli unaujua na wanajua wazi Dunia inajua na wananchi sote tunajua, Kweli kwa dhama hizi, na katika...
  17. F

    Kama Hamkuuwa Pelekeni CNN Kwenye Mahakama Husika za Kimataifa Tujue Ukweli

    Msigwa, tunakushauri kama kweli serikali yako haikuuwa watu kuanzia tarehe 29 October, muwapeleke CNN kwenye mahakama husika za kimataifa . Msiishie kulalamika. Maana mnaonyesha kwamba CNN, Aljazeera, BBC, DW, AFP wote wanaongea uongo. Kama kweli nyinyi ni watu mlio na uhakika na hamkuuwa...
  18. Genius Man

    Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika. Waliouwa ni mamlaka ya Samia haibadiliki na ushahidi upo

    Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika, walio uwa watu ni mamlaka ya samia haibadiliki na ushahidi upo. Ndugu Samia kwa ile hotuba yake ni wazi anajaribu kutaka kujivua na kumbambikizia mtu, NGO, au upinzani kwa mauwaji yaliyofanyika chini yake na vyombo...
  19. mfungwa

    Gerson Msigwa kumbuka Ukweli ni kitu gani

    Utamwelezaje MTU kwa maneno mazuri ambapo askari anampiga 'mwanamke' anayekimbia risasi. Je, huyo ni Askari aliyepitia mafunzo? Ukumbuke familia zao zipo.
  20. G Sam

    Tunaenda Kondo kuujua ukweli

    Habari wakuu. Tunaelekea Kondo maeneo ya kati ya Tegeta Kibaoni na Bahari beach. Lengo letu ni kuhakikisha tunaujua ukweli juu ya taarifa tuliyopata ambayo hata hivyo tunaamini kuwa ni taarifa ya kweli kimazingira. Tunaenda kuthibitisha na kuweka wazi kila kitu. Tumedhamiria kukabiliana...
Back
Top Bottom