"A good Lord has only ten" George Clemenceu alisikika akimkosoa Rais wa marekani Woodrow Wilson kwenye mkutano wa Versaille treaty mwaka 1919.
Hii imetokana na Rais wa marekani wa wakati huo Woodrow Wilson kuja na sheria 14 kwenye mkutano huo akiwa kama mwenyekiti.
George kutoka ufaransa...
Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika.
Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
Wakuu PC yang window 7 inatumia. Haifungui program baadhi ikiwemo virtual DJ na zingne nimeistall vizuri ila wakati wa kuopen inaandika hivi.
"Dorectx failed to initialize please install the correct drivers for your video card "
Naomba kueleweshwa maana nimeweka UC mini browser imekubali mbona...
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.
Pia soma:
1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri...
===
Kufuataia sakata la Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Ndugai kuwataka Wabunge watoro wa vikao vya Bunge kurejesha posho na kutolipwa mishahara yao Mh. Tundu Lissu atoa neno lake.
Lissu ameanza kwa kuhoji kuwa je Wabunge hao wa Chadema wanaotakiwa kurejesha hizo pesa...
Pole na kazi Mkuu!
Ni imani yangu u mzima wa afya na unaendelea vyema na kuchapa kazi ya kujenga nchi yetu na ni imani yangu pia ujumbe huu utaupata na kuufanyia kazi.
Kwa ufahamu wangu mdogo nimeona hii ni platfom nzuri kwangu kuweza kukufikishia malalamiko yangu kama siyo yetu sababu sina...
Tukiwa bado tunaendelea na kupiga nyungu tusisahahau kuendelea kuchukua tahadhari nyingine dhidi ya adui yetu Corona.
Kwa kuwa kila mtu kazaliwa, basi kuna siku moja katika mwaka huwa inajirudia kwa maana ya tarehe na mwezi. Kwa wale wenzetu mliopo kwenye mahusiano, najua inapofika siku kama...
Kwenu nyote mliohama vyama vyenu (haijalishi ni chama gani ulikotoka na chama gani ulihamia) naomba jibu swali hili (ukipenda);
1. Kitu kipi kilikufanya uwe kwenye chama ulichokuwa nacho kabla hujajiunga kwingine?
2. Na ulipoamua kuunga mkono juhudi; kipi kilichobadilika ulipotoka na kule...
Mimi ni raia wa kawaida wa nchi hii. Nachukuwa fursa hii kutoa ujumbe wangu kwa wasaidizi wa Mh Rais wetu wote kwenye Serikali na Chama (CCM)
Historia ya nchi yetu imepata doa ndani ya miaka 4 ya utawala wa JPM hilo halina ubishi. Ama iwe ni kwa bahati mbaya, makusudi au kwa kutojuwa ni DHAHIRI...
Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .
Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote...
Tumepiga marufuku mifuko ya rambo kwa yowe na maneno matam na sasa tunapiga marufuku utumiaji wa laini za simu kwa watu wengi kimya kimya na kwa utaalam mbovu, utadhani na hili ni new world oder (Maneno ya walevi tuyapuuze jamani, akili zao zinakimbia wakilewa zinarudi wakiwa wazima).
Turudi...
Kwa muda mrefu nimekuwa katika shuhuda kwa watu, ndani na nje ya nchi kuhusu mwenendo wa kanisa letu, viongozi wetu katika kanisa na hata kuhubiri mambo ambayo kwayo, KKKT limelelewa miaka mingi iliyopita.
Sishangai mabadiliko ndani ya kanisa, ila mabadiliko yanapokiuka misingi ya dini, imani...
Labda member fulani alikukela,alikufurahisha,unampenda sana,unapenda michango yake, nakadhalika.
Acha ujumbe wowote jwa member huyo either wa kumpongenza au kumtaka abadirike.
KWA MUDA MREFU NIMEKUWA KATIKA SHUHUDA KWA WATU, NDANI NA NJE YA NCHI KUHUSU MWENENDO WA KANISA LETU, VIONGOZI WETU KATIKA KANISA NA HATA KUHUBIRI MAMBO AMBAYO KWAYO, KKKT LIMELELEWA MIAKA MINGI ILIYOPITA.
SISHANGAI MABADILIKO NDANI YA KANISA, ILA MABADILIKO YANAPOKIUKA MISINGI YA DINI, IMANI...
Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya:
Ujumbe kwa TISS: Kila mtu ana saikolojia yake.
1. Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA
2. Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine wanaFIGHT
3. Sio kila mtu anaOGOPA kufa. Kuna wengine wanajiuwa wenyewe.
4. Sio kila mtu ana AKILI kama...
Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.
Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia...
JAMHURI: Wewe na Waziri Membe mna uhusiano gani?
RIDHIWANI: Membe mimi ni rafiki yangu, lakini pia Membe ni baba yangu, mentor (mlezi) wangu. Namwangalia kama mtu unayeweza ukamwiga kwa mawazo yake na utendaji wake. Nimemfahamu mara ya kwanza mwaka 1986. Tulikuwa tumetoka Arusha tumekuja Dar...
Aliyekuwa Mgombea katika nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa ya eneo la Mnara wa Voda, kupitia CHADEMA kabla ya Chama hicho hakijajitoa kushiriki, Sirili Homary amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake huku akidaiwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni
Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.