uhuru

  1. Kenya2022 HOTUBA KAMILI: Maneno ya mwisho ya Uhuru Kenyatta kabla ya kuachia Urais

    Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu. Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya kuapishwa kwa William Ruto iliyotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kasarani. “Kama alama kuu ya...
  2. Rais Uhuru akutana na Rais Mteule Ruto IKulu

    Rais mteule William Ruto saa hii anakutana na Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta na Ikulu, Nairobi. Ruto ameandamana na Mkewe Rais mteule Rachel Ruto. Ripoti zilionyesha kuwa viongozi hao wawili wanafanya mkono wa kibinafsi kabla ya kuapishwa kwa Ruto mnamo Jumanne katika uwanja wa Kasarani...
  3. Eti tulipigania Uhuru, iweje Muomboleze kifo cha Mtawala wa mwisho?

    Hii imekaaje, utasikia nchi za Afrika eti zilipigania na kupata Uhuru, sasa kama ni kweli ina maana aliyekutawala alikuwa adui, sasa iweje kifo chake kiwe maombolezo kwenu? Afrika ni takataka na tunadanganywa sana, hakuna nchi yoyote ile iliyopigania Uhuru, wote walipewa huo tunaouita uhuru kwa...
  4. M

    We are waiting for Wanjala S. Nasong'o to reflect on his article titled: Why Ruto is unlikely to succeed Uhuru!

    Does this mean William Ruto is absolutely destined to lose the August elections? Historical precedent and the dialectical odds dictate so. However, as Thomas Kuhn demonstrates in his Structure of Scientific Revolutions (1962), there are moments of anomalies where the established paradigm is...
  5. N

    Ni kweli Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari?

    Nimemsikiliza Shaka akiwa anaongea leo amesema kua Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutoa uhuru kwa wananchi kutoa maoni yao, ushauri na kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari, Ni kweli Tanzania sasa inauhuru wa vyombo vya habari maana magazeti mengi yanaandika kuikosoa serikali kitu...
  6. Kenya2022 Rais Uhuru Kenyatta: Nitakabidhi Madaraka nikiwa natabasamu lakini kiongozi wangu ni Raila

    President Kenyatta: I Will Hand Over Power Smiling, But Raila Is My Leader President Uhuru Kenyatta now says that he will gleefully hand over the reins to president-elect William Ruto on September 13, 2022, when his former deputy takes his oath of office. Speaking on Wednesday when he met...
  7. M

    Mashimba Ndaki, Waziri wa kwanza wa mifugo tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki

    Mashimba Ndaki Waziri wa kwanza wa mifugo Tanzania tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki apongezwe na kutiwa moyo zaidi Nawasalimu kwa Jina la JMT, Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961, Nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa...
  8. Hii ndio sensa ya kisasa na yenye tija kuliko zote tangu uhuru

    Licha ya mapungufu machache, mfano karani na mwenyekiti wanazunguka bila hata reflector na kofia utadhani ni bibi na bwana wanatafuta shamba hapa Kijijini lakini hii Ni sensa super Sana. 1: Maswali yanayoulizwa yakifanikiwa Serikali itakuwa na taarifa nyeti Sana za raia wake kila Kona. Kila...
  9. Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni matusi na jeuri

    Nawasalimu kwa jina la JMT Watanzania ni watu wa kulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli. Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama tozo mara nchi yetu...
  10. Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

    Nawasalimu kwa jina la JMT Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli. Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu...
  11. CHADEMA inapigania ustawi wa Tanzania, kwanini unaipinga?

    Wakati mwingine ukiangalia chuki walizo nazo baadhi ya watu dhidi ya CHADEMA, jambo unaloligundua kwa urahisi ni kwamba watu hao fikra zao na mwenendo wa maisha yao umeshazoea kugandamizwa. Ni kazi sana kwa mtu aliyezoea kuwa mtumwa na kuona "manufaa" ya kuwa mtumwa kukubaliana na mtu...
  12. Kenya2022 Ruto Ameshinda, Je, ni kweli Rais Uhuru Kenyatta Ameshindwa? Au Odinga kachezewa Mchezo?

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na amehudumu chini ya Rais Uhuru Kenyatta kwa takribani miaka 10 sasa. Pamoja na urafiki wa muda...
  13. Kenya2022 I'm yet to speak to Uhuru, says Ruto after win

    President-elect William Ruto says he is yet to have a conversation with outgoing President Uhuru Kenyatta. Mr Kenyatta had backed his rival, Azimio leader Raila Odinga, in the contest for Kenya's top seat. However, in a televised interview with the media at Bomas of Kenya after he was declared...
  14. R

    Kenya2022 Support ya Uhuru Kenyatta kwa Raila ilikuwa ni chenga ya mwili au?

    Habari wana JF, hivi ile support ya Uhuru kwa Raila ni siasa, chenga ya mwili kwa Raila? Kulingana na historia na siasa za Kenya, Uhuru alikuwa tayari Raila kuwa Mjaluo wa kwanza kuingia Ikulu au chenga tu?
  15. Wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tunakupongeza Rais Samia, ziara ya Rais kama hii haijawahi tokea toka uhuru

    Rais Samia akiwa Iringa Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi. Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela. Marais...
  16. M

    Angalia hii video Uhuru alivyo mnafiki

  17. Dome Okochi Budohi na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika

    Kulikuwepo na wazalendo kutoka nchi jirani ya Kenya kama vile Dome Okochi Budohi na Patrick Aoko ambao walikuwa wanajua vyema siasa za walowezi za kupora ardhi za wananchi. Kutoka kwa wazalendo kama hawa, Abdulwahid alipata usikivu wa mawazo yake ya kuigeuza TAA kuwa chama cha siasa chenye...
  18. W

    Kenya2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Habari wakuu! Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na...
  19. Kenya2022 Nairobi: Ruto ashinda Kura kituo walichopiga Kura familia ya Uhuru Kenyatta

    Licha ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kuwataka Wakenya wasimpe kura mgombea urais wa Kenya Kwanza na Naibu Rais, William Ruto bali wampe kura hizo mgombea urais wa Azimio la Umoja, Raila Odinga ameshindwa kumbeba mgombea huyo katika kituo alichopigia kura. ====== Licha ya Rais wa Kenya...
  20. Kama NHIF imefilisika, tafadhari watumishi wa umma wawe na uhuru wa kuchagua mfuko wautakao

    Dharau zimeanza sasa! Serikali inakoelekea itatufikisha kwenye point ya mwisho. Haya mapendekezo kuwa mteje wa nhif atibiwe kwenye kituo kimoja tu huu ni upuuzi kwamba kama nilikua natibiwa mwanza nikiugua nipo dar nisitibiwe? Eti mgonjwa haruhusiwi kutibiwa zaidi ya mara tatu kwa mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…