uhuru

  1. Komredi Kawaida: CCM ilipigania uhuru wa Tanzania na Mapinduzi ya Zanzibar

    Akiwa jijini Dar es Salaam, Manispaa ya Ubungo, Ndugu Kawaida ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa amerekodiwa akisema CCM ndiyo iliyopigania uhuru na pia imehusika na mapinduzi ya Zanzibar. Na baada ya hapo ndo ikaleta muungano. Ikumbukwe uhuru wa Tanzania ulipatikana 1961 kupitia chama cha...
  2. Mwaka 2050 Bara la Afrika litaanza harakati za kudai Uhuru

    Kwa namna ambavyo viongozi wetu wanajitahidi kubinafsisha rasilimali zetu - Hadi 2050 Bara la Africa litaanza kuvunja mikataba na kuwafukuza wawekezaji maana hawana manufaa kama tunavyoaminishwa kwa sasa. Wawekezaji watafukuzwa kama walivyofukuzwa wakoloni. Wananchi watakuwa hawana pa...
  3. Tanzania ni kati ya Nchi 12 za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye Vikwazo katika Uhuru wa Kujieleza

    Kwa mujibu wa Ripoti ya #GlobalExpression (GxR) 2023, Watu Milioni 363 katika Nchi 12 walipata vikwazo kwenye Uhuru wa Kujieleza, wakati Watu Milioni 165 katika Nchi 7 waliona Maendeleo ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza. Katika Miaka 5 iliyopita, Watu Bilioni 4.7 katika Nchi 51 walikumbana...
  4. M

    Viongozi wetu wajifunze kutoka kwa Uhuru Kenyatta

    Ni muhimu viongozi wetu wajifunze kuwa na busara wanaposhughulika na watu wanaotofautiana nao. NItaeleza. Mnamo mwaka 2018 huko Kenya, mwaka mmoja baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2017 ambapo Uhuru Kenyatta alitangazwa kushinda kiti cha urais akimshinda mpinzani wake mkuu Raila Odinga...
  5. "‘Kwa Usalama wa Taifa" kichaka cha kunyima uhuru wa kutoa taarifa na kuhabarishwa

    Prof Chachage S Chachage ni kati ya watu waliokuwa mstari wa mbele kwenye kutetea uhuru wa kuongea, kupata taarifa na kuhabarishwa. Suala hili liko wazi kwenye kazi zake ikiwemo Makuadi wa Soko Huria na kazi nyinginezo ambazo ameonesha uhitaji wake wa kuwa na uhuru wa kutoa na kupata taarifa...
  6. R

    Tatizo ninaloliona si kushitakiwa Mwabukusi na Mdude bali uhuru wa vyombo vya kutoa haki

    Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention! Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya! Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.
  7. Wananchi Simiyu wawajengea walimu nyumba za matope

    HABARI Wananchi wa Kitongoji cha Ihula kilichopo Kata ya Gibishi Halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wameamua kujenga nyumba za tope ili kuwawezesha Walimu kuishi jirani na shule. Wananchi hao wamesema walimu wakiwa karibu na mazingira ya shule wanao uhakikia wa kuwahi hususani...
  8. S

    Atwoli lectures Uhuru Kenyatta

  9. Uwanja wa uhuru haufai kwa Simba kuufanya uwanja wa nyumbani. Tafuteni uwanja mwingine hata mkoani

    Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi. Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru...
  10. Jukwaa la Wahariri (TEF): Uhuru wa Vyombo vya Habari Umeongezeka Nchini

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amesema uhuru wa vyombo vya habari umeongezeka nchini hivyo ni jukumu la waandishi wa habari kuwaibika na kuzingatia sheria zilizopo. Balile amesema wanahabari hawapaswi kuchafua taaluma yao kwa kutofanya kazi kwa weledi au kutumia vibaya uhuru...
  11. Mfano Uwanja wa Uhuru usipojaa Simba Day, tumeshaandaa cha Kuwajibu ambao Watatucheka na Kutucharura kwa Misifa yetu ya Kijinga?

    Yaani Timu iliyobeba Ubingwa na kufika Fainali ya CAFCC katika Siku yao ya Wananchi pamoja na baadae Kuruhusu Fungulia Ng'ang'a ( Mbwa ) Uwanja wa Mkapa haukujaa na hata kule Shamba la Bibi ( Uhuru Stadium ) haukujaa. Halafu leo anatokea Pimbi Mmoja ( tena ametumika sana Kutuumiza Simba SC )...
  12. Utausherekeaje uhuru wa Tanganyika huru?

    Hili swali linamuhusu Mtanganyika Mzalendo tu. Na Mtanganyika Mzalendo, kwa mujibu wa huu uzi, ni Mtanganyika yeyote anayeipenda nchi yake ya Tanganyika bila kujali anakoishi. Ikiwa wewe ni Mtanganyika Mzalendo, utausherekeaje uhuru wa Tanganyika huru? Uhuru upo karibu. Dalili zinaonesha kuwa...
  13. R

    Miaka 60+ ya Uhuru Tanzania haina makampuni ya kizawa ya kujenga majengo; Tunategemea Wachina!

    Kwanini tumedumaa sana na kujitengenezea mentality yakufanyiwa? Tunashindwa nini kuweka kwenye sera zetu kwamba ujenzi wa majengo Tanzania utafanywa na makampuni ya wazawa? Hata kama watataka kutafuta wageni kama engineer iwe ruksa ila tenda wapewe kampuni za ndani. Kweli tunakwenda kukopa nje...
  14. Uhuru Kenyatta: Mapinduzi ya Jubilee Party yalipangwa na Serikali

    Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta sasa anadai kuwa matatizo yanayowasumbua Chama cha Jubilee yalipangwa na serikali ya Kenya Kwanza na kutekelezwa kwa msaada wake. Uhuru alifichua kwamba, ingawa ilikuwa mpango wake wa awali kumkabidhi uongozi mpya wa chama baada ya kustaafu urais, jaribio lililodaiwa...
  15. Nyumba ya Mtoto wa Uhuru Kenyatta yadaiwa kuvamiwa na Polisi

    Uhuru Kenyatta’s Son Jomo's Karen Home Allegedly Raided By Police Former President Uhuru Kenyatta now claims that his first-born son Jomo's residence in Karen was on Friday raided by mysterious individuals who identified themselves as police officers. Addressing the media on Friday night...
  16. R

    Madaraka matamu ukiwa nayo; Uhuru Kenyatta na Familia yake wana pesa ila hawana amani. Wanapitishwa pagumu

    Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka. Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa waliandamana na wale wote waliokuwa wafuasi yake. Uhuru ameachia madaraka sasa hivi familia yake...
  17. Mama yake Uhuru Kenyatta aondolewa ulinzi

    Serikali imeondoa walinzi wa aliyekuwa Mke wa Rais Mama Ngina Kenyatta katika nyumba yake ya Gatundu na Muthaiga. Kulingana na maafisa, Mama Ngina, ambaye pia ni mamake Rais wa zamani Uhuru Kenyatta, maafisa wake wa ulinzi waliondolewa jioni ya leo muda wa saa kumi na moja jioni huku maafisa wa...
  18. Ipo Siku DP World watadahi uhuru wao

    Kama kile kipengele cha uhuru wa kumiliki ardhi ndani ya Tanzania kwa katika kitabaki vile ile😥😥😥. Naona hatari ya hawa waarabu kudahi uhuru wao maana wana haki ya ardhi, na wataongozwa na sheria zao nini kimebaki hapo Tukumbuke Dubai ni mdogo hivyo wanatumia akili kuipanua imaya yao, na kama...
  19. President Ruto To Uhuru: Stop Funding Raila, Ama tutakusafirisha na yeye

    President William Ruto has now fired a direct warning shot to his predecessor Uhuru Kenyatta over his alleged continuous association with opposition chief Raila Odinga. President Ruto, speaking in Nakuru County’s Mai Mahiu town on Friday, alleged that Uhuru has secretly been funding Odinga’s...
  20. SoC03 Kufikia Haki, Uhuru, na Amani ya Kweli: Vita Dhidi ya Ukandamizaji na Unyonyaji

    KUFIKIA HAKI, UHURU, NA AMANI YA KWELI: VITA DHIDI YA UKANDAMIZAJI NA UNYONYAJI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Haki, uhuru, na amani ya kweli ni mambo muhimu katika maisha ya kila mtu. Haki inahusu haki za msingi za binadamu, kama vile haki ya kuishi, haki ya kujieleza, na haki ya usawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…