The Union of European Football Associations (UEFA; yoo-AY-fə; French: Union des associations européennes de football; German: Union der europäischen Fußballverbände) is the administrative body for football, futsal and beach soccer in Europe. It is one of six continental confederations of world football's governing body FIFA. UEFA consists of 55 national association members.
UEFA represents the national football associations of Europe, runs nation and club competitions including the UEFA European Championship, UEFA Nations League, UEFA Champions League, UEFA Europa League, planned UEFA Europa Conference League, and UEFA Super Cup, and controls the prize money, regulations, and media rights to those competitions.
Henri Delaunay was the first general secretary and Ebbe Schwartz the first president. The current president is Aleksander Čeferin, a former Football Association of Slovenia president, who was elected as UEFA's seventh president at the 12th Extraordinary UEFA Congress in Athens in September 2016, and automatically became a vice-president of the world body FIFA.
Mbio za Urais wa FIFA zimeingia hatua ya mwisho kabisa, na Rais wa sasa Gianni Infantino ambaye amekuwa madarakani tangu 2016, sasa anakabiliwa na upinzani mkubwa zaidi kuwahi kutokea katika kipindi chake chote cha uongozi.
Leo Jumatano, Novemba 18 ni siku ya mwisho ya kuwasilisha majina ya...
Usiku wa saa 4 ya leo kwa mara nyingine tena kutakuwa na mechi ya kibabe barani ulaya kwenye Ligi ya Mabingwa (UEFA Champions League) ikiwakutanisha miamba hii miwili ya soka pale Parc des Princes (Ufaransa).
Kwa upande mmoja ni bingwa wa ligi ya ufaransa na ligi ya mabingwa ulaya Paris...
UEFA imethibitisha kupokea risiti zaidi ya 50,000 zilizowasilishwa na kwa Club ya Real Madrid dhidi ya uchunguzi wa Club ya Barcelona.
Kwa wasiojua Negreira case ni nini, Negreira alikuwa ni mwenyekiti wa kamati ya waamuzi ya Laliga.
Ambapo mwaka 2023 mamlaka za kiserikali zilikuwa zikifanya...
Ni siku nyingine tena ambayo wapenzi na wafuatiliaji wa kandanda hususani michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya maarufu kama UEFA CHAMPIONS LEAGUE wakisubiri kushuhudia draw ya michuano hiyo itakayofanyika siku ya leo Alhamisi (27 August 2026) mida ya saa 1 usiku kwa saa za Afrika ya...
Nyota wa Zamani wa Soka Africa, Yaya Toure ameweka rekodi ya kipekee baada ya kuwa kocha wa kwanza Mwafrika kuifikisha timu katika hatua ya ligi ya UEFA Champions League, bila kufungwa hata mchezo mmoja katika safari hiyo ya kufuzu.
Timu yake ya Slovan Bratislava imepita kwenye michezo kadhaa...
Rais wa Uefa Aleksander Ceferin amesema Gianni Infantino anahitaji kukumbuka kuwa yeye ni Mzungu baada ya kuelezea mpango wa FIFA wa kuuza hisa katika Kombe la Dunia kama mbaya zaidi kuliko ule wa Super League.
Mapema mwezi huu, baraza linaloongoza dunia liliacha pendekezo la Infantino la...
UEFA isema katika taarifa yake kuwa ombi la msamaha la Rais wa FIFA, Gianni Infantino, halibadilishi kitu chochote, na kwamba vyama vyake wanachama 55 vinasalia kwenye msimamo wa mpango wao wa kususia Kombe la Dunia.
Soma Pia:
Mataifa 55 ya UEFA yatangaza nia ya kususia Kombe la Dunia, ikiwa...
Nchi zote 55 wanachama wa UEFA zimepiga kura kwa kauli moja kuunga mkono mgomo wa kususia Kombe la Dunia, ikiwa ni hatua ya kupinga mpango wa FIFA wa kuuza hisa za mashindano yake kwa wawekezaji binafsi, kwa mujibu wa taarifa kutoka BBC Sport.
Hivi karibuni, Rais wa FIFA Gianni Infantino...
The 2026 UEFA Champions League final between Paris Saint-Germain and Arsenal will take place on Saturday, May 30, 2026, at the Puskás Aréna in Budapest, Hungary.
UEFA.com
Kick-off is scheduled for 18:00 CEST (Central European Summer Time).
UEFA.com
In local time for you in Dar es Salaam...
Bayern Munich Vs PSG; Leo! leo! leo! kazi ipo Ubavu chuma upande mwanaume mashine
Bayern Munich, wakiwa nyumbani katika dimba la Allianz Arena mbele ya mashabiki wao, wanawakaribisha Paris Saint-Germain kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League. Mchezo huu utapigwa saa nne...
Habari zenu,
Leo nusu fainali ya Uefa itakuwa ndo mwisho wa safari ya Arsenal kwani Atletico ndie atakayeshinda mechi hii, huu sio utabiri ndivyo inavyokwenda kutokea.
Atlético Madrid wanatarajiwa kuwa wageni wa Arsenal katika uwanja wa Emirates, kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League, mchezo utakaopigwa saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Nusu fainali ya kwanza iliyofanyika katika uwanja wa Metropolitano jijini Madrid...
Atletico Madrid wanatarajia kuikabili Arsenal kwenye dimba la Riyadh Air Metropolitano, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions League, kuanzia saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Mechi ya marudiano (2nd leg) inatarajiwa kupigwa Jumanne Mei 5, 2026 kwenye Uwanja wa...
Patashika kali inatarajiwa usiku wa leo, wakati Paris Saint-Germain watakapoikaribisha Bayern Munich kwenye dimba la Parc des Princes, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions League, kuanzia saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Kwa mujibu ya tovuti ya uefa.com, rekodi za...
Liverpool na Barcelona usiku wa leo zinakabiliwa na kibarua kigumu cha kujaribu kufanya mapinduzi (comeback) katika michezo yao ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA). Timu zote mbili zinaingia uwanjani zikiwa na deni la mabao mawili, hali inayozilazimu kushinda kwa...
Timu vigogo barani Ulaya Arsenal, Real Madrid na Liverpool ni miongoni mwa klabu zilizojua hatima yao baada ya droo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa Ijumaa.
Real Madrid watakutana tena na Manchester City katika hatua ya mtoano kwa msimu wa tano mfululizo, baada ya kupangwa...
Kuishi vijijini tabu yake ndio hii sasa
Unanunua king'amzi cha Dstv na hujuwi vifurushi vyake huwa vina bei gani
Naomba kufahamishwa ndugu wapenda michezo
Kwa sasa ni bei gani ili niangalime timu yangu ya PSG wiki ijayo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.