tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Stunnaman008

    SERIKALI AU MAHAKAMA: Nani Anahusika na Kesi ya Tundu Lissu? Tujadili kwa Sheria, Sio Mihemko

    Ndugu zangu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025. Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama? 1. UKWELI...
  2. fact only

    Mama na Baba wa Tundu Lissu na kaka yake...

    Hellow wa JF. Wazazi wa Tundu Lisu na Kaka yake wanapitia wakati mgumu sana huu mwisho wa mwaka 2026. Mtoto mmoja jela na mwingine kaburini in the same month. Sio mchezo.
  3. ngozimbili

    Safari ya Tundu Lissu kutoka Bulyanhulu hadi Leo… nini kimebadilika? 🇹🇿

    Na Mwandishi Wetu Nilimfahamu Tundu Lissu kwa mara ya kwanza wakati wa uzinduzi wa mgodi wa Barrick, alipokuwa pamoja na Rais wa taasisi yake, Dkt. Nshala, katika kipindi cha utawala wa hayati Dkt. Benjamin Mkapa. Wakati huo, gazeti la Rai lilikuwa na makala yenye kichwa cha habari...
  4. figganigga

    Philbert Paschal ndo nabii peke alitabiri kesi ya Tundu Lissu kwa Usahihi

    Philbert Paschal ndo nabii peke alitabiri kesi ya Tundu Lissu kwa Usahihi. Wengine walikuwa wanabahatisha na kwenda na upepo. Huu ni utabiri wa tatatu nimeona kwake. Nasubiri aseme kuna kiongozi aliiba kura akijua atafika 2030 kumbe hatafika. Kuna mtabiri mwingine kasema atarogwa afe kabla ya...
  5. Dennis Robert Shughuru

    Ukiangalia anayopitia Tundu Lissu huwezi mchukia au mshangaa Museven au Kagame

    Mimi nilikuwa simpendi Museven kwa mlengo wa yeye kungangania madaraka same kwa Kagame ila ukiangalia kwa mwenendo wa kesi na maisha ya Lissu huwezi tena washangaa wakina Museven na Kagame yaani mwacheni museven awaachie watoto wake na wajukuu wake wale matunda yake ya kuipigania uganda...
  6. lord atkin

    Hesabu za magereza Tundu Lissu atatoka tarehe 06/07/2029

    Kwa sheria za magereza ambapo mfungwa hutumikia theluthi mbili (2/3) ya kifungo chake. Hivyo kwa hukumu ya miaka minne yaani miezi 48 theluthi mbili ni miezi 32 ndiyo atatumikia. Kwahiyo inategemewa ikiwa hatashinda rufaa yake wala kupewa msamaha wa Rais basi Tundu Lissu atakuwa nje ifikapo au...
  7. K

    KUTOKA UHAINI HADI UCHOCHEZI: Uchambuzi wa Kisheria na Kisiasa wa Hukumu ya Tundu Lissu na Mustakabali wa Demokrasia Tanzania

    picha: Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akionyesha msimamo thabiti nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania wakati wa mchakato wa kesi yake. Wakuu wa jukwaa hili, Kama nilivyoahidi asubuhi ya leo hapa jukwaani kuwa nitaweka andiko refu la uchambuzi kufuatia maamuzi ya kesi inayomkabili kiongozi wa...
  8. Keynez

    Maswali yangu machache kuhusu hukumu iliyotolewa katika kesi ya Tundu Lissu

    Nina maswali machache kuhusiana na hukumu ya miaka 4 iliyotolewa dhidi ya Tundu Lissu. Hivi kama serikali ilikuwa imeshamfungulia Lissu kesi nyingine ya uchochezi iliyokuwa inasubiri hukumu ya kesi ya uhaini ili iendelee kusikilizwa, kwa nini hawa majaji wa kesi ya uhaini kama waliona kuna...
  9. Lamomy

    Ikitokea leo kipenzi chetu Tundu Lissu akishinda kesi yake dhidi ya Jamhuri, kipi utafanya ili kuonyesha furaha yako?

    Je, utachinja jogoo lako pendwa? Je, utafanya ibada ya shukrani kwa Mungu? Je, utaishukuru mahakama kutenda haki? Je, utashinda bar kulewa na kuiendeleza weekend kwa kishindo cha wakoma..!! Je, utaserebuka kwa muziki? Je, tutarajie mimba nyingi siku ya leo? Nyavu kutikiswa kwa wingi...
  10. J

    Free Mandela, hang vorster": balaa lililoibuka katika hukumu ya kesi ya Nelson Mandela kule Afrika Kusini linataka kuibuka tena kwa Tundu Lissu?

    Wakati Bw. Nelson Mandela alipopewa na kubambikiwa Kesi ya uwongo ya ugaidi kule nchini Afrika Kusini enzi hizo za Utawala wa Ubaguzi wa rangi wa Makaburu Bw. Baltazar Johannes Vorster, kwa jina lingine pia alikuwa anajulikana Kama John Vorster au kwa kifupi pia alikuwa anaitwa B.J. Vorster...
  11. S

    Tundu Lissu: I remain optimistic about tomorrow but I am also prepared for the worst!

    "I remain optimistic about tomorrow but am also prepared for the worst, so if the best comes, I will go straight to Arusha to take my brother home. If the worst happens, then the struggle will continue. It will not be the end of the world; it will just be a new chapter in the struggle for...
  12. A

    HOJA Hukumu Kesi ya Tundu Lissu irushwe mubashara kwa maslahi ya umma na kuepusha sintofahamu

    Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya Novemba 6, 2026, siku iliyopangwa kutolewa kwa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hali ya mvutano inaendelea kujitokeza kwa kauli na matamko. Kauli ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuhusu uwepo wa...
  13. econonist

    Kwa kweli Marekani ni model wa Demokrasia duniani.

    Kwa kweli Marekani ni model wa demokrasia duniani. Uchaguzi imefanyika ndani ya masaa sita washindi washajulikana na walioshindwa wamekubali kushindwa na maisha yanasogea. Hadi Rais kichaa Trump kakubali kushindwa na kuahidi kufanya kazi na democrats. Kwa marekani usipotekeleza sera zako...
  14. Keynez

    Kama hautaweza kuhudhuria mahakamani Novemba 06, basi walau simama pembeni ya barabara umpungie mkono shujaa Tundu Lissu

    Nadhani wengi wetu badala ya kuwaza kwenda mahakamani 06/11 siku ya kutajwa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, ambapo idadi inayoruhusiwa kuingia mahakamani ni ndogo na ili kuepusha rabsha, wengi tujiandae kusimama pembezoni mwa barabara. Kuna ruti ya kwanza ambayo huwa inatumika kumpeleka Tundu...
  15. The Palm Beach

    6/11, maamuzi ya mahakama kuhusu kesi ya Tundu Lissu yatasomwa. Msiogope wala msifadhaike mioyoni mwenu. Yote yako chini ya Udhibiti wa Mungu wa haki.

    Kuna baadhi ya watu wana hofu na fadhaa kuu ya nini kitatokea tarehe 6/11/2026, siku ya maamuzi ya kesi ya Mh Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa... Wengine wanaamini, Lissu tayari alishahukumiwa kufa na kwamba kinachosubiriwa ni hukumu hiyo kuwekwa wazi tu.. Mimi nasema, SIO KWELI na...
  16. tpaul

    Utabiri: Hukumu ya Tundu Lissu kuahirishwa hadi mwakani (2027)

    Hukumu ya Tundu Lissu ilipangwa kutolewa mnamo tarehe 6 Novemba, 2026. Zilikuwa imebaki siku 2 tu hukumu itolewe rasmi. Lakini kuna kitu cha hatari nakiona mbele. Mimi sio mtabiri wala mganga wa jadi lakini nina wasiwasi huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaahirishwa hadi mwakani kwa kisingizio...
  17. Mzee Mwanakijiji

    Angalizo kesi ya Tundu Lissu: Mahakama Kuu isifanye kazi ya CCM

    Na. M. M. Mwanakijiji Chama cha Mapinduzi kiko katika matatizo makubwa sana. Chama hiki kinachounda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado kinaishi kwa fikra za kushika hatamu. Katika fikra hizi chama hiki hakikubali kuwa kiko kwenye matatizo makubwa. Tatizo lake kubwa ni jinsi gani...
  18. Troll JF

    Kwanini CHADEMA wamemtelekeza Tundu Lissu Gerezani?

    Kwa mda mrefu nimekua nikifuatilia Sakata la Tundu Lissu naona Chama chake hakijafanya vya kutosha katika kumpigania awe huru na badala yake Wanaharakati ndiyo wamekua wakimpazia sauti. Hatua ya yeye Kutangaza kugoma kula ilikua inaonesha anajibambania mwenyewe japo naye ali ulaghai Umma kwani...
  19. M

    nitatuma maombi kwa viongozi wangu wa Kanisa Katoliki kuomba uanzishwe mchakato wa kumtangaza Tundu Lissu kuwa MTAKATIFU

    Majira yakifika, mimi nitatuma maombi kwa viongozi wangu wa Kanisa Katoliki kuomba uanzishwe mchakato wa kumtangaza Tundu Lissu kuwa MTAKATIFU. Kama hatajisalimisha mpaka mwisho, naamini atafaa kutangazwa kama MTAKATIFU.
  20. Ubaya Ubwela

    Countdown Zimebaki Siku 7 kuifikia Hukumu ya Tundu Lissu

    Huu uzi ni mahususi kwa kuCountdown siku zilizosalia mpaka kufikia humuku ya Jemedari Tundu Lissu TUTAKUWEPO
Back
Top Bottom