Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kwa muda mrefu Wakenya wamekuwa wakitumia mwanya wa upole na ukarimu wa Tanzania kuwazunguka katika mambo mengi sana, ukizingatia Tanzania walikua wanaichukulia kenya kama taifa jirani na ndugu lakini kumbe wenzao walitumia mwanya huo kuwazunguka katika mambo mengi hasa ya kiuchumi.
Kama...
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
Ni ukweli usiopingika yapo mambo Watanzania hawayajui, ni kweli baadhi ya wabunge hasa hao wenye fujo, baadhi yao wanatumia dawa za kulevya, bangi na pombe kali.
Anakuja pale si yeye, we unadhani ni yeye, kumbe si yeye, kwa hiyo ni tabu. Watu wa namna hiyo ukiwapa kamera ni tabu,- Spika wa...
Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote.
Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na kukubali madereva wake kupimwa na Wakenya, sasa imetangazwa hata kwa Uganda mwendo ndio huo huo...
Just like I have been saying, Tanzania doesn`t have any weight that can shake Kenya. With all the noise and hullabaloo they made in their country sometimes back, they have realized the truth and accepted that drivers to be tested by Kenyan authorities. This shows how powerful Kenya is towards...
Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza
Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua...
Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM.
Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni.
Maoni yangu:
Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
Happy Saba saba day!
Niende kwenye mada,Watanzania tuna bendera yetu ya taifa,na nimeona watanzania wengi wakiweka bendera za taifa kwenye magari yao,makanisa yao,ofisi zao nk na wengine kupewa bendera wanapoenda nje ya nchi hasa wasanii.
Nauliza je ninaweza kuweka mlingoti wenye bendera ya...
"Tanzania imetajwa kuwa ya 4 kwa ugonjwa wa Seli Mundu (Sickle Cell) duniani, hali inayosababisha asilimia 7 ya vifo kila mwaka. Watoto elfu 11 huzaliwa Tanzania na ugonjwa wa Seli Mundu kila mwaka."- Waziri Ummy Mwalimu.
=====
WAZIRI UMMY AZINDUA MWONGOZO WA MATIBABU YA SIKOSELI...
Wintech Elevators Tanzania Ltd
ACCOUNTANT PERSON -( 1 Position )
QUALIFICATIONS:
Holder of Form IV certificate, Diploma in Accounts, Diploma in Marketing reference to position.
At least 2 years job experience in related course
Able to drive motorcycle is an added advantage for account and...
Nawaambia haya, kwa uzoefu wangu ndani ya Serikali, CCM na kwenye Idara Nyeti za nchi hii. Nisikilizeni na muelewe:
1. Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni zaidi ya uchaguzi kati ya CCM na vyama vya upinzani. Uchaguzi hubeba mustakabali wa nchi kiusalama, kiuchumi na kadhalika. Kuuchezea uchaguzi ni...
Kama inavyojieleza hapo juu ningependa kufahamu kama Sugar Beets ambayo ni mbadala wa Sugar Cane (MIWA) kwenye kutengeneza sukari ya majumbani inalimwa wapi hapa Tanzania.
Wana Jf,
Nimesoma thread mbalimbali zikimwonyesha mtoto wa Rais mstaafu kuwa anaandaliwa kuja kuwa Rais wa JMT baada ya kustaafu Magufuri 2025, Rais Magufuri Urais ameupigania kuanzia pale alipochukua form kugimbea ubunge, kwani ndiko alijiandaa mwenyewe kupitia kazi zake alizokuwa anatumwa na...
Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown
Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la CORONA.
Chanzo: Daily News Tanzania
Najua kuna watakao elewa hili ni kuna ambao hawataelewa hili;
Kama taifa inabidi wakati tuamue kama taifa tunataka kuwa taifa la namna gani,Je tunataka kuwa taifa la walalamishi,walaumuji,wajutaji na watu tusio na mbele wala nyuma au tunataka kuwa taifa la watu jasiri waleta mabadiliko waota...
Tanzania criticises Moody's for negative rating outlook
Credit: Reuters - Tanzania criticises Moody's for negative rating outlook
DAR ES SALAAM, March 5 (Reuters) - Tanzania criticised Moody’s decision to impose a negative outlook on the country’s first international credit rating, saying the...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela amekutana na kufanya mazungumzo na madereva wa Tanzania katika mpaka wa Tanzania na Kenya Horohoro kwa lengo la kupata suluhisho la mgogoro kwa madereva hao kuzuiliwa kuingia Nchini humo.
Amepiga marufuku madereva wa Tanzania kupimwa virusi vya corona...
Kibano ambacho vyama vya Upinzani Tanzania vinapitia tangu Rais Magufuli aingie Madarakani 2015 ni sawa na kibano cha Polisi wa Marekani kwa George Floyd (RIP).
Tunaingia Uchaguzi Mkuu wa 2020 bado Wapinzani hawana RUKSA ya kufanya mikutano iwe ni ya ndani au ya nje. Hakuna kuandamana wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.