tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mindi

    Msimamo wa Tanzania kuhusu Korona uliotolewa katika kikao cha Umoja wa Afrika AU ni ubabaishaji

    Nimemsikiliza waziri Kabudi ambaye alimwakilisha Rais Magufuli kwenye kikao cha Umoja wa Afrika. Wakati Rais Ramaphosa wa Afrika ya Kusini akiwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake, akieleza jinsi korona ilivyovuruga mipango ya maendeleo katika bara la Afrika, Tanzania ilitoa msimamo wake na pia...
  2. Webabu

    Hoja za Tanzania na Burundi kuhusu Corona ni za kuigwa

    Kwa upande wa Tanzania raisi wa nchi hiyo Makufuli alipokuwa akizindua shamba la miti kwao Chato alisema tuendelee kuchukua tahadhari ya ugonjwa lakini hakuna haja ya kujawa na hofu na kwamba watu wajifukize na hata akataja dawa zilizothibitishwa na mkemia mkuu kuua virusi na bakteria...
  3. Buyaka

    Burundi yafuata nyayo za Tanzania, yakataa chanjo

    Kuna wakati Tanzania enzi za Rais Julius Nyerere tulikuwa tunachukuliwa kama kinara wa misimamo mikali ya dunia ya tatu dhidi ya wakubwa walioendelea. Halafu tukazorota, mpaka tukapelekeshwa mputa na the Kenyans, of all the nations of the world. Ujio wa John Magufuli umeturudishia kiti cha...
  4. Bipolar

    Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Umulikwe

    Haiwezekani mtu ulipie visa, ubalozi ukosee (mfano Jina au tarehe)katika kuandika visa, halafu ukiwaambia warekebishe wanasema ulipie upya. Huo ni utapeli na haileti taswira nzuri kwa nchi. Kama ndiyo utaratibu wa Balozi zetu kulipisha watu mara mbili wakati kosa ni la ubalozi, mamlaka husika...
  5. K

    'Visit Tanzania', Ubunifu mwingine kutoka kwa Barbra Gonzalez

    Wanasimba na Watanzania kiujumla ni kama tumepitishwa kwenye mlolongo wa matukio kadhaa kutoka klabu yetu andamizi kwa muda mfupi. Kwa lugha iliyokuja na meli matukio haya tungeita 'Surprises. Mara Simba Super Cup na sasa Visit Tanzania. Ukiangalia bila kuweka ushabiki yote ni Ubunifu...
  6. demigod

    Nini Mantiki ya kuwatangazia Waafrika Waitembelee Tanzania?

    Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu. Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika? Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors...
  7. S

    Ni vikwazo gani Tanzania na baadhi ya nchi nyingine za Afrika zitawekewa baada kukataa chanjo ya Covid -19?

    Shirika la Afya duniani (WHO) limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo. WHO limasema kuwa chanjo hizo ambazo ni dozi milioni 336 za AstraZeneca/Oxford na Pfizer-BioNTech, zitatolewa kwa muhula wa kwanza na wa...
  8. Superbug

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), naomba majibu ya maswali haya...

    1. Jamii ya watanzania haipendi kujisomea. 2. Wanafunzi wa Tanzania hasa O level hawawezi kujisomea bila usimamizi wa mwalimu. 3. Familia nyingi Tanzania hazina uwezo wa kuwanunulia watoto vitabu ili wajisomee nyumbani. 4. Shule pia hazina vitabu kabisa vya kutosha. 5. Shule zilifungwa muda...
  9. Leslie Mbena

    CCM nipe uwezo nitangaze Ujamaa Tanzania kote

    CCM NIPE UWEZO,NITANGAZE UJAMAA TANZANIA KOTE. Leo 10:15hrs 05/02/2021 Tarehe 5 mwezi wa pili tunaadhimisha kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi,CCM kilichozaliwa tarehe 5 February 1977.Tunapokumbuka kuzaliwa kwa CCM tunakumbuka pia kuzaliwa kwa Azimio la Arusha ambalo nalo lilizaliwa tarehe 5...
  10. Analogia Malenga

    Tanzania na Burundi haziko miongoni mwa nchi zitakazopewa chanjo ya corona

    Shirika la afya duniani WHO limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo. WHO linasema kuwa chanjo hizo ambazo ni dozi milioni 336 za AstraZeneca/Oxford na Pfizer-BioNTech, zitatolewa kwa muhula wa kwanza na wa...
  11. L

    Je, inawezekana kuwa spika Ndugai akawa ni Mtumishi Umma anayelipwa zaidi Tanzania?

    Katiba yetu inasema Spika sio lazima awe Mbunge hivyo basi kuna mshahara wa cheo cha Spika ambao kwa kawaida ni mkubwa kuliko mshahara wa ubunge. Kwa mahesabu haya: 1.Ubunge 11 millions 2. Spika 11 + X millions Jumla inaweza kucheza kwenye 28-30 millions. Ukizingatia kwa sasa CEO wengi wa...
  12. YEHODAYA

    Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

    Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa...
  13. The Palm Tree

    Rwanda, Kenya, Uganda, DR Congo na jirani wengine waanza kupokea chanjo ya COVID 19. Burundi na Tanzania - NO DATA YET

    Katika nchi za Afrika Mashariki, inaonesha kuwa ni Burundi na Tanzania pekee ndiyo hazina virusi vya korona na kwa hiyo hawahitaji chanjo ya COVID 19. HOFU na WOGA ni roho za kuzimu na infact ndiyo lango kuu la nguvu za uharibifu na kifo.... IMANI kwa Mungu Baba Muumba wa vyote ndiyo UHAI na...
  14. comte

    Hii hapa hukumu ya Kiswahili iliyotolewa na aliyekuwa Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania Mh. Galeba

    Nimeisoma hukumu hii na kwa maoni yangu JPM ametenda haki kumpandisha cheo. Aidha nitoe rai kwa vyuo vyetu vikuu vione namna ya kutambua mchango wa Jaji Galeba wafikirie kumpa Udaktari wa heshima.
  15. B

    UNCHR : Wakimbizi 110,000 warejea Burundi toka Tanzania

    Rais Evariste Ndayishimiye apokea ujumbe wa UNHCR uliofika kumuona Mwakilishi wa UNHCR Abdul Karim Ghoul ktk mazungumzo yake na Mh Rais Evariste Ndayishimiye amebainisha kuwa kutokana na utulivu Burundi shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi UNHCR wamefanikisha wakimbizi 110,000 kurejea...
  16. Kipenzi Changu

    Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

    Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu. Kazi ipo mwaka huu.
  17. chrome

    Je, Tanzania ingefikia huku kama Guinea ya Ikweta? Familia na madaraka

    Teodoro Nguema Obiang Mangue ni makamu wa pili wa rais wa Guinea ya Ikweta - na wakati huo huo ni mtoto wa rais. Baba yake, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ametawala nchi hiyo tangu mwaka 1979. Wakati huo huo mtoto wake wa kufikia, Gabriel Mbega Obiang, ni Waziri wa mafuta. Kampuni ya mafuta ya...
  18. Ushimen

    2 New Vacancies At JHPIEGO Tanzania, February 2021

    JOB VACANCIES Click on each job to read full details and apply/BONYEZA kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Project Director- (1 Post) 2. Business Analyst- (1 Post) Jhpiego offers competitive salaries and a comprehensive employee benefits package including: medical and dental...
  19. funaku

    Tiba asili isigeuzwe biashara ya Wahindi au hisani ya Wamarekani

    Niwapongeze wizara ya afya na Ustawi wa jamii kwa kutambua mchango wa TIBA ASILI (SIO MBADALA) kama sehemu ya mfumo wa afya Tanzania na nia yao ya kuonesha kuwa tiba zetu za asili ambazo zimekuwepo miaka mingi zinaweza kuwa sehemu ya ubunifu na msaada mkubwa nyakati za milipuko na nyakati za...
  20. Ushimen

    4 New Vacancies At USAID Tanzania, February 2021

    JOB VACANCIES Click on each below to read full details and apply/ BONYEZA kila moja hapo chini kusoma maelezo kamili na kuapply: 1. Administrative Assistant- (1 Post) 2. Accounting Technician - (1 Post) 3. Project Accountant- (1 Post) 4. Supervisory Voucher Examiner- (1 Post) CLOSING DATE...
Back
Top Bottom