tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Secret Star

    Nina shida na mtaalamu wa leseni za Tanzania Gaming Board

    Hello wakuu natafuta mtu yoyote amba ana ujuzi wa leseni za Tanzania Gaming Board Jinsi zinavyofanya kazi, nimeshatuma propasal ya suala langu TGB nimeambiwa inaweza kuchukua wiki tatu hadi mwezi so wakati inafanyiwa kazi nataka nikutane na mtu mwenye uzoefu anipe elimu zaidi, nitashukuru sana...
  2. M

    Hivi ni baadhi ya vitu nchini Tanzania ambavyo vimekua tunaviomba kwa unyenyekevu wakati tunalipia pesa zetu

    1. Maendeleo kutoka kwenye kodi zetu - Picha linaanza mradi na pesa vyote kwa pamoja vinaonekana ni vya kiongozi, utasikia kiongozi akijitapa eti ni yeye anatoa pesa, atajisifu ni mradi wake utafikiri anajenga nyumba yake kwa pesa zake wakati pesa ni kutoka kwenye kodi za wananchi, na ukileta...
  3. Tochuku

    Ni njaa ama kukosa akili, kabila Gani Tanzania linapigia mwanamke magoti? Nimesikia aibu sana 🚮

    Labda mniambie wajuvi ambao mnajua jamii nyingi za kitanzania na makabila mbalimbali tamaduni zao Na utu uzima wangu huu ni wapi, ambapo mwanaume anamsujudia mwanamke? Tunaacha kumpigia magoti Mungu alieumba Dunia hii tunampigia magoti mwanadamu? Yan na wewe umekaa kwenye kiti umejitanua kabisa...
  4. Traxtion

    Simu za Raddy zinazotengenezwa Tanzania, ingependeza ziwe na quality nzuri na bei nzuri kuanzia mwanzo ili kutengeneza trust kwa wateja

    Nimeona leo tangazo la simu za Raddy ambazo zinatengenezwa Tanzania. Ni hatua nzuri na nimefurahi kuona simu hizi za hapahapa Tz, maana wanasema kiwanda kimeajiri watz zaidi ya 1000 ila natamani wangeimprove product zao Kwa mfano nimeona hii simu yao inaitwa "Raddy Janja Pro" inauzwa 350,000/=...
  5. d coy++++

    Unahitaji mitambo? Heavy Industrial equipment in Agriculture, Construction, Mining and Industries. Karibu tuwasiliane 0754247000. Ubungo Dar es salaam

    Habari ya wakati huu. Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi. 1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp 2. Forklifts ( 3.5T, 5T & 7-10T) 3. Generators ( 17kva - 550kva ) 4. Wheel loaders ( 3T & 5T) 5. Excavators...
  6. Smartkahn

    Political Debate: Tanzania's current democratic governance system.

    Does Tanzania’s current democratic governance system genuinely serve the interests of its citizens and provide the best foundation for Tanzania’s future development? ======================= Motion states that “This House believes that Tanzania’s current democratic governance system is effective...
  7. WIDERANGE AFRICAN SAFARIS

    7 Days Tanzania Private Safari Experience with Widerange African Safaris

    7 Days Tanzania Private Safari Experience with Widerange African Safaris This carefully designed 7 Days Tanzania Private Safari Experience combines spectacular wildlife, breathtaking landscapes, authentic African culture, and unforgettable game drives. It is ideal for couples, families...
  8. Jannatul Firdaus

    Baada ya "free Juma Jux"; Hatimae Jux arejea Tanzania na kujumuika kwenye usiku wa henna wa zuchu

    Baada ya kuwepo kwa kampeni na gumzo kubwa mtandaoni la "Free Juma Jux", msanii nguli wa muziki wa Afro-R&B nchini, Juma Jux, hatimaye amerejea nchini Tanzania. Urejeo wa msanii huyo umeibua msisimko mkubwa miongoni mwa mashabiki, hasa baada ya kuonekana akihudhuria usiku wa Henna wa msanii...
  9. Burn the bridge _Tz

    Nimetenga 3m inisaidie kujiunga na jeshi la polisi Tanzania

    Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbaga wa uhakika ili nizame CCP karibu
  10. R

    "Mshindi ni Nani" Kipindi cha zamani Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD)

    Wahenga, miaka ya zamani nikiwa kama msikilizaji nguli wa RTD kuna kipindi nilikuwa nakipenda sana kiliitwa Mshindi ni Nani. Wakati kile kipindi kinaanza, kulikuwa na biti moja kali sana halafu unasikia kama mtu anapiga yowe "uuuuuwih...yau...yauyau" halafu ndo inakuja sauti ya kike kwa madaha...
  11. S

    Huduma mbaya Tanzania: Ni Ukoloni wa akili, si uzembe wa mfanyakazi

    Utangulizi: Tulipoishia mwezi uliopita, Mwezi uliopita, kama mtaalamu na mzoefu wa utoaji huduma (Customer Experience/CX), niliorodhesha dalili za huduma mbaya Tanzania: vitu kama"chenji na pipi," simu zisizopokelewa, majibu kama"Boss/mkubwa hayupo," na hadithi ya mgeni aliyeambiwa aende...
  12. Jamii Opportunities

    MCT Call for Expression of Interest to Lead the Future of Journalism in Tanzania

    APPOINTMENT OF MEMBERS TO THE GOVERNING BOARD AND BOARD OF TRUSTEES BACKGROUND The Media Council of Tanzania (MCT) is an independent, self-regulatory body for the media industry in Tanzania, established since 1995 to uphold professional standards, promote media freedom and ethical journalism...
  13. S

    Uzi wa kutoa maoni ya vikwazo vya ukuaji wa soka la Tanzania

    Wakuu karibuni mchangie maoni yenu kuhusu vikwazo vya ukuaji wa soka la hapa kwetu Tanzania
  14. Traxtion

    Raia 134 wa Burundi wamekamatwa Tanzania huku mvutano wa uhamiaji ukizidi kushika kasi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki. Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
  15. Zack Abdul

    UJUMBE WA SHUKRANI KUTOKA KWA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  16. P

    Madaktari wa Tanzania Tukio la jana ni ishara ya kutoheshimika kwao

    Kwa muda sana nimeona fani ya udaktari hasa nchi za banana republic ikidharauliwa kwa kuwa WENGI wao hawana pesa na hawazingatiwi stahiki zao. Wapo wachache waliokwenye sehemu za kimkakati wanaokotaokota lakini asilimia kubwa ni hohehahe tu. Tukio la jana ni symptom au ishara ya kutoheshimika...
  17. min -me

    Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

    Kozi ya nesi kwa Tanzania ni dhahabu mno , diploma RN wa nesi na degree , acha upumbavu wa kukaa kifala , wewe ni dhahabu mno kwenye huu ulimwengu. C.c Kiranga
  18. Zack Abdul

    TANZANIA YAONGEZA MAUZO YAKE NJE YA NCHI

    Katika mwaka ulioishia Julai 2026, mauzo ya bidhaa na huduma nje ya Tanzania yalifikia Dola za Marekani bilioni 19.99, sawa na ongezeko la asilimia 16.5. 🥇 Dhahabu: Sh. trilioni 14.93 🏭 Bidhaa za viwandani: Sh. trilioni 5.83 🌾 Mazao ya asili: Sh. trilioni 4.29 ✈️ Usafiri na utalii: Sh. trilioni...
  19. N

    Ushauri kwa Rais wa Tanzania na tukio la kigaidi la September 11, 2001 (25th Anniversary)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Kuelekea maadhimisho ya miaka 25 ya tulio la kigaidi la September 11, 2001, Rais wetu wa JMT Samia S Hassan anaweza aka-post statement hii katika accounts zake za mitandao ya kijamii. ===== "As the friendly and peaceful people of the United States of America (USA)...
  20. Jannatul Firdaus

    Diamond Platinumz: Sitamani Tiffa aje kuishi Tanzania, wataniharibia mwanangu

    Zikiwa zimebaki siku tatu kuelekea arobaini ya mtoto wa zuchu na Diamond, Densa wa Diamond, Moise Iyobo amemuuliza Diamond amejipangaje kuwalinda watoto wake hawa Wakike ambao tayari anao? Diamond amesema, hatamani mwanae Tiffa aje Kuishi Tanzania Kwa sababu vijana wame mpania sana kulipiza...
Back
Top Bottom