taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Huko FB wananchi wanafurahia kifo cha Kamishina wa polisi. Taifa limefikia pabaya sana.

    Mtu anakufa watu wanafurahia👇
  2. J

    David Kafulila: Utajiri wa taifa lolote duniani si vitu, ni ubora wa watu wake

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akiwa katika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, amekaririwa akisema kuwa “Kwa mujibu wa sheria, mradi wa ubia ni mali ya umma kabla, wakati na hata baada ya utekelezaji wake. Lengo kuu ni...
  3. Je taifa limekosa washauri, who are statecraftmen?

    Wanajamvi habari zenu, hongera kwa majukum mnayotimiza lakini pia poleni na matatizizo au shida mnazo kumbana nazo.Leo nitajaribu kuandika kwa kifupi mada yangu ili tuweze kuelimishana na kujuzana alafu mwisho tunaweza kufikia muafaka. Nchi yetu imepitia na bado unaendelea kupitia wakati mgumu...
  4. K

    Kisiwa cha Lupita: Tathmini ya kisheria na onyo la kinabii la Nyerere na Ndugai kuhusu ‘kuuzwa’ kwa Taifa

    Utangulizi: Mtikisiko wa Kitaifa Juu ya Kumiliki Ardhi Sakata la hivi karibuni la kutangazwa "kuuzwa" kwa Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika na bilionea wa Kimarekani, Tim Draper, limeibua mjadala mzito na hisia kali nchini Tanzania. Ingawa Wizara ya Ardhi ilifanya jitihada za haraka...
  5. M

    Serikali kuanza kutumia teknolojia ya mionzi kuchapisha taarifa katika tabaka kwenye kitambiulisho cha Taifa

    Hayo yamesemwa leo na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa leo 1, Septemba 2026 kwenye uzinduzi wa Septenba ya Utambulisho Amesema kuwa, "Ni kuboresha teknolojia ya kuchapisha vitambulisho. Tumekuwa na maoni mengi kutoka kwa wananchi juu ya uboreshaji wa kitambulisho. Sasa ndugu zangu waandishi...
  6. TANAPA yanyakua tuzo 6, hifadhi za taifa zazidi kutikisa ramani ya utalii duniani

    Na. Jacob Kasiri - Zanzibar Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeendelea kung’ara katika ulingo wa sekta ya utalii Duniani baada ya kushinda tuzo sita za World Travel Awards (WTA) 2026, ushindi uliotangazwa Agosti 28, 2026 katika hafla maalumu iliyofanyika usiku ndani ya Hotel ya...
  7. Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  8. K

    Hebu Tazama. Hii Ndiyo 'Cream' ya Uongozi wa Taifa Hili.

    Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM. Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima linazizima; kwa sababu maamuzi yaondiyo kila kitu kwa mwelekeo wa taifa hili. Labda 'niqualify' tu kwamba ni...
  9. K

    Hebu Tazama. Hii Ndiyo 'Cream' ya Uongozi wa Taifa Hili.

    Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM. Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima linazizima; kwa sababu maamuzi yaondiyo kila kitu kwa mwelekeo wa taifa hili. Labda 'niqualify' tu kwamba ni...
  10. Huwezi kutaka katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka...hapo hakutakuwa na Taifa moja

    Ni asiyejitambua tu ndio atalilia tuwe na katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka .......Eti Rais awe na nguvu sawa na Mwenyekiti wa kijiji cha mpitimbi au rais wa NGO s za kutetea haki ya mbu kuishi.!! Ukiruhusu katiba ya namna hiyo utakuwa na Taifa la kambale au uduvi kila mmoja ana ndevu...
  11. AFCON hivi Taifa Stars itashiriki? Maandalizi yanaanza lini?

    2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
  12. Je, tunaepuka vipi kifo cha Utambulisho wetu kidijitali? Uchambuzi - barabara na reli hazitatoshi kulinda Taifa.

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
  13. Uchambuzi: Barabara na Reli Hazitatoshi Kulinda Taifa. Je, Tunaepuka Vipi Kifo cha Utambulisho Wetu Kidijitali?Jukwaa (Sub-forum): Jukwaa la Siasa / J

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
  14. Sera ya CCM kuwa wafia chama badala ya nchi ndizo zinazo liua Taifa, wakibadili tu huo mtazamo wa tutapata viongozi bora kabisa maana wapo

    Na hata hivyo huko kwenye chama wanaburutwa tu kama tela la punda, Mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti tangu zama za nyerere ndio zinazo liua sana taifa hakafu kuna anasema nyerere mtakatifu, anautakatifu gani wakati alijiandalia katiba inayo mlinda yeye
  15. Taifa kwanza wakati wa Tanzania kuweka utaifa juu ya tofauti zetu

    Utangulizi Katika kipindi ambacho dunia inapitia mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiusalama, kuna jambo moja ambalo linajidhihirisha wazi zaidi kuliko wakati mwingine wowote: mataifa ambayo yanaweza kusimama imara mbele ya changamoto kubwa ni yale ambayo wananchi wake wana...
  16. Mapungufu yetu kama Taifa yalianzia hapa 1984 tulipobadili katiba ya Zanzibar

    MAPUNGUFU YETU KIMAADILI YALIANZA KWENYE MICHAKATO HII Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1984 na 1992 upande wa Jamhuri pia Uandishi wa Katiba ya Zanzibar mwaka 1984 na mabadiliko yalofuatia mwaka 2002. Mwaka 1984 tuliona mabadiliko kwenye katiba ya Tanzania na Zanzibar,kama leo hatuitaki katiba...
  17. S

    Uzungu' na 'uarabu' umejificha nyuma ya pazia la madai ya katiba mpya. Tusipokuwa makini, taifa litaangamia

    Madai ya Katiba Mpya imekuwa ni ajenda kuu ktk siasa za Tanzania kwenye kipindi cha mwishoni mwa muhula wa kwanza wa Utawala wa Rais Magufuri na kisha hoja hizo zikapamba moto zaidi ktk awamu hii ya sita. Hali imekuwa mbaya zaidi hadi kufikia kushuhudiwa mauaji ya watu wengi kwenye vurugu za...
  18. Kwa sababu hawataki katiba mpya, maandamano makubwa yaitishwa mpaka taifa letu lipate katiba mpya.

    Bila maamdano haki haipatikani. Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po. Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao. Bila maandamano hatupati katiba mpya.
  19. L

    Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa, Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda...
  20. E

    Profesa Shivji: Hatuwezi kuliponya Taifa bila kuwawajibisha waliotekeleza mauaji Oktoba 29, 2025

    Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ameyasemanhayo leo Agosti 28, 2026 katika kongamano la Tanzania Democracy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…