taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. TANESCO

    Wafanyakazi wa TANESCO nao hawakuwa nyuma katika kusherehekea miaka 95 ya kuliangaza Taifa!

    Kutoka mikoa mbalimbali nchini, kwa pamoja wameadhimisha miaka 95 ya historia, mafanikio na kujivunia kuwa sehemu ya safari ya maendeleo ya Tanzania. Miaka 95 ya ukubwa, na safari inaendelea! ⚡
  2. Red black

    Kuna timu inaenda kuliletea taifa aibu kesho

    #All the best Mouloudia Club.
  3. TANESCO

    TANESCO Yasherehekea miaka 95 ya kuliangaza taifa!!!

    TANESCO YASHEREHEKEA MIAKA 95 YA KULIANGAZA TAIFA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesherehekea miaka 95 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1931, likijivunia mafanikio yaliyopatikana katika safari ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme nchini.
  4. K

    Kama Serikali inawapoteza Vijana wenye maono kama haya wanataka Taifa la aina gani?

    Wakuu, habari za muda huu. Nimekutana na kipande hiki cha video cha kumbukumbu cha mwanaharakati na kiongozi wa vijana, Twaha Mwaipaya, ambaye mpaka sasa bado hajulikani alipo tangu ripoti za kutekwa kwake mwishoni mwa Oktoba 2026. Katika video hii, Mwaipaya anasikika akitoa msimamo mzito kuwa...
  5. TANESCO

    Miaka 95 ya kuliangazia taifa: TANESCO yaandika historia mpya ya nishati — Mbossa

    MIAKA 95 YA KULIANGAZIA TAIFA: TANESCO YAANDIKA HISTORIA MPYA YA NISHATI — MBOSSA 📌 Shirika lafikisha wateja milioni 6 na uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati 4,600. 📌Lengo ni kuzalisha megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030 na kumfikia kila Mtanzania. 📌Bodi ya TANESCO yaishukuru Serikali kwa...
  6. TANESCO

    Miaka 95 ya kuliangazia taifa: TANESCO yaandika historia mpya ya nishati

    MIAKA 95 YA KULIANGAZIA TAIFA: TANESCO YAANDIKA HISTORIA MPYA YA NISHATI — MBOSSA 📌 Shirika lafikisha wateja milioni 6 na uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati 4,600. 📌• Lengo ni kuzalisha megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030 na kumfikia kila Mtanzania. 📌Bodi ya TANESCO yaishukuru Serikali kwa...
  7. TANESCO

    Na hii ndio Maana halisi ya We are the Giant Company, Hesabu haidanganyi! Safari inaendelea kuliangaza Taifa la Tanzania

  8. TANESCO

    Heri ya Miaka 95 ya Kuliangaza Taifa!

    Habari Tanzaniaaaaa! Leo tunayo furaha kubwa sana ya kusherehekea miaka 95 tangu kuanzishwa kwa shirika lako pendwa la TANESCO! Yeeeees! Miaka 95 ya safari ya uthubutu, uvumilivu, ubunifu na mafanikio makubwa! Kutoka kuunganisha mamilioni ya Watanzania na huduma ya umeme, kutekeleza miradi...
  9. MWANDAMBO

    Abdul Nondo: Wakati wa kujadili hatma ya taifa si wakati wa kushindana kwa vyama!

    Nimemsikiliza Abdul Nondo, na kwa kweli nadhani amekosea kutambua kipaumbele cha kisiasa cha wakati huu. Wakati wananchi na umma kwa ujumla wameelekeza nguvu zao katika kudai HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI kuhusu yaliyotokea nchini, yeye ameamua kurudisha mjadala kwenye ushindani wa vyama vya siasa...
  10. Q

    Taifa la Tanzania halitokaa liendelee kamwe hadi CCM itoke madarakani

    Vision ya CCM sio kuiendeleza nchi wala sio kuiendeleza CCM na wanachama wake bali ni kukitumia chama kujinufaisha kwa baadhi ya watu, angalau Magufuli alionekana ana vision na nchi ila njia alizotumia zilikuwa sio sahihi. Familia chache sana zinanufaika nazo ni za kuhesabu, hazijali wananchi...
  11. Kaka yake shetani

    Kama kutafika 2030 basi hii Africa Mashiriki hawa wanaosema usalama wa taifa ni usalama wa CCM

    Ukiangalia kule haiti walikuwa na makundi ya kutishia serikali. Ila mnakumbuka kimbindi cha iddi amini kuvamiwa na Israel basi hizi nchi zetu ambazo funika kombe CCM na nchi zipite kuna siku zita kuja kufanyiwa jambo baya. Hesabuni siku nchi fulani.
  12. Waufukweni

    Jaji Masaju: Tusiruhusu Taifa letu kutawaliwa tena na Wakoloni

    ''Wakati ambapo taifa tunataka libaki kuwa huru, libaki huru lakini likiwa na umoja, hii ndio utambulisho wetu katika jumuiya ya mataifa. Taifa huru lakini lenye umoja. Kwa hiyo tuchukue kila zinazowezekana hatua halali kuimarisha uhuru wetu na umoja wetu. Tusiruhusu tuje tutawaliwe tena na...
  13. Yoda

    Kuna Taifa lenye maisha vurumai kama Nigeria hapa Africa? Infantino wa FIFA amejuta

    Ukifikiri bongo ndio taifa chaotic (shaghalabaghala) ambapo watu wanaishi maisha vurumai kiholela wakifanya biashara kila mahali, bodaboda na Bajaji zimejaa na hazina utaratibu maalumu, kelele za biashara, dini, mpira na kila aina ya vurugu, miji michafu basi unahitaji kujifunza Nigeria vizuri...
  14. Zamazangu

    DENI LA TAIFA

    Hii imetokana na tatizo letu la akili ndogo kutawala akili kubwa
  15. leroy

    Deni la Taifa: Kati ya Kenya, Uganda na Tanzania Nani Yuko Kwenye Hatari Zaidi?

    Kila tukisikia taarifa za Deni la Taifa, namba zinazotajwa zinatisha: Kenya inadaiwa takriban Dola Bilioni 100, Tanzania Dola Bilioni 43, na Uganda Dola Bilioni 37. Lakini wachumi wanasema jumla ya deni pekee haiwezi kukuambia kama nchi imezidiwa au la. https://youtu.be/d0bonWJ1bw4 Uchambuzi...
  16. MSAGA SUMU

    Wakuu hii ya bibi iwapite hili kuepusha laana kwa taifa.

    Japokuwa ni kali lakini wakuu hii naomba iwapite hili kulinda maadili ya nchi na kuepusha laana kwa taifa. Natanguliza shukrani wakuu
  17. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Kama vikao vya Samia vya safari ya maridhiano ni kwa ajili ya manufaa ya taifa lote na sio wajanja wachache, virushwe live na TV zote nchini

    Kama haya maridhiano yana nia ya kuliponya taifa, kwanini hayahusishi waliijeruhiwa kwa mrisasi, waliopoteza ndugu zao, na hayawashirikishi Chadema? Kwanini hayarushwi live na radio na tv zote nchini ili nchi nzima tujue kinachoendelea? Je kama mnapanga kutupiga tena risasi? Kwa kweli hatuna...
  18. Parabolic

    Kuuza au kununua kitu chenye alama ya Bendera ya Taifa ni kosa kisheria, utafungwa miaka miwili

    Kuuzaau kununua vitu zikiwamo T-shirt, bangili, skafu, tai hadi vishikizo vya funguo, bidhaa zenye Bendera ya Tanzania ni kosa kisheria na unaweza kufungwa miaka miwili au faini ya Sh20,000 au vyote kwa pamoja. Kwa mujibu wa kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Alama za Taifa, Sura ya 10, Toleo la...
  19. Yom HaDin

    Wakuu msaada: Serikali inawezaje kulipa watu faida kwenye Tresury Bills & Bond [ Hati fungani ] wakati hali yetu kiuchumi ni mbaya kama taifa?

    Nawasikiliza watoa elimu za kifedha [Certified financial educators] wanashauri watu wanunue hati fungani za serikali. Jamaa mmoja wa BOT kwenye semina aliwahi kuhakikishia ukumbi mzima haijawahi kutokea serikali ikashindwa kumlipa mtu aliyewekeza huko. Na inaonekana sio bongo tu ni karibu...
  20. Gabeji

    Hivi ni kweli hii kuwa ma-RAS wote, Wakuuu Mikoa, ni Usalama wa Taifa?

    Jamani nimeshangaaa sana baada ya kuabiwa kuwa asilimia 90 ya marasi ,wakuu wa mikoa, ni usalama wa taifa. Either ni usalama wa CCM, au usalama wa Rais au usalama wa Taifa. Nimeumia sana , nimeishiwa power. Kwa maana hiyo chadema au upinza kuitoa CCM bila nguvu kubwa ya umma, tusahau kabisa...
Back
Top Bottom