taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?

    JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani? UVCCM wamejazwa kwenye jeshi. Jeshi la Wananchi limegeuka jeshi la CCM. Jeshi linalinda ugali wa Watala wakati wao wanaishi kifukara
  2. Mwanasiasa Godbless Lema ni Kijana Makini sana hakika ni Hazina kwa taifa

    Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
  3. M

    Kwa Mara nyingine tena Dada wa Taifa Mange Kimambi ametibua mipango ya waharibifu.

    Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
  4. Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
  5. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aandamwa na tuhuma mpya za usaliti

    Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake, Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
  6. Huenda baadhi ya viongozi wa chadema taifa wakatimuliwa chadema mara tu baada ya hukumu ya mwenyekiti wao Taifa.

    Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu. Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na kukigawa chama hata kabla ya hukumu, na yakituhumiana kuhujumu misimamo ya chadema, agenda za chadema...
  7. M

    Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  8. Shabiki wa Yanga aliyemshambulia kocha wa Gaborone Utd akamatwe. Caf waifungie Yanga. Ushamba na upuuzi kama huu ni aibu kwa taifa letu

    Yanga watafungiwa kucheza mechi bila washabiki uwanjani kwa kosa hilo wewe mshabiki wa Simba huyo mshabiki ni wa hovyo sana pia inawezekana akawa mshabiki wa Simba alievaa jezi ya Yanga inatakiwa afuatiliwe sana kumjua vizuri zaidi.
  9. Hili taifa ni zito sana aisee, kutoka kuwa na ndoto za kuwa rais hadi kugeuka kuwa mtalaam wa nyota jukwaani 😁

    Denis, what happened bro?😁
  10. M

    Kwa nini mchezaji Clara Luvanda huwa haitwi timu ya Taifa ya wanawake

    Ukitegeme ndiyo mchezaji mwenye mafanikio kuliko wote Tanzania Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads/clara-aweka-rekodi-ya-usajili-duniani.2470896/
  11. Sheikh Abubakary Zubeir; Fungeni siku tatu kuombea taifa

    Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir, amewataka Waislamu Nchini kufunga kwa siku tatu kuanzia kesho hadi Jumamosi, huku wakimuomba Mwenyezi Mungu aliepushe Taifa na mabalaa na kulijalia mvua yenye kheri na baraka. Wito huo umetolewa kufuatia tahadhari za hali ya hewa, ambapo Mamlaka...
  12. Taifa Bila Vyombo vya Habari Huru na Imara ni Taifa Mfu. Gazeti la MwanaHalisi Lisamehewe Kuandika Ukweli?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, ambapo nimeibua hoja 4 nikiuliza kama wajua kuwa Taifa lisilo la mhimili wa Nne ulio huru na imara ni kama taifa mfu kwasababu ile mihimili mitatu ya Serikali, Bunge na Mahakama, itakuwa huru kujivinjari na madudu ya kila aina...
  13. Siku CHADEMA tukichukua nchi nini tutafanya kwa taifa letu?

    Mara nyingi wananchi hasa watanzania wamekuwa na hamu sana kusikia au kujulishwa kuwa CHADEMA tukichukua nchi na kuunda serikali kama chama tawala nini tutafanya kwenye hili taifa. Kwanza kabisa wananchi watanzania watanufaika na uhuru wao na haki za binadamu. Kila mtanzania atakuwa huru kutoa...
  14. Samia, Mamlaka ya Mwanamke na Somo kwa Taifa

    Tumtazame Rais Samia kama jaribio la Taifa letu kujifunza kitu ambacho hatukuwa tumekifanyia mazoezi kabla yake - Jinsi ya kumruhusu mwanamke kuwa na mamlaka. Kuna mjadala unaoendelea ambao, ukiuangalia kwa juu, unaonekana kama mjadala wa dini lakini ukiuchambua vizuri, ni mjadala mkubwa zaidi...
  15. Mbwa wa Taifa

    Mbwa wa taifa hata ukimlisha vipi hanenepi, na hata ukimnyima chakula hakondi. Hii brand ya mbwa inaitwa Toyota, 1KZ engine. Utakufa wewe utamwacha mbwa wa taifa anadunda
  16. Kenya ni taifa lisio na watu wenye busara wanaiga na yapo ambayo siyo ya kuiga

    Hili suala la iga iga kila ujinga litakuja siku moja iangamiza kenya,walianza kwa kuparamia suala la Demokrasia Ikawafyeka wao wenyewe sasa naona wapo na xenophobia ya aina yake, #THIS IS QUITE NOT FAIR,KUFANYIANA HAYA SISI WANA AFRIKA YA MASHARIKI....
  17. M

    Watu kufurahia kifo cha Mume wa rais wao kinaleta taswira gani kwenye taifa?

    Hii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla. Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki. Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki kwenye mioyo yao? Taifa limepasuka kila kona.
  18. Tukirudi kwenye chimbuko la mfumo huu tutaona maono ya Nyerere hayakuwa kumjenga mtu bali kujenga taifa lenye uongozi unaoweza kutenda

    Tunapojadili leo kwamba Rais ana mamlaka makubwa hivyo Tanzania inahitaji Katiba Mpya ni muhimu sana kurudi nyuma na kujiuliza Kwa nini Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alichagua mfumo wa Rais mwenye mamlaka ya kiutendaji baada ya Tanganyika kuwa Jamhuri mwaka 1962? Tanganyika ilipojipatia...
  19. Dkt. Kijaji: Moto ndani ya hifadhi ya taifa Kilimanjaro wadhibitiwa kwa asilimia 90

    Na. Philipo Hassan - Kilimanjaro Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), leo Septemba 5, 2026, ametembelea eneo ulipozuka moto ndani ya Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa lengo la kujionea hali ya eneo hilo na hatua zinazochukuliwa kudhibiti na kuzima moto huo. Akizungumza baada...
  20. S

    KERO Wanunuzi wadogo Mgodi wa Msasa, Runzewe - Geita tunapata shida, mizigo haipuliziwi rangi kwa wakati, inakuwa hasara kwetu

    Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za kujipatia kipato. Kwa kawaida, tunaponunua felo kutoka migodini, tunapeleka kwenye Steka kwa ajili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…