taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Ningeshauri wizara ya habari sanaa na utamaduni tuwaalike MANCHESTER UNITED nyumbani ili kuchuana na TAIFA STARS katika kipindi hiki kama KENYA.

    | ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
  2. M

    JWTZ Kama taarifa hii mmeikana, msahau kushinda vita au kuilinda Nchi, Siasa za CCM zimeua Taifa.

    Katika mitandao kuna huu ujumbe unasambaa na Jeshi linasema si taarifa sahihi. Sio kila fake news ni ya kupinga, zingine ziko kimkakati sana, JWTZ kukana hii taarifa kwa kutokukaa kimya ni kuruhusu rasmi vijana wajilinde wenyewe hata kwa kutafuta Silaha. Hii habari jeshi limekanusha kwa nguvu...
  3. N

    Tufanye nini kama taifa ili vijana wetu wawe na moyo wa kujitolea (kufanya jambo hata kama hatolipwa pesa) ndani ya jamii??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka. Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi" Au...
  4. Kwenu Mliojisahau, kila taifa lililoanguka lilianza kwa ukimya na kunyamazishana

    Kila taifa lililoanguka lilianza kwa ukimya na kunyamazishana. Hasa pale wanasiasa walipoikamata Intelijensia na wasiochaguliwa pia waliotupwa mkono kikatiba wakaitawala serikali. Kikubwa taifa huanguka Hasa pale jeshi likikoma kuwa la wote, likawa la mmoja au kikundi fulani. Mwanazuoni...
  5. M

    PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

    Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Kagera Na kutukana vikali kwamba maskofu wanavuruga amani ya nchi kwa kufukua makaburi. Basi ukaanza kujiuliza hapa wito ni matamuko hilo? Ni kufukua makaburi? Ukimia unayoga wa wananchi ni amani hiyo? Sasa naomba niwasomee...
  6. PostGE2025 Taifa linalia, Watanganyika wanaomboleza kimyakimya

    Kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, inaliacha taifa katika vilio vya chini kwa chini kutokana na makovu makubwa ya uvunjifu wa haki za binadamu. Kipindi hiki kinatawaliwa na simanzi nzito, huku jamii ikikumbuka jinsi mazingira ya kisiasa yalivyobadilika na kuwa...
  7. Je, Demokrasia ni Illusion?Je, Umma unaweza Kuamua mustakabali wa Taifa ama ni kulishana Upepo?

    Mwaka Jana 2025 tarehe kama ya Leo nilikuwa katika viunga vya jiji la Dar es Salaam.Hali ilikuwa shwari na waliokuwa wakishiriki katika mchakato wa uchaguzi walikuwa wakiendelea na kampeni katika hali ya utulivu.Hakuna ambaye aliamini kwamba yaliyotukia tarehe 29Oktoba yangetukia pamoja na kauli...
  8. Amani ni msingi wa maendeleo ya taifa letu

    Tanzania ni nyumba yetu sote. Tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kiitikadi zisituondolee utu, umoja na upendo tuliojenga kama taifa. Tuheshimiane, tusikilize maoni ya wengine, tutatue tofauti zetu kwa mazungumzo na tuepuke vitendo vya uchochezi na vurugu. Tuilinde amani, tudumishe umoja na...
  9. Yapo mambo mazito sana ya kujiuliza kama taifa nje ya masuala ya mabadiliko ya kiserekali.

    Ndugu zangu Watanzania salama? Kila ninapofuatilia mijadala ya kisiasa nchini kwetu, ninashangazwa sana na ukosefu wa hoja za msingi kuhusu namna ya kuendeleza Tanzania yetu na hatma yetu kama Taifa! Sote tunakubaliana kwamba tunahitaji kuishi ktk Taifa linalofuata misingi ya utu na haki...
  10. H

    Dkt. Mwigulu Nchemba : usalama wa chakula ni usalama wa taifa

    DKT. MWIGULU: USALAMA WA CHAKULA NI USALAMA WA TAIFA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema usalama wa chakula ni msingi wa usalama wa taifa na uthabiti wa uchumi. Amesisitiza kuwa wakulima wawezeshwe kupata mitaji, teknolojia, pembejeo bora na masoko ili kuimarisha uzalishaji. Amesema...
  11. CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  12. Ni taifa la kutekana tu. Wafuasi wa CHADEMA walitekwa na mpaka sasa wapo Magerezani

    Tumefikia pabaya sana. Watu wanatekwa kama tupo Syria au Yemeni kwa Wahouthi👇
  13. K

    Taifa haliwezi kujenga imani ya kudumu kwa kuwarubuni kwa matukio ya kisiasa. Ili watu wasahau maswali ambayo ni magumu na hayajawahi kupatiwa majibu.

    Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
  14. Kumwita mwenyekiti wa Chaso na kumuacha Kiliba ni ukorofi. Hatuwezi kuwa na taifa ambalo vyombo vya dola wanataka watu wote wawe upande mmoja.

    Hamjambo! Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo. Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
  15. Waziri Mkuu: Usalama wa chakula ni usalama wa taifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inauchukulia usalama wa chakula kuwa sehemu muhimu ya usalama wa taifa na msingi wa kudumisha uthabiti wa uchumi. Amesema upatikanaji wa chakula na lishe ya uhakika una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya wananchi na kuiwezesha Serikali...
  16. Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Day 2 ya Kongamano la 4 la Maktaba. Uwasilishaji Mada na Mijala Inaendelea.

    Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, leo pia niko tena hapa kwenye ukumbi wa Maktaba Kuu ya Taifa, kukuletea live, Day 2 ya hili Kongamano la 4 la Maktaba. https://www.youtube.com/live/5ELvBc_-9b4?si=nkjgk0zIL6DWv8zU Mzee Pasco.
  17. A

    KERO Walinzi tuliosimamia Mitihani ya Taifa Form 4 - Kakonko tumelipwa posho pungufu

    Walinzi tuliosimamia Mitihani ya Taifa Kidato cha Nne, Wilaya ya Kakonko tumepewa malipo yasiyoendana na siku za kazi yenyewe, tunakaa na mitihani siku 7 ila malipo tuliyopewa yalikuwa ya siku tano. Malipo hayo ni Sh 75k kwa siku, wengine vituo tulivyoenda kusimamia vilikuwa vya mbali na kutoka...
  18. CCM: Je, vyombo vya Serikali vinatumikia taifa zima au vinatumiwa kwa maslahi ya chama kilicho madarakani?

    Demokrasia imara inahitaji wananchi watofautishe chama, Serikali na dola; na pia inahitaji taasisi za umma ziwe na uwajibikaji, zifuate sheria na zihudumie wananchi wote bila kujali chama wanachounga mkono. Jambo la msingi: Kuchagua chama ni uamuzi wa kisiasa; vyombo vya ulinzi na usalama ni...
  19. Sativa umemsikia dada wa taifa haya tulete kati tulete kati hili aweza do it

    Kule IG dada kaongea vitu kibao sasa unajua nini kijana una kitu ndani yako na Mungu alikuponya kule Katavi kwa sababu ebu weka ukamalia pembeni hizi wiki mbili walete vijana kati
  20. Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Mgeni Rasmi ni Waziri wa Elimu, Profesa wa Ukweli, Prof. Adolf Mkenda.

    Wanabodi, Niko usawa wa Maktaba Kuu jijini DSM, kuwaletea live mubashara, Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Hii ni live streaming ya PPR https://www.youtube.com/live/by_M-S5y2nQ?si=unvr7AjYMYBjHUyW TBC pia wako live https://www.youtube.com/live/82WSK_aP0gA?si=sHuGGozGjH9KJ6OM Karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…