The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue
Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
Katika Quran hakuna mahali popote wazazi au walezi wameagizwa kuchapa au kupiga watoto kama adhabu, hayo sio katika mafundisho na maamrisho ya dini ya Kiislamu. Wanaume Waislamu wameelekezwa kuwapiga kidogo tu wake zao ila sio kupiga watoto.
Biblia ndio inasema watoto wapigwe ila sio Quran kwa...
KUPITIA PPPs, TUNATAKA KUWA NA SEKTA NDOGO YA KILIMO YENYE ZANA BORA ZAIDI, TEKNOLOJIA YA KISASA ILI KUONGEZA MCHANGO WAKE KWENYE UCHUMI (GDP)
Akijibu swali la Mwanachuo Rachel, Bwana David Zacharia Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC Tanzania, alisema watu wanapaswa kupungua katika sekta ya...
Nianze kuweka wazi kwamba si muumini wa kutazama mambo ya faragha za watu toka utoto wangu hata video pendwa za X sijawahi kuangalia, hivyo hata hizi connection naishia kusoma comments za watu na maelezo ya viongozi na kuangalia hatua wanazochukua
Mitandao imefurika connection ya mwanafunzi...
Watakamata na kuua watu, wataiba mali za umma. Watateka na kuua watu.
Umasikini utatamalaki maana wao na familia zao watakula mema ya nchi.
Tufanyeje ili waondoke madarakani kabla ya 2030?
Kuna jambo ambalo linapaswa kutupa tafakari kubwa kama taifa. Taifa linapofika hatua ambayo baadhi ya wananchi wanaona ni salama zaidi kukaa kimya kuliko kuzungumzia masuala ya nchi yao hadharani, tunapaswa kujiuliza maswali mazito kuhusu hali ya demokrasia, utawala wa sheria na uhuru wa...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndg. Dorothy Semu, ameeleza kuwa hukumu uliyotolewa na mahakama Leo dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ndugu Tundu Lissu, ina maana kubwa zaidi ya hatima ya mtu mmoja, kwa kuwa ni kipimo cha namna taifa linavyoheshimu misingi ya haki, utawala wa sheria, demokrasia...
But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
chadema
furaha
hadharani
heche
john
john heche
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti wa chadema
mpaka
mwanachama
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
pekee
taifa
umma
Kwa mikono yao sisiem sasa ni rasmi Lissu ni baba wa taifa.
Sisiem wamempa ufalme mheshimiwa Lissu kwa kishindo sana 😅
Nilipo ona ile cream ya watu wenye akili timamu hapo mbogamboga inapigwa vita nilijua hawa nyumbu kwisha habari yao😊
Baada ya Watu kulalamika kwamba huyu Mzanzibar Samia Suluhu Hasaan hakupata hata 20% bali Tume ndo imechakachua matokeo, sasa wameona aibu.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu ya 29.10.2025 kwenye Mtandao wao ili kuondoa Ushahidi.
Sasa hakuna...
Wazungu wa Afrika kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao, tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao hatuwezi kuwa na Makaburu hapa, halafu tukawaheshimu kwa sababu ni weusi ni makaburu." Mwl.JK NYERERE.
Tumefika katika nafasi ambayo ,tunavuruga chaguzi zetu bila aibu,tunatumia risasi za moto...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Mwaka Mmoja Wa Rais wetu Mpendwa Kitini ,Ni Mwaka Mmoja madarakani,ni mwaka mmoja mamlakani ,ni Mwaka mmoja Ofisi kuu ,ni mwaka mmoja wa utumishi wa umma uliotukuka ,ni mwaka mmoja wa kutoa majawabu toshelezi ,ni mwaka mmoja wa mafanikio .
Ni Mwaka mmoja ambao hakuna...
Ni nini mmepewa mpaka mnakuwa na kigugumizi cha kukemea ushoga? Magari? Dhahabu?? Ni nini basi?? *Nimechukia sana na ububu wao kukemea ushenzi ushetani huu
Katika ulimwengu wa siasa na utawala bora, misingi ya demokrasia imara inasimama juu ya mhimili mkuu mmoja: uhuru kamili wa mahakama. Mahakama inayojitegemea haipo tu kwa ajili ya kutatua migogoro ya kisheria kati ya raia na raia, bali ndiyo ngao kuu inayozuia mamlaka ya serikali na viongozi...
Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿
UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600.
Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ndio habari ya Mjini kwa sasa ambapo wana CHADEMA wana taka Lema apewe mikoba ya Wenyekiti wa Chama Taifa ili awavushe na kukiunganisha chama.
Wanaona Lema ni mtu sahihi mwenye uwezo wa kurejesha umoja nidhamu na kukiondoa chama kutoka mikononi Mwa Wanaharakati...
Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda.
Leo, swali kubwa si kuhusu nani...