Mabibi na mabwana kutokea taarifa za habari jana na pia baada ya kujiridhisha:
He! Kumbe yule mgeni wetu mpendwa kabisa, mwalikwa tokea pande za pale Burundi aliingizana nchini kwa kutumia moja ya madege yetu yale mapya mapya ya ATCL chapa ya twiga?
Ikizingatiwa uwanja wa ndege Bujumbura...