taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Kustawisha afya za watu ndio chanzo cha kujenga taifa lililo bora

    Hakuna kitu chenye thamani duniani kama mtu kuwa na afya bora. Afya bora ndio inampa mtu nguvu ya kuweza kufanya shughuli zake mbalimbali ikiwemo kujitafutia riziki kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Ni kama msemo wa Kiswahili unavyosema “Bora Afya Kuliko Mali”, yaani ukiwa na mali huku afya yako...
  2. Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa Taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir?

    Habari za wakati huu waungwana wa jamiiforums. Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir? Ni kweli kwamba wazungu walijua kiburi cha Al Bashir kilitokana na hazina kubwa ya mafuta hivyo wakaamua kuchochea...
  3. Je, Spika Ndugai asaidiwe kisaikolojia au aachwe?

    Dunia kuna vituko sana, Moja ya vituko vinapatikana Bungeni vikiongozwa na Job Ndugai. Huyu Ndugai anajulikana kama mheshimiwa Spika. Leo Ndugai ametumia dakika nyingi Bungeni akitaka kutetea legacy yake na kujifananisha na Spika Marehamu Samwel Sitta, Ndugai anaumia na kukwazika sana kwanini...
  4. Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

    Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
  5. Kidato cha sita kuanza mitihani ya taifa kesho

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza kuanza kwa mitihani ya taifa ya kidato cha sita na ya ualimu inayotarajiwa kuanza kesho Mei 3, 2021. Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Charles Msonde amesema jumla ya watahiniwa 90,025 wamesajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita ambapo kati ya...
  6. Kama Taifa ifikie nyongeza ya mshahara iwe inadaiwa mahakama kuu pale serikali inapowanyima wafanyakazi bila sababu za msingi

    Kwanza kabisa watanzania wanatakiwa kutambua kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara unaostahili kukidhi mahitaji ya msingi. Ibara ya 23(2) imetamka wazi kuwa watanzania wanaofanya kazi wanatakiwa wapate just remuneration. Hivyo kupata mshahara unaostahili ni takwa la kikatiba na ni...
  7. M

    Siyo sahihi viongozi wote wakuu wa nchi kuwa mahali pamoja kwa wakati mmoja, ni hatari kwa Taifa

    Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja. Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Line of Succession nzima inaweza...
  8. J

    Tangu CCM iasisiwe mwaka 1977 sijawahi kuona nafasi ya Mwenyekiti taifa ikigombewa na watu wawili au zaidi!

    Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti. Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati Mkapa then mzee Kikwete kisha hayati Magufuli wote hawa hawajawahi kushindanishwa na yoyote. Tusilete...
  9. Miradi kwa manufaa ya taifa

    LIJUE BOMBA LA MAFUTA LA TANZANIA UGANDA. NA ELIUS NDABILA 0768239284 Hivi karibuni Rais wa Tanzania Mhe Mama Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Mseveni waliongoza utiaji wa saini ya kuanza kwa Ujenzi wa bomba la Mafuta la Tanzania mpaka Uganda. Historia ya Ujenzi huu ni matokeo ya...
  10. Propaganda? Hao wasomi waliojaa pomoni wapo wapi? Mbona mimi siwaoni!!!

    Amani iwe nanyi wakuu! Kutokana na maoni ya watu na maneno ya mtandaoni na Bungeni kuwa wasomi wamejaa mtaani, basi Taikon niliamua kufanya kauchunguzi kadogo tangu mwaka jana mwezi wa nne kama huu. Nimeita kauchunguzi kadogo kujiepusha na masuala ya takwimu. Uchunguzi wangu na wala usiitwe...
  11. Askofu Mwamakula: Viongozi waliojenga maadui, watatumia nafasi zao kudhibiti wengine

    MOYO WA ASKOFU MWAMAKULA KWA TAIFA Unatafuta kuongoza Kitongoji, Kijiji, Kata, Jimbo, Wilaya, Mkoa na hata Taifa. Lakini unapanda miiba njiani ili kuwazuia washindani wako. Unatafuta uteuzi au hata ushindani wa kibiashara au unatafuta kushinda tenda Serikalini, lakini unatega mabomu ili kutaka...
  12. Miaka 57 ya Muungano: Rais Samia ielekeze serikali yako ijenge taifa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano. Nikupongeze wewe binafsi Mh.Rias kwa salamu ambayo inaonda matabaka na kuleta umoja ndani ya Jamuhuri ya Muungano. Hongera sana kwa ubunifu huu naamini ni mwanzo tu na mengi yatafuata. Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Tumekuwa na awamu tano...
  13. Tunaweza kuwa na kombe la muungano (April 26) kwa timu za taifa za bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu?

    Mambo vp JamiiForums Sasa tunalo kombe la mapinduzi kwa vilabu kutoka Tanganyika na Zanzibar, kwanini tushindwe kuwa na kombe la muungano (April 26) mechi moja tu kwa timu za taifa za bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu? Lilianza mwaka 1982 na kufa mwaka...
  14. C

    Ni nani aliyesema Rais Samia karekebisha mambo! Kama ni hivyo basi Taifa tumepoteza dira

    Habari wanaJF, Hoja: Ni either tumekuwa taifa la WANAFIKI zaidi au TUMEPOTEZA DIRA kabisa. Mh Rais hajarekebisha chochote. Nimekuwa nikifuatilia mijadala hasa ktk mitandao ya wanajamii (Twitter, Insta na ktk majukwaa ya CCM) kwamba Mama amefanya vizuri, na kwamba sasa tupo sawa kama Taifa...
  15. K

    Magufuli alikosea sehemu moja tu: Kuipenda CCM kuliko Taifa

    Tatizo moja tu ambalo Hayati Magufuli alikuwa nalo ni kupenda chama chake cha siasa CCM kuliko nchi ya Tanzania. Hii ilisababisha sana yeye kuangalia maslahi ya chama bila kujali maafa yake kwa taifa na nitatoa mifano michache 1. Kitendo cha kutumia usalama wa taifa kuchunguza wanasiasa wa...
  16. Israel ni taifa linalopenda vita na visasi. Inakuwaje liwe taifa takatifu? Taifa Teule?

    Binafsi sioni kama Israel ni taifa kioo kwa Mataifa Mengine. Sawa Israel imebarikiwa kulingana na Biblia Takatifu, lakini Je, inapaswa kuendelea kuitwa taifa teule na kuendelea kuhubiriwa makanisani kama mfano kama taifa takatifu? Utakatifu wake uko wapi wakati inamwaga damu kila siku? Israel...
  17. T

    Baada ya Mabadiliko ya Uongozi CCM, nani anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa?

    Naamini kwamba ndani ya CCM kuna wengi wenye sifa za kuwa watendaji wa CCM kutokana na uwezo wao, uzoefu wao wa kisiasa na utendaji. Kwa kuwa Rais wetu anapenda kufanya kazi na wenye sifa zifuatazo; a) Wachapa kazi b) Wabunifu c) wasikilzaji ( sio wababe) d)wenye sifa stahiki kwa nafasi e)...
  18. Leo Azam hatoki Taifa. Yanga tunamchakaza Vibaya sana. Tunashukuru kwa kazi iliyofanyika

    Pamoja na maneno ya kashfa aliyoyasema Saido habari za kula Mayai Viza n.k sisi hatujali na tumemsamehe bado ana utoto. Ila aulize wenzie watamweleza. Na ashukuru kuwa amesafishwa nyota yake sasa anafunga. Angekuwa hataki hayo asingekubali kupelekwa alikopelekwa na wazee.mwenzake Nchimbi si...
  19. Nafasi za kazi/ajira kwa walimu kutoka taifa online school

    Job Summary We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE. Job Description A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
  20. J

    Mbatia: Nampongeza Rais Samia kwa ubunifu, salamu za Asalam Aleykum, Bwana Yesu asifiwe na Mwanakondoo zililigawa Taifa

    Mwenyekiti wa Nccr mageuzi amempongeza Rais Samia kwa kubuni salamu mpya ya taifa ya " Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania " Mbatia amesema salamu za kidini za asalam aleykum Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo na Mwanakondoo ameshinda tumfuate zilikuwa zinaligawa taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…