The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Kutoka mikoa mbalimbali nchini, kwa pamoja wameadhimisha miaka 95 ya historia, mafanikio na kujivunia kuwa sehemu ya safari ya maendeleo ya Tanzania.
Miaka 95 ya ukubwa, na safari inaendelea! ⚡
TANESCO YASHEREHEKEA MIAKA 95 YA KULIANGAZA TAIFA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesherehekea miaka 95 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1931, likijivunia mafanikio yaliyopatikana katika safari ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme nchini.
Wakuu, habari za muda huu.
Nimekutana na kipande hiki cha video cha kumbukumbu cha mwanaharakati na kiongozi wa vijana, Twaha Mwaipaya, ambaye mpaka sasa bado hajulikani alipo tangu ripoti za kutekwa kwake mwishoni mwa Oktoba 2026.
Katika video hii, Mwaipaya anasikika akitoa msimamo mzito kuwa...
MIAKA 95 YA KULIANGAZIA TAIFA: TANESCO YAANDIKA HISTORIA MPYA YA NISHATI — MBOSSA
📌 Shirika lafikisha wateja milioni 6 na uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati 4,600.
📌Lengo ni kuzalisha megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030 na kumfikia kila Mtanzania.
📌Bodi ya TANESCO yaishukuru Serikali kwa...
MIAKA 95 YA KULIANGAZIA TAIFA: TANESCO YAANDIKA HISTORIA MPYA YA NISHATI — MBOSSA
📌 Shirika lafikisha wateja milioni 6 na uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati 4,600.
📌• Lengo ni kuzalisha megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030 na kumfikia kila Mtanzania.
📌Bodi ya TANESCO yaishukuru Serikali kwa...
Habari Tanzaniaaaaa!
Leo tunayo furaha kubwa sana ya kusherehekea miaka 95 tangu kuanzishwa kwa shirika lako pendwa la TANESCO!
Yeeeees! Miaka 95 ya safari ya uthubutu, uvumilivu, ubunifu na mafanikio makubwa!
Kutoka kuunganisha mamilioni ya Watanzania na huduma ya umeme, kutekeleza miradi...
Nimemsikiliza Abdul Nondo, na kwa kweli nadhani amekosea kutambua kipaumbele cha kisiasa cha wakati huu. Wakati wananchi na umma kwa ujumla wameelekeza nguvu zao katika kudai HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI kuhusu yaliyotokea nchini, yeye ameamua kurudisha mjadala kwenye ushindani wa vyama vya siasa...
Vision ya CCM sio kuiendeleza nchi wala sio kuiendeleza CCM na wanachama wake bali ni kukitumia chama kujinufaisha kwa baadhi ya watu, angalau Magufuli alionekana ana vision na nchi ila njia alizotumia zilikuwa sio sahihi.
Familia chache sana zinanufaika nazo ni za kuhesabu, hazijali wananchi...
Ukiangalia kule haiti walikuwa na makundi ya kutishia serikali.
Ila mnakumbuka kimbindi cha iddi amini kuvamiwa na Israel basi hizi nchi zetu ambazo funika kombe CCM na nchi zipite kuna siku zita kuja kufanyiwa jambo baya.
Hesabuni siku nchi fulani.
''Wakati ambapo taifa tunataka libaki kuwa huru, libaki huru lakini likiwa na umoja, hii ndio utambulisho wetu katika jumuiya ya mataifa. Taifa huru lakini lenye umoja. Kwa hiyo tuchukue kila zinazowezekana hatua halali kuimarisha uhuru wetu na umoja wetu.
Tusiruhusu tuje tutawaliwe tena na...
Ukifikiri bongo ndio taifa chaotic (shaghalabaghala) ambapo watu wanaishi maisha vurumai kiholela wakifanya biashara kila mahali, bodaboda na Bajaji zimejaa na hazina utaratibu maalumu, kelele za biashara, dini, mpira na kila aina ya vurugu, miji michafu basi unahitaji kujifunza Nigeria vizuri...
Kila tukisikia taarifa za Deni la Taifa, namba zinazotajwa zinatisha: Kenya inadaiwa takriban Dola Bilioni 100, Tanzania Dola Bilioni 43, na Uganda Dola Bilioni 37. Lakini wachumi wanasema jumla ya deni pekee haiwezi kukuambia kama nchi imezidiwa au la.
https://youtu.be/d0bonWJ1bw4
Uchambuzi...
Kama haya maridhiano yana nia ya kuliponya taifa, kwanini hayahusishi waliijeruhiwa kwa mrisasi, waliopoteza ndugu zao, na hayawashirikishi Chadema?
Kwanini hayarushwi live na radio na tv zote nchini ili nchi nzima tujue kinachoendelea?
Je kama mnapanga kutupiga tena risasi? Kwa kweli hatuna...
Kuuzaau kununua vitu zikiwamo T-shirt, bangili, skafu, tai hadi vishikizo vya funguo, bidhaa zenye Bendera ya Tanzania ni kosa kisheria na unaweza kufungwa miaka miwili au faini ya Sh20,000 au vyote kwa pamoja.
Kwa mujibu wa kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Alama za Taifa, Sura ya 10, Toleo la...
Nawasikiliza watoa elimu za kifedha [Certified financial educators] wanashauri watu wanunue hati fungani za serikali.
Jamaa mmoja wa BOT kwenye semina aliwahi kuhakikishia ukumbi mzima haijawahi kutokea serikali ikashindwa kumlipa mtu aliyewekeza huko. Na inaonekana sio bongo tu ni karibu...
Jamani nimeshangaaa sana baada ya kuabiwa kuwa asilimia 90 ya marasi ,wakuu wa mikoa, ni usalama wa taifa.
Either ni usalama wa CCM, au usalama wa Rais au usalama wa Taifa. Nimeumia sana , nimeishiwa power.
Kwa maana hiyo chadema au upinza kuitoa CCM bila nguvu kubwa ya umma, tusahau kabisa...