soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikiwa Rais soko la Kariakoo litaboreshwa maradufu

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengwa zaidi ya sh Trillion 1 kwa ajili ya maboresho makubwa sana ya soko la kariakoo ili kuondoa changamoto zilizopo mfano;- Frem zitakuwa na standard ambayo ni uniform sio sahivi kila mtu anajiamulia tu kutengeneza fremu anayojisikia Usafi utakuwa wa hali ya jùu...
  2. Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

    Elon Musk anakuja kwa kasi sana kwenye technology ya mawasiliano, kumbuka anamiliki satellite zake thus kwa technology za mawasiliano yupo cheap sana hata simu na laptop zake ni quality ya juu kwa bei ya chini kuliko products za apple yaani iphone na computer. Katoa tablet na simu ambayo...
  3. Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
  4. Bado fani ya ushonaji ina soko. Mnaoenda VETA someni hiyo

    Miaka kadhaa iliyopita nilibahatika kutembelea eneo la viwanda vya ushonaji huko Huanghuagang karibu na Ouzhuang & Dongshankou jimboni Guangdong, nchini China nikajifunza mengi. Ila kikubwa zaidi nilichojifunza ni kuwa wachina walichotuzidi ni skills tu kwenye ushonaji. Mashine wanazotumia ni...
  5. Mauzo ya bidhaa za Tanzania Soko la Ulaya yameongezeka

    MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA SOKO LA ULAYA YAMEONGEZEKA Kwa Mwaka 2024 thamani ya mauzo ya bidhaa katika soko la Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ilikuwa dola za Marekani millioni 686.3 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.6 ikilinganishwa na dola za Marekani milioni 633.5 mwaka 2023. Ongezeko hilo...
  6. Lazima bidhaa zote za plastic zitakuwa zinazalishiwa hapa Tanzania. Nia ni kuteka soko la dunia la plastic

    Hatutahitaji ruhusa ya nchi yeyote ile kwenye hili swala Petrochemical plant ni kiwanda kinachotengeneza raw materials kwa ajili ya bidhaa za plastics kama Ndoo, vikombe, mifuko n.k matanki nguo asilimia kubwa sana ya nguo zinatumia polyester nyuzi za plastics Mazulia -mazulia kama makapeti...
  7. Soko la mafuta haya ya nazi hapa bongo limekuwa kwa nguvu mno

    MABAHARIA WASHAELEWA🤣
  8. R

    Tumkumbushe waziri Jaffo kwamba Wachina wanajenga soko lao Ubungo au tumwache? Je, tumkumbushe kwamba mama alikataza kufunga biashara?

    Mhe. Jaffo kuna sehemu amekosea au amejielekeza vibaya kuhusu sakata la Kariakoo. Kama anataka kupambana na Wachina Kariakoo yampasa kwanza afuatilie mambo mawili makuu 1. Je, kuna kifungu cha sheria kinakataza wachina kumiliki biashara Kariakoo? Je Mataifa mengine kama Nigeria na Wahindi wao ni...
  9. H

    Soko la maharage Dar

    Wapendwa tupeane mchongo ndugu zangu. Je ni soko gani kwa hapa Dar linaongoza kwa biashara ya maharage? Yaani kama naleta kutoka mkoani naweza kupeleka soko gani ambapo wanachukua bila usumbufu mwingi? Pia ni aina gani ya maharage inayonunulika sana. Na kama una idea ya bei kwa mwezi April 2025...
  10. Ushauri unahitajika, Kati ya MD na DDS ipi nzuri kwenye soko la ajira kwa Sasa?

    Mdau mmoja anapitia changamoto juu ya program gani ya afya nzuri aende kusoma mwaka huu, yenye urahisi wa ajira.
  11. R

    Huawei waliishia wapi na ndoto zao za kutawala soko la simu duniani, Huawei bila Playstore ni kama chapati bila mafuta,

    Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore. Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani. Hali imekuwa tofauti sana...
  12. Ili Air Tanzania iweze kupenya soko la ulaya inabidi ifanye mipango na mikakati ya muda mrefu.

    Juzi kati hapa kulikuwa na mjadala niliokutana nao humu mtandaoni kuhusiana na Air Tanzania kufanya safari za moja kwa moja ulaya hadi hapa Tz. Kiukweli mjadala ule ulinivutia kwa kiasi chake ,lakini binafsinikagundua ili shirika hili liweze kupenya soko la ulaya itahitaji mipango,ubunifu na...
  13. Kuna ndugu angu amemaliza form 4 shule za technical na amefaulu vzr ila anataka chuo je asomee kozi gani yenye soko kwa upande wa technical?

    Huyo ndugu yangu kafaulu vzr kidato cha nne akiwa na B kwenye masomo yake ya ufundi kasomea electronics and communication engineering(B) , engineering science (B) na masomo yote ya science ana A Swala la A level hataki kusikia na kama ijulikanavyo tamisemi wamefungua dirisha la kubadilisha...
  14. X

    HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

    AI au akili mnemba ili iweze kufanya kazi inahitaji chip, na sio tu kila chip inaweza kufanya hivyo. Kuna chips maalumu na za hali ya juu kwa ajili ya AI. Na kampuni ya NVIDIA imekuwa supplier mkubwa wa hizo chips zinazoitwa H20 na H100. Na moja ya soko lake kubwa lilikuwa ni China. Wiki...
  15. PENDEKEZO: Kwa nini kusiwe na soko huria la mikataba (contracts)?

    Hello bosses and roses.. Kuna kitu nimekua nafikiria kwa muda mrefu, sina uhakika sana kuhusu uwepo wake kwa sasa au inawezekana kipo lakini kinafanyika kwa njia zisizo rasmi. Hebu fikiria scenario hizi 1) Mtu au Biashara au Kampuni X imepata tenda ya kufanya project fln na mkataba ukasainiwa...
  16. Ni ipi hatma ya ongezeko kuu la vijana wadhaifu amid kuporomoka kwa kasi soko la ajira na kupungua kwa rasilimali?

    UZAMIAJI UTAPELI UKAHABA USHOGA UHARIFU URAIBU Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda imeongezeka tena by 25%. Na katika ongezeko hili la vijana hawa utapata mixer mbali mbali za tabia na...
  17. Kuhamishwa soko

    Habari naomba, kuuliza wana JF kuhamishwa kwa wafanyabiashara sokoni ili ujenzi wa soko la kisasa. Lile eneo watakaoenda kugawiwa hao wanaohamishwa mtu anayetakiwa asimamie kugawiwa maeneo hayo ni mwenyekiti wa soko tu na mwenyekiti wa mtaa husika wa eneo jipya, halmashauru haihusiki kabisa...
  18. Naomba msaada mwenye kujua jinsi kilimo cha korosho, soko lake lipoje pia?

    Wakuu naombeni anae jua kilimo Cha korosho kinaendeshwaje, bei ya korosho, jinsi ya kuongeza thamani nk
  19. I

    Soko la zao la Beetroots

    Habarini wana JF. Naomba kujua soko la zao la beetroot. Mmea huu ingawa hausikiki sana miongoni mwa watanzania, ukijaribu kwenda sokoni unakuta inauzwa ghali kuliko mboga mboga zingine. Nimewaza hivi mtu akiingia shamba akalima kwa wingi vipi soko lake likoje especially kwa Dar? Mimi nipo...
  20. Mpaka soko liitwe soko mjinga linakuwa na sifa gani

    Wahenga walifikiria Nini wakayatungia majina masoko wakayaita soko mjinga na yapo kila mkoa..maana yake Nini kwamba ni soko chafu au dogo au lisilo kuu maana nawaza je soko likiwa mtaani ila safi la kisasa na lenyewe tuliite soko mjinga?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…