Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Katika sekta ya mifugo, changamoto kubwa si uzalishaji pekee. Mojawapo ya changamoto zinazowakabili wafugaji ni upatikanaji wa soko la uhakika na lenye bei inayolingana na thamani ya mifugo yao.
Mfugaji anaweza kutumia miezi au miaka kufuga ng'ombe, kuku, mbuzi au nguruwe, lakini anapofika...
Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, leo Novemba 24, 2026, amekagua ujenzi wa Soko la Kirumba, Wilayani Ilemela, Jijini Mwanza, unaotekelezwa chini ya Mradi wa Uendelezaji wa Miji Tanzania (TACTIC). Mradi huo wa Shilingi bilioni 14.7, unaojumuisha barabara ya kilomita 2.9 inayoelekea sokoni...
Ukienda eneo la nyumba ya soko la karume la mchikichini utaona lilivyokaribu na mchini na jinsi kulivyokuwa duni
Hakuna barabara hata moja za mitaani ambazo zinalami nyumba nyingi sana ni duni
Nyumba zilizoko kata ya mchikichini ni 2136 kutokana na idadi ya sensa ya mwaka 2022 hii idadi ni...
Soko la mifugo linakabiliwa na changamoto mbalimbali, mojawapo ikiwa ni utegemezi mkubwa wa madalali katika kuwaunganisha wafugaji na wanunuzi.
Mfugaji hutumia muda, fedha na nguvu nyingi kuzalisha mifugo, lakini anapofika wakati wa kuuza mara nyingi hulazimika kutafuta dalali ili kumpatia...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara, Stephen Wasira amekitaka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kujitanua kwa kutoa programu zinazokidhi mahitaji ya soko, kuwawezesha wahitimu kijiajiri na kuajiriwa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Novemba 20, 2026, aliposhiriki...
13 November 2026
Ankara, Uturuki
COP31 inalenga katika kuhamasisha ufadhili wa hali ya hewa ili kugeuza ahadi za Afrika kuwa vitendo
COP31 focuses on mobilizing climate finance to turn Africa’s commitments into action
https://m.youtube.com/watch?v=SCIRrGDDwG0
Huku COP31 ikichukua nafasi muhimu...
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
Wapanda mlima 22 kutoka kampuni ya ARiS Risk & Insurance Solutions Limited na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) wamefanikiwa kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro na kurejea salama, katika safari maalumu ya kuadhimisha miaka 30 ya mageuzi ya soko la bima...
Wananchi tunatoa wito kwa wahusika wa Machinjio ya Soko la Vingunguti kuzingatia ustawi na haki za wanyama wanaoletwa kuchinjwa.
Mbuzi na Kondoo wamekuwa wakiwekwa nje ya ukuta wa machinjio bila sehemu ya kujikinga na jua kali, hali inayoweza kuhatarisha afya na ustawi wao.
Wanaiomba mamlaka...
Maonyesho ya Kimataifa ya Uingizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamefunguliwa hivi karibuni mjini Shanghai, yakivutia idadi kubwa ya makampuni na wafanyabiashara kutoka Afrika.
Katika siku ya kwanza ya maonesho hayo, Kampuni ya kuchakata kakao ya Ghana ilipata oda ya tani 250 za kakao yenye thamani...
Akizungumza na vijana wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Mkurugenzi Mkuu wa PPPC, David Kafulila, alisema kuwa upande wa Serikali vijana ndiyo nguvu kuu ya kuleta mabadiliko na mageuzi yoyote ambayo taifa linayahitaji ili kusonga mbele.
David Kafulila alisema kuwa ili kufanikisha hilo...
1. UTANGULIZI
Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
Mitsubishi ni moja ya waanzilishi wa Magari ya Umeme (EV) ambapo mwaka 2009 alitoa Mitsubishi i-MiEV.
Pamoja na kwamba mauzo hayakua ya kimapinduzi kama Nissan Leaf au Tesla, ila credits wacha apewe.
Mbali na i-MiEV, pia alitoa Minicab EV na Eclipse Cross EV. Hayo tuyaache.
Sasa, tuna RVR...
Hadithi.
Kila Jumapili, padri mmoja (nadhani kule mkoani Mara) alikuwa na utaratibu wake: akipanda baiskeli kwenda kanisani, alisimama chini ya mti fulani wa muembe na kujisaidia haja ndogo kama mnyama fungo. 😂
Siku moja, akamkuta mtoto juu ya mti. Akamwita ashuke, kisha akampa pesa za...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza wakati akifungua Jukwaa la Soko la Kaboni na Uwekezaji Tanzania 2026, lililofanyika Jijini Dar es Salaam, Oktoba 22, 2026.
Dar es Salaam. Tanzania inalenga kuwa kitovu cha biashara ya...
Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa.
Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
Anonymous
Thread
afya
arusha
barabara
kero
kuu
mmoja
mnazi
mnazi mmoja
soko
Wafanyabiashara wa kigeni wanaotuhumiwa kukiuka vizuizi vya Tanzania vinavyowazuia raia wa kigeni kuendesha baadhi ya biashara, wanadaiwa kubadilisha mbinu ili kuendelea kubaki katika soko lenye faida la Kariakoo.
Wengine wanaripotiwa kutumia majina ya Watanzania kupata leseni za biashara, huku...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Waziri wa Mazingira wa Rwanda Dkt. Bernadette Arakwiye mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Masoko ya Kaboni Afrika wa mwaka 2026 unaofanyika kwa siku mbili Kigali nchini Rwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.