soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwa wafanyabiashara wa Soko la Kilombero na Soko Kuu - Arusha: Hii Inawahusu

    Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light. Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na...
  2. Rushwa na Matumizi mabaya ya fedha za Umma katika ujenzi wa Soko wilaya ya Kaliua. Waacha eneo lililotengwa kwa ajili ya soko, watafuta eneo jipya.

    Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi. Wananchi...
  3. KERO Tiketi za SGR: Mtandao unaonyesha "seats full" wakati mabehewa yapo wazi, nani ananufaika na mkakati huu?

    Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
  4. M

    Mpanda: Vibanda vya machinga vyabomolewa soko la Kilimahewa, Katavi

    Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro. Tukio hilo limeibua maswali kuhusu namna zoezi hilo lilivyotekelezwa na athari zake kwa wafanyabiashara wanaotegemea biashara hizo...
  5. Nyani katema bungo ; Trump akubaliana na Putin Urusi kuingiza tani zake za Diesel Marekani na kwenye soko la Dunia

    Moja kwa moja... Kutokana na Vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukraine Marekani na mataifa ya Ulaya wakaiwekea vikwavyo vingi Russia mpaka kwenye Gas na mafuta yao . Marekani na Trump wakawa wakali kwa mataifa ambayo yalikuwa yanaendekea kununua mafuta ya Russia mfano mzuri ni India ...
  6. BYD ETT 44 Electric Truck inakuja kumchallenge Tesla Semi. Inabeba hadi Tani 44 na inatembea hadi Kilometa 600+ full charge.

    Tesla amezindua Electric Semi officially juzi juzi, na amesema zitakua sokoni kuanzia 2027. BYD nae ameleta ETT 44 Electric Truck, ambayo ni 4x2, inabeba hadi 44T, na Ina 980 HP. Inakuja na battery mbili, kubwa ikiwa ni 630 kWh inayotembea hadi 600 km ikiwa full charge, na unaweza kuchaji...
  7. BYD wamezindua "kei car" ya Umeme special kwa soko la Japan - BYD Racco.

    BYD kujaribu kuingia soko la Japan, wamezindua "kei car" BYD Racco, kwenda kushindana na wakina Honda N, Nissan Roox, Nissan Sakura nk. Racco ni FWD 5 doors microvan inayokuja na battery la 22 kWh au 35 kWh, ambazo zinakupeleka Kilometa au full charge. Racco Ina power sliding doors, NFC...
  8. Tutumie siku ya kahawa duniani Leo october Mosi kunywa kahawa kukuza soko la ndani

    Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana. Umuhimu wake kwa Soko la Ndani: 1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania Ukweli mchungu: Tanzania inazalisha tani 70,000 kwa mwaka, lakini 92-93% inaenda nje,.mtanzania mmoja anakunywa kikombe...
  9. Soko la sabasaba Mwanza lawaka moto

    Soko la Mbao la Sabasaba lililopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza limewaka moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika, Moto huo ulioonekana usiku wa kuamkia leo Jumanne, Septemba 22, 2026 umefanikiwa kudhibitiwa kwa jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Polisi na wananchi. Tukio hilo la...
  10. Moto mkubwa wateketeza soko la machinga Dodoma

    Moto mkubwa umetokea usiku wa kuamkia leo, Septemba 21, 2026 katika Soko la Machinga jijini Dodoma na kuteketeza vibanda pamoja na mali za wafanyabiashara, huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana. Baadhi ya wafanyabiashara katika soko hilo wamesema walianza kuona moshi kabla ya moto...
  11. N

    Changamoto ya Kutambulika kwa Kampuni za Tanzania katika Soko la Kimataifa

    Kampuni za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kutotambulika kwa kiwango kinachostahili katika mazingira ya biashara ya kimataifa. Hali hii inaweza kupunguza fursa za kampuni kupata uwekezaji, kuingia katika ubia wa kimkakati na kushirikiana na kampuni kubwa kutoka nje ya nchi. Kwa...
  12. Je kozi ya Information technology (it) Ina soko kwasasa?

    Nimechaguliwa kozi ya it, kwa wale wanayo ijua hii kozi naomba wani fafanulie kuhusu fursa zake za ajira pamoja na kujiajiri Kama inawezekana,pia naomba na ufafanuzi wa hii kozi kuhusu urahisi wake na ugumu wake katika kuisoma ukiwa chuo?
  13. DC Godfrey Mnzava azindua msimu wa Saba Kahawa Festival na kusisitiza unywaji wa kahawa kukuza soko la ndani

    Msimu wa Saba wa kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa umezinduliwa rasmi huku msisitizo mkubwa ukiwa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kunywa kahawa ikiwa ni mkakati wa kukuza soko la ndani . Uzinduzi huo umefanyika September 4,2026 kwenye makao makuu ya Bodi ya Kahawa...
  14. Mwanamke asema 'Single moms' wanaharibu wigo wa uchaguzi wa wapenzi au soko la wachumba (dating pool).

    Mwanamke mmoja aliulizwa swali na muandishi wa habari mwanamke kama ifuatavyo ifuatavyo: Muandishi: Unafikiri siku hizi ni nani mwenye tatizo zaidi linapokuja suala la uchumba na mahusiano—wanaume au wanawake? Wote? Mgeni: Nadhani ni akina mama wasio na waume(single moms). Muandishi: Nini...
  15. Serikali yamjibu mbunge wa Kawe kuhusu ujenzi wa soko la Tegeta Nyuki

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam Mhe, Timoth Geoffrey Anyosisye ameishauri Serikali kukarabati Soko la Tegeta Nyuki, akisema miundombinu yake imechakaa na kusababisha wafanyabiashara pamoja na wateja kufanya shughuli zao katika mazingira magumu. Timoth akiuliza swali bungeni jijini...
  16. Prof. Shemdoe aelekeza Wafanyabiasha 30 Soko la Ndizi Mabibo kurejeshwa Sokoni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza waliokuwa wafanyabiashara 30 wa soko la ndizi Mabibo (Mahakama ya Ndizi) kurejea kufanya biashara kwa udhamini wa maandishi kutoka ofisi za Serikali za Mitaa. Prof. Shemdoe...
  17. Soko kuu la kisasa bariadi lafikia 48%

    Ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa katika Halmashauri ya Mji Bariadi, Simiyu, umefikia asilimia 48, likitarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara zaidi ya 1,000 na kufanya shughuli za biashara kwa saa 24, hatua itakayochochea biashara na uchumi wa mji huo.
  18. Rasmi Mahindi Meupe Yaingizwa kwenye Mfumo wa Stakabadhi Ghalani, Yaanza kuuzwa kwenye soko la TMX Kwa njia ya mnada. Wakulima mnasemaje?

    My Take Sasa je huu ndio utakuwa mwisho wa wachuuzi na kuuzia shambani au? Ngoja tuone https://www.instagram.com/p/DciLX__irBz/?igsi=MW5ka3N4dmJoNnpybg== My Take Kwa bei hizi za hovyo zisizo na maana Kwa mkulima Kuna haja gani ya mnada...
  19. O

    Gikomba Yabadilika: Jengo Jipya Laahidi Kubadilisha Sura ya Soko

    Soko maarufu la Gikomba jijini Nairobi liko katika hatua mpya ya mabadiliko makubwa, huku majengo matatu ya kisasa yenye ghorofa kadhaa yakianza kuchukua sura. Mradi huo unalenga kubadilisha soko hilo kutoka eneo lenye msongamano na miundo ya muda hadi kituo cha kisasa cha biashara. Kwa mujibu...
  20. A

    KERO Ubungo: Vyoo vya Soko la Stendi Mawasiliano (Simu 2000) bado havifanyi kazi mwezi wa 6 sasa, vimegeuzwa stoo

    Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi. Nasikitika kusema kwamba hakuna kilichoendelea hadi sasa. Vyoo hivyo bado havifanyi kazi na kwa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…