simba

  1. Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

    Klabu ya Yanga imemtangaza Clatous Chama kuwa mchezaji wa wao leo Jumatatu Julai 1, 2024. Chama ametangazwa kuwa mchezaji mpya Jangwa baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, ambayo alijiunga nayo akitokea RS Berkane Januari 2022.
  2. Simba muwape wanachama wenu elimu ya mpira ili kuepusha maafa na presha kwa viongozi, muwaambie ukweli!

    Ni jambo la hatari sana ambalo viongozi wa Simba wamekuwa wakilifanya bila wao kulitambua nalo ni propaganda badala ya ukweli na uhalisia wa mpira wa miguu. Kwa Sasa hivi wanajinasibu kwamba wanatengeneza Simba mpya lakini hapo hapo wanashindwa kuwaambia ukweli wanachama wao ambao wanayo...
  3. Hizi ndiyo sababu kuu maalumu zinazonifanya niamini Simba Sc haitachukua ubingwa wa NBCPL 2024/2025

    (1) HAKUNA MABADILIKO YA UONGOZI, nilipoona Try again amejiudhuru na Mo dewji kuja kumtambulisha tena kuwa mjumbe hii ilinifanya nione kabisa hakuna serious yoyote bali wajomba wanapumnzishana tu ili kulinda masilahi yao binafs katika timu, kwani ikumbukwe Mo dewji alimuachia kiti try again na...
  4. Tetesi: Prince Dube atia saini rasmi kuitumikia Yanga kwa miaka 2

    Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025. Wadau wa Soka hapo vipi? ==== Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
  5. Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
  6. D

    Sofyan Amrabat ndani ya simba sc. πŸ˜‚πŸ˜‚

    kazini kwa Mzamiru kuna kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ simba wamejipata #chekakisport
  7. Kumbe hatusajili kwa sasa kwakuwa Skauti wao Mkuu Simba SC anasajili Vyuma vya maana Kimya Kimya tofauti na Misimu iliyopita?

    Asante sana Poti wangu ( mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu ) Crescentius Magori ambaye nakukubali kama ambavyo nilikuwa nikimkubali Mapama ( Marehemu Zacharia Hanspoppe ) kwani nimeambiwa kuwa sasa Tajiri na Wewe mnamaliza Shughuli Juu kwa Juu na kimya kimya kwa Kusajili Vyuma huku waliokuwa...
  8. Simba sasa wamgeukia mchezaji Debora ..

    Klabu ya wanywa wanzuki kariakoo simba Ipo kwenye mazumgumzo ya mwisho kunasa saini ya mchezaji raia wa zambia ndugu Debora . Kiungo huyo machachari kabisa anayemiliki dimba la chini atakuja kuongeza nguvu za kike pindi simba itakapokutana na yanga yenye wanaume shupavu na wenye ugwadu kama...
  9. Simba wamemchoka Chama hawana haja naye Yanga tumchukue

    Viongozi wengi hasa Mo Dewji amekataa kumlipa zaidi Chama. Na anasema amechoka na kelele za kuhusu Chama. Akina Magori wanaunga mkono. Aachwe. Mashabiki wengi wa Simba wamemchoka. Wamebaki wachache. Umri nao unaenda nadhani tumchukue Yanga. Miaka mingi tumemtaka Chama. Huu ndo wakati wetu sasa...
  10. Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  11. Saido Kanoute anasubiria nini kupewa 'THANK YOU' Simba Sports Club? Aachwe upesi sana tafadhali.

    Nimecheza mpira na naujua mpira na nauchambua mpira pia Saido Kanoute si Mchezaji wa Hadhi ya Simba SC yetu. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya...
  12. Shabiki wa Simba aapa kujiua iwapo Chama akienda Yanga

    Shabiki wa Simba ameapa kujiua endapo mchezaji wa timu hiyo Chama atajiunga na Yanga kwa msimu 2024/2025. ==== Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  13. L

    Ayoub Lyanga ni msaada mkubwa endapo Simba mtakuwa naye msimu ujao

    Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni...
  14. Asanteni Simba SC kwa kumsikiliza Maoni yetu kwa Kuachana na Msaliti Inonga, sasa tunasubiria 'Thank You' ya Msaliti mwingine Chama

    Hawa Wachezaji Wasaliti Wawili wametuumiza pakubwa dhidi ya Washamba na Malofa fulani hivi wa Kariakoo 'Twiga Street' ndani ya hii miaka miwili mitatu. GENTAMYCINE ambaye ni Mstaafu Tukuka wa Michezo Michafu ya Ligi Kuu ya Tanzania baada ya kuwepo katika Shughuli hiyo miaka ya 2011 hadi 2013...
  15. D

    simba usajili gani huu?? au 10%

    every player from Ghana league failed. ni nini hiki??
  16. H

    Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC

    Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC. Taarifa rasmi itafuata muda mfupi.
  17. H

    Exclusive: Chama ameachwa na Simba SC

    Ni rasmi sasa mchezaji Clatous Chota Chama ameachwa rasmi na Simba SC na muda mfupi kuanzia sasa atasaini Young Africans kama mchezaji huru.
  18. L

    Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu Clatous Chota Chama

    Triple C bado ni mchezaji mzuri sana na kwa timu inayohitaji makombe ama kuwa na kiu ya mafanikio haiwezi kumtema mchezaji kama Chama. Maneno ya mashabiki kuwa Simba iachane na Chama akaangalie maisha mahali pengine ni maneno ya watu ambao wamejiunga kwenye tasnia ya soka miaka ya hivi karibuni...
  19. R

    Simba hawastahili kuwalipa coastal hata senti tano

    Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa. Moja ya taarifa kubwa inayojadiliwa ni usajili wa mchezaji Lawi kutoka timu ya Coastal kwenda Simba. Hii ni baada ya timu ya Coastal kupitia kwa msemaji wao kukanusha taarifa ya Simba kumsajili mchezaji wao wakati walishindwa kutimiza malipo kwa...
  20. C

    Simba hakuna sababu ya kung'ang'ania wachezaji waliosaliti timu

    Ukweli lazima usemwe. Wachezaji wengi walilipwa kucheza chini ya kiwango na ndio sababu,hao waliowalipa, wanawataka kwa udi na uvumba. Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu tu na kuachana na wachezaji wote waliokosa kuipigania club. Tatizo letu kubwa ni uongozi.Hatujui ni kwa nini wachezaji wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…