simba

  1. P

    Je, 'Mbwa Mpumbavu' anayebwekea maendeleo anaweza kuwa ndiyo simba wa Kizimkazi?

    Mara nyingi binadamu anaongea ya moyoni wakati wa utani, akiwa ana hasira, amelewa au akiwa na furaha sana. Hivi karibuni kuna sentensi tata imetoka kwa mkuu akisema mbwa mpumbavu anabwekea maendeleo yeti. Bila kumtaja jina, watu wengi wanabaki wanajiuliza, ni nani? Wengi tunadhani ni TAL...
  2. Simba Tundu Lissu ana stress, cage haimfai.

    Nimeangalia clip ya huyu Simba aliyepewa jina la Tundu Lissu anavyoahangaika kwenye "cage" nikasitika sana, maelezo yametolewa kwamba akiona binadamu ndio huwa anahangaika hivyo! Hiyo ni stress anadhihirisha, Wanyamapori hawakutakiwa kukaa katika zoo au cages, Zoo na Cages ni mojawapo ya...
  3. Kila mwaka Azam huwa anatolewa kimataifa kabla Simba haijaanza mechi zake

    Sisi Azam tukubali hatuna timu tuna kikundi cha wachezaji SOMA - LIVE - CAFCL: APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  4. Lissu ni Yanga damu sio SIMBA

    Ila leo huko kizimkazu kalazimishwa kuwa SIMBA damu.. Je huu ni utani wa kisiasa,? Ni madongo? Ni vijembe? Ni hofu kuu ama ni uchokonozi!!!? Lissu atajibu lakini sio hapa na sio leo.. Usaha hutumbuliwa ulipotungia jipu https://www.facebook.com/share/v/CXB42gLoWgoEtC3Z/?mibextid=wWqvZr
  5. Tumeshamjua SIMBA bado mbwa anaebweka ni nani?

    tunataka ufafanuzi wa Rais ni nani huyo mwenye hadhi ya mbwa?
  6. Simba wanamuacha au wanamuuza Fredy Michael fungafunga?

    Simba hawana uongozi wenye weledi Wala kocha wa level ya Simba, labda nianze kwa kusema hivyo. Freddy Michael fungafunga wametangaza kutaka kumuuza kwa timu ambayo hawaijui kama itamsajili baada ya kufaulu vipimo, lakini kabla ya kumuuza tayari wameleta mchezaji mpya wa kigeni (Ateba) kuziba...
  7. Je, wana Simba SC Wenzangu mpaka hapa bado tu hatujajua Wasaliti wetu kwa Wachezaji na Uthibitisho kuwa Tunafungwa nao kwa mengi ya Nje ya Uwanja?

    NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC "Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule. Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu...
  8. Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
  9. Wastani wa umri kwenye vikosi vya Simba na Yanga ni miaka mingapi?

    Timu za wenzetu wastani wa umri wa wachezaji hujulikana, vipi wastani wa umri wa vikosi vya Simba na Yanga?
  10. Kamwe sitounyamazia huu Upuuzi wa baadhi ya Mashabiki Wenzangu wa Simba SC kuwa GSM imedhamini Vilabu Saba NBC hivyo itapanga Matokeo

    Sasa kama mnajua kuwa GSM ambao ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC na kwamba itasababisha Fikra zenu za Kipumbavu kuwa kutakuwa na Upangaji wa Matokeo (Match Fixing) pale Yanga SC ikicheza na hivyo Vilabu Saba ( 7 ) sasa kwanini nanyi / nasi pia tusimwambie Tajiri yetu Tapeli na Muongo nae...
  11. Chama na Mkude walifanya kazi Simba mafao wanaenda kulipwa na Yanga

    Hii kitu inafikirisha sana🥲 Kazi ufanye na kampuni X Mafao ulipwe na kampuni Y
  12. Wachezaji watatu wabovu wa Simba wako ligi ya tatu kwa ubora Africa

    Nikiangalia taarifa za usajili wa timu mbalimbali naona wachezaji watatu wa Simba wa msimu uliopita wamesajiliwa ligi ya Algeria, ligi ya 3 kwa ubora Africa, wawili kati yao katika timu yenye mafanikio zaidi nchini humo na mmoja kwa Mabingwa wa CAFCC 2022-23. Mwingine mmoja kauzwa Morocco...
  13. Simba imewezekanaje kuanza msimu bila kusoma mapato na matumizi kwa wanachama wake?

    Hii kitu imenipa maswali kadhaa kichwani je club yetu bado ni ya wanachama au ishakua ya mtu binafsi? imewezekanaje msimu wa 23/24 umeisha na mwingine huu wa 24/25 ume anza bila kua na mkutano mkuu wala kusomewa budget ya mapato na matumizi? Ina maana timu yetu inajiendea tu kama timu ya...
  14. D

    Nina wasiwasi Simba SC anaweza asifuzu hatua ya Makundi kwenye Kombe la Shirikisho mwaka huu

    here are my reasons after Al hilal Tripoli review. Al Hilal Tripoli might be considered better than the new Simba SC team: 1. Team Cohesion: Al Hilal Tripoli has had more time to build strong relationships and understanding among players. This cohesion often translates to better on-field...
  15. B

    Full Time: Simba Queens 5-0 Fad Djibouti | 2024 CAF Women's Champions League - CECAFA Qualifiers

    Timu zinazoshiriki kutafuta nafasi kushiriki ya Michuano ya Mabingwa Ya Afrika Kwa Wanawake Kuwakilisha nchi wanachama wa CECAFA ni : Commercial Bank of Ethiopia (Ethiopia) Kenya Police Bullets (Kenya) Yei Joint FC (South Sudan) Simba Queens (Tanzania) PVP Buyenzi (Burundi) Kawempe...
  16. L

    Sare ya Real Madrid vs Real Mallocra jana ni somo tosha kwetu mashabiki wa Simba tulioipenda timu miaka hivi karibuni

    Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid ndio mabingwa wa soka duniani, ndio timu yenye mafanikio makubwa namba duniani, timu yenye makombe...
  17. Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita, tukijitahidi sana nafasi ya 7

    Hii ndio simba mbovu kuwahi kuishihudia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni ,timu ni nzito ,washambuliaji hawaeleweki ,wings ni butuabutua tu ,mwaka huu tumekwisha kabisa
  18. FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

    Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
  19. M

    Tanzania Tuko Busy na vita ya ukraine, yanga, simba, kuwahoji viongozi faida ya madini, bandari, wala hatutaki tunawasifu na kuwachekea,

    Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru, Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
  20. Simba & Yanga ni Dini Mpya Tanzania

    Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na imani za watu. Ila nimekuja kueleza kuwa hizi team zimekua na nguvu ya dini kwa sasa. Soka ndio mchezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…