simba

  1. SIMBA PLAYERS RATINGS VS COASTAL UNION 04.10.2024

    1.Mussa Camara Siku mbaya kazini ngumu kumtenga na lawama za goli la 2 la coastal union pengine itampa funzo flani 4/10 2.Shomari Kapombe Perfomance nzuri kwake hakuwa na baya kubwa ingawa goli la pili lilipitia upande wake huenda angekuwa kwenye nafasi yake angesaidia kuleta presha kwa...
  2. L

    Mambo 15 ya Kuwashauri Viongozi wa Simba baada ya kuambulia Sare vs Coastal Union Leo

    Mambo 15 ya kuwashauri viongozi wa Simba 1. Mikakati ya Yanga ni migumu nyie kuijua hivyo Yanga anaweza kubeba ndoo miaka 10 mfululizo 2. ⁠Msitumie neno Ubaya Ubwela vibaya coz mwisho wa msimu mtakosa cha kutuambia mashabiki wenu 3. ⁠Bado kuna wanafiki wapiga dili ndani ya timu yetu ambao sio...
  3. N

    Viongozi wa Simba achane kutufanya sisi washabiki wajinga, Davis Fadlu akifukuzwa na Matola naye afukuzwe

    Huu ndio upuuzi wa viongozi wa Simba, timu ikifanya vibaya wanaefukuzwa ni kocha mkuu, kocha wa makipa na kocha wa utimamu wa mwili. Dunia kote hakuna kocha msaidizi wa kudumu, shida ya Simba ipo kwa viongozi ambao hawazingatii weledi.
  4. Unabii: Nimeona Simba kutoka mbinguni akishambuliwa na nyoka watatu kutoka baharin mpaka kufa

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Juzi tarehe 1 mwezi wa 10 majira ya usiku nilimuona simba mmoja wa wasitan akishuka kutoka maeneo ya angan Kisha nikaona tena nyoka watatu nao ni wa wastan wenye ukubwa kias unene wa mipini miwili wakipanda kutoka baharin Simba alipokaribia kutua chini...
  5. Je, Beki Mwamnyeto kaitwa Taifa Stars kwa uwezo kweli alionao sasa au ni kuzidisha tu idadi ya Wachezaji wa Yanga na wawazidi wa Simba Kikosini?

    Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania...
  6. Yanga Princess vs Simba Queens / Ngao ya Jamii /2-10-2024

    Mtanange huu unapigwa kmc complex na uwanja unaonekana umependeza mashabiki wa kutosha mda si mrefu game inaanza Kwa Sasa napata uchambuzi uliotukuka kutoka kwa salama ngale(nguli) Itabidi nione mechi ndio nijue inakuwaje maana Yanga huwa ni mteja mzuri wa Simba kwenye hii category
  7. D

    leo kuna game ya community shield simba na yanga princess, VAR ya KARIA iko wapi??

    I will be short. tulisema tutaelewana tu with time, juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika. leo kuna game ya community shield VAR iko wapi? incompetence tu. nothing to show for it. karia should change or leave.
  8. Yanga mdhamini Sportpesa, Simba Mbet endelea kuzibetia mwanawane...

    Unajua wadhakini wa hizi timu Simba Mbet Yanga Sportpesa Endelren kuzibetia GSM ajaja hapo
  9. Hawa ndiyo wanaume halisi nje ya hapa ni mvulana

    Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata kuhusu mwanamke hatari hapo kitaa. Lakini hawajuani majina halisi. Utasikia wakiitana, Bro, Mzee...
  10. M

    Nawashauri yanga wabaki njia kuu ya kupata ushindi kihalali wasifate kile wanachofanya simba kulazimisha ushindi kupitia dirishani!

    Nimeshuhudia mechi 2 ambazo Simba kacheza dhidi ya Azam na Dodoma Jiji, wamenufaika na waamuzi ambao uwezi kusema kwamba awajui Sheria na kanuni zinazoongoza Mpira la hasha ni kwamba wanajua isipokuwa Kuna fungu linawekwa kwa ajili yao ili waibebe Simba! Aiwezekani kwenye mechi zao tu ndio...
  11. Kwanini benchi la Simba wanapuuzia ushauri ninaowapa mimi mzee mutu ya boli?????

    Baada ya mechi ya Azam nilisema wazi kuna wachezaji hawastahili kuchezea Simba na wengine nilisema wakalishwe kitako (Naskitika sana ushauri wangu ni kama wanautekeleza taratibu kwa kuanza na yule m Zambia alikuwa anacheza kama ana degedege) Baada ya hii mechi ya Dodoma leo, conclusion yangu...
  12. L

    Mambo 10 Niliyoyaona leo Dodoma Jiji Vs Simba S.C Club

    1. Kocha Fahdu anatakiwa aaambiwe ugumu wa mechi za mikoani otherwise atadondosha sana pointi ugenini hasa kule Mbeya, Kagera, Singida na Kigoma. 2. Fahdu amezidiwa kabisa kimbinu leo na Dodoma Jiji kama sio uzoefu mambo yangekuwa magumu leo 3.Fahdu akubali kuwa mechi za ugenini ni za akina...
  13. Simba yapata mpinzani mkali kwenye nafasi ya pili

    Salaaaam wakuu Kwa jinsi ninavyoona singida Black stars wanavyowasha moto pale kileleni na kuwa namba Moja .......ninapata wasiwasi jinsi upinzani wa kugombania nafasi ya pili baina ya Simba na singida big stars utakavyokua mgumu Kwasababu ni lazima tu Yanga atakua no 1 kwenye msimamo then...
  14. FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

    Another game, Mzunguko wa Nne. Dodoma Jiji wanaikaribisha Simba SC ya Dar es sala Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma. Kikosi cha Dodoma Jiji Kinachoanza. Kikosi cha Simba Kitakachoanza #nguvumoja# Ushindi mwingine ugenini. Updates za Mchezo Kipindi cha Kwanza. ===========================...
  15. Yanga imeifunga Azam mara nyingi ndani ya miaka 5 kuliko Simba kuifunga Azam

    Kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Mtanirekebisha wadau. Hii ni kabla ya matches ya jana. Otherwise pia draws ni nyingi sana. Ila Yanga imemchapa sana Azam tena kwa magoal lukuki.
  16. Azam Huwa anaamua kumwachia Simba ili kumwandalia ubingwa

    Urafiki wa Azam na Simba unatuharibia ligi Azam wameuza mechi na walipewa maagizo maalum kujilegeza kama wagonjwa Huyo Sillah akicheza dhidi ya Yanga atajituma kama hatacheza tena ila mechi ya Simba aaaa yupo yupo anakimbiza hadi mwisho wa touch line Azam itabaki team ndogo Mwaka Jana...
  17. Simba kwa Joshua Mtale tumepigwa.

    Kiufupi hakuna neno lingine la kusema kwa Mutale zaidi ya simba tumepigwa hakuna mchezaji hapo. Tumemuondoa Saido tumeleta Saido namba mbili ( Mutale) mbovu zaidi ya mara 10 ya Saido namba 1. Bora Ntibazonkiza alikuwa ana faida kwenye mipira iliyo kufa lakini Joshua Mutale hana faida yeyote...
  18. Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

    Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
  19. Simba haitachukua tena Ubingwa wa Ligi Kuu kipindi chote hiki

    Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana. Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji wazuri awamu hii yote ya Samia na wataendelea kusajili ifanye vizuri zaidi. GSM WANAIPAMBANIA TEAM...
  20. Mutale akiachwa Simba SC ili Mpanzu aingie nitakuwa ni mwenye Furaha kubwa ila kwa aliyemsajili Mutale Simba SC atuombe Radhi upesi

    Mchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…