simba

  1. Ukiachana na Dola, Simba, Yanga, Harmonize na Diamond jambo gani tena linaifanya CHADEMA isiungwe mkono na wananchi walio wengi?

    Kichwa hakihitaji maelezo mengi saana. Kinajitosheleza. Tuwasaidie maana binafsi nadhani wafuasi wengi wa Chama hiki hawafanyi [introspection]. Najua nitashambuliwa saana na sina wasiwasi na hili.
  2. Kwanini Mwenyekiti wa Vilabu African Eng. Hersi hajatoa pongezi kwa Simba hadi sasa?

    Eng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali. Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.
  3. Simba sports club familia kuuubwa

    THIS IS SIIIIIIIIIIMMMMBBBAAAAAAA 🦁 The Pride of Tanzania! 🇹🇿✨ Ubaya Ubwela 🔥 #NguvuMoja #CAFCCwithMicky #Simba
  4. Asante kwa Squad nzima ya Simba SC, ila hawa watu wametufikisha nchi ya ahadi

    Mungu ibariki Simba Sc nzima Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana. Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba...
  5. Aishi Manula asingeweza kuifikisha Simba fainali

    Aliyekuwa akituchelewesha ni Aishi Manula kumbe Thank You
  6. Kuna zile IDs za wana Simba SC ziliiombea mabaya Jana kwakuwa tu Rais Samia aliipa Simba SC Ndege, chonde naziomba ziendelee kuiombea mabaya Simba SC

    Kuna Watu hapa JamiiForums ni Wapumbavu (Mapopoma) hadi basi. Hivi unajijua kabisa Wewe ni mwana Simba SC na unajulikana hapa lakini kwa CHUKI ZAKO TU ZA KISIASA (za CHADEMA na CCM) unaiombea Simba SC mabaya huko Afrika Kusini katika Mechi yake ya Jana dhidi ya Stellenbosch FC na hadi Kuilaani...
  7. CAF wamethibitisha Simba hajawahi kufika final CAFCC

    Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993 CAF wenye mashindano wamekanusha Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC
  8. FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

    Mechi ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika mkondo wa pili kupigwa leo Jumapili. Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Moses Mabhida akicheza na Stellenbosch. Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na mtaji wa goli 1 - 0 alilopata kwenye mchezo wa kwanza pale Zanzibar. Mechi hii itapigwa...
  9. Yanga SC Yashtua Afrika sasa kuisubiri Pyramids au Sundowns!"

    Hongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! 🎉 Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa. Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo — hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na...
  10. M

    Siku ngumu sana kwa Yanga leo Simba inapoingia fainali ya kombe la shirikisho la CAF

    Yaani leo Utopolo wanateseka sana na wanaomba kwa miungu yote. Leo Mashabiki wa Simba watafurahi sana lakini Mashabiki wa Yanga WATATESEKA SANA Angalizo: Sio tu kuingia fainali ila Simba inakuwa timu ya kwanza kuleta kombe la Afrika hapa Tz
  11. Angalizo: Viongozi wa Simba wajihadhari sana na siasa

    Natoa angalizo hili kwa nia njema kabisa kwa klabu ya Simba SC. Klabu ya Simba inapoelekea katika mechi ya kesho na kama Mungu atajaalia ikaingia fainali, ijihadhari sana sana na kujiingiza katika mitego ya kisiasa. Ni jambo moja kuishukuru serikali kwa mchango wake wa hapa na pale katika timu...
  12. M

    Nimechungulia mchezo wa kesho Stellebosch vs Simba huko Durban, Matokeo ni Suluhu au Sare

    Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban. Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final. Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale Airport, am on the way to Durban
  13. Simba wako SA dhidi ya Stellenbosch sisi tuko dhidi ya kikosi Cha valante Zanzibar (kvz)

    Msimu ujao viongozi wasifanye huu mzaha tena wa sajili za ajabu hadi tunakosa kung'aa kimataifa
  14. Simba itaifunga Stellenbosch kwao?

    Kuna watu wanafurahia na kusema kuwa Simba ina mashabiki wengi sana South Afrika kuliko Stellenbosch; hivyo kuwa kama sababu ya Simba kufanya vizuri kule dhidi ya Stelle Simba walifanya vitu vingi sana nyumbani ikiwemo uwepo wa mashabiki wengi uwanjani lakini waliambulia goli moja tu. Hii...
  15. Club ya KMC yapeleka match yao dhidi ya Simba Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora

    KMC imepeleka match yao ya mkondo wa pili zidi ya Simba utakaochezwa tarehe 11 May kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora.
  16. Sababu mojawapo ya kutaka Stellenbosch wafungwe na Simba ni hizi dharau za wasouth

    Asubuhi asubuhi nadondosha uzi. Ebwana wasouth wana dharau sana kwa waafrika wenzao. Yaani hawa jamaa tumewapigania na tuliwapa hadi hifadhi lakini leo wanatuona waafrika wenzao kama nyani na ngedere. Wanatuona kama binadamu ambao hawajastaarabika. Kuna video nimeiona jana usiku wakiiongelea...
  17. Irizar ya Simba itafika lini? Au ndio changa la macho kama la uwanja?

    Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji. Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu. Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
  18. Simba imepewa ndege au imelipiwa nauli?

    Kuna huu upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusiana na uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kuipa tafu klabu ya Simba katika mechi yake ya pili dhidi ya Stellenbosch huko Durban, South Africa. Yamezuka maneno kutoka pande fulani zikisema Simba imepewa ndege halafu badala ya kubeba mashabiki wake...
  19. NAIONA SIMBA IKIPAATA KADI NYEKUNDU AMA IKIADHIBIWA PENALTY WACHAGUE KATI YA HAYO

    SIWATISHI HALI YA SASA ILIYOPO VIJA A WAMEJIPANGA...NA MOJA YA SILAHA WANAYOENDA KUWANYOOSHA SIMBA N PENALTY AMA VIA REDKADI WACHEZE KWA HESHIMA SANA NA NIDHAMU WASIJISAHAU WAKAJUA WAKO UWANJA WA MKAPA HALI YA SOUTH SIO RAFIKI KWAO KUANZIA CHAMA NK WAMEJIPANGA HII TIMU KUPITA KWENDQ...
  20. SIMBA HT ITATOKA DRW FT ITAFUNGWA 2-0/3-0/4-1 kazii iendelee

    KILA LA KHERI MPAKQ SASA MKEKA UNAOSMA HIVYO SIO KWA NIA MBAYA NAWATAKIA HERI KAMA MTANXANIA SIMBA SC HT WATABANA DRW FT WATALEGEZWA KAMA.MLENDA HAPO NAFIKIRIAA KAZI IENDELEE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…