simba

  1. Hii Simba SC hata ukitangulia goal 4 lazima upigwe TU kila GoTi litapigwa

    Simba Bingwa 😀
  2. TFF yaruhusu mchakato wa Uchaguzi Simba SC uendelee

    Taarifa ya TFF kwa vyombo vya habari imeruhusu mchakato wa Uchaguzi Simba SC uendekee. Kwa wale ambao hamjaelewa ni kuwa Uchaguzi wa Simba Sports Club kufanyika Januari 3, 2027. Utasimamiwa na Kamati ya Uchaguzi ya TFF kwa kushirikiana na menejimenti ya Simba. Leja Ipo msijali. Huyu Mangungu...
  3. Simba kuifunga Yanga mara moja tu kusitumike kumfukuza Mangungu. Serikali inusurini Simba.

    Eti baada ya Simba kuifunga Yanga ndio mumfunge mikono, miguu na mdomo mangungu asiseme wala kuiongoza Simba kama mwenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya Simba sports club. Kuna haja ya kuchunguza na kumulika kwanini familia ya Dewji inaitaka Simba kwa hali na mali (do or die) hata ikibidi kumuua...
  4. M

    Ushauri wa Waislamu waliopo club ya Simba

    Sidhani malumbano ya Mangngu na Dewji watakusaidieni. Tuache kupoteza muda ktk kutumia nguvu, akili na muda mwingi kujadili malumbano. Tuutumie muda wetu katika kuitafuta akhera yetu badala kutumia muda kulumbana ktk vitu ambavyo ukifumba jicho havikusaidii kitu. Nawashauri tuachane na haya...
  5. Soweto Derby: Keizer Chief achezea kichapo, Orlando Pirates watuma salama kwa Simba

    Leo imepigwa moja ya dabi maarufu barani Afrika, nchini Afrika Kusini, inayoitwa Soweto Derby, kwenye uwanja wa FNB Stadium (Soccer City) jijini Johannesburg. Mchezo huo uliwakutanisha Maharamia wa Orlando (Orlando Pirates), wanaojulikana kwa lugha yao kama The Buccaneers, na Machifu wa Kifalme...
  6. Leo ni SOWETO DERBY KAIZER CHIEF VS ORLANDO PIRATES , Mashabiki wa Simba na Viongozi tulipaswa kushughulika na Mpinzani sio kugombania Madaraka

    Mpira wetu hauna watu wenye uwezo wa kujiconnect na vibe la dunia ili kutumia michezo kubadilisha mpira wa miguu kuwa sehemu kubwa ya uchumi kama ligi tano bora za ulaya. Simba ipo kwenye marumbano wakati mpinzani wetu leo Orlando Pirates anacheza derby yake uko FNB Stadium.
  7. C

    Kama ambavyo yanga wanaitumia serikali kufanikisha mambo yao,vivyo hivyo wanaitumia serikali kuibomoa Simba

    Mangungu ana watu wazito nyuma yake na agenda yao kubwa ni kuimilikisha Simba kwa familia ya gsm. Hawajali Mo akiondoka ,wala Simba ikiyumba.Agenda yao hii wanaipigania kupitia kwa mangungo na baadhi ya watu wajinga wanaotaka kumrudisha manara. Siasa zinaharibu sana mpira wetu,maana kuna watu...
  8. Mambo 5 kwenye mchezo wa Fountain Gate vs Simba

    Mambo matano kwenye mchezo wa fountain gate vs simba leo 1.KAPILI MACHUPA Alikuwa kizuizi kwa Simba licha ya kuruhusu goli moja alipaswa kuwa man of the match 2:ANCET OURA Hakuwa kwenye kiwango kizuri alimfanya kasuku kuwa kwenye kiwango Bora 3:MGUNDA SHABAN Jamaa alitawala dimba la Kati...
  9. Mangungu: Uchaguzi uliotangazwa Simba ni batili

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu amesema mchakato wa uchaguzi, Tume ya Uchaguzi pamoja na Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliotangazwa kufanyika Januari 3, 2027, ni batili na haramu. Mangungu ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 29, 2026, wakati akizungumza na Waandishi wa habari Jijini...
  10. Nafikiri Mangungu yupo kwenye payroll ya Yanga kutuvuruga Simba Sc

    Kila wakati Simba inapoaanza safari ya mafanikio anaanza chokochoko. Kwani hana kazi zingine za kufanya za kumuingizia kipato zaidi ya kuwa Simba SC? Hizi ndio changamoto za kuwapa nafasi kubwa waswahili wasio na vision yeyote kwenye maisha. Ifike wakati mashabiki tupige mstari huyu mzee...
  11. Simba Fans wavamia accounts za Orlando Pirates, Olrando Fans waanza kuiogopa Simba

    Moja ya raha za hii michuano ni hile namna wabongo uanza kuzivamia page za timu pinzani na kuanza kuwatisha na kuwatia hofu. Kimechafuka sana kwenye page ya Orlando Pirates ambapo mashabiki kutoka kwa Soweto wameanza kuulizana kuhusu hatari ya mnyama simba.
  12. Simba kukutana na Orlando Pirates, Yanga kukutana na Waarabu

    Wazee Yanga ana kibalua
  13. G

    Ukiondoa Azam fc, Yanga, Simba na Singida zinabebwa na ufisadi/mafisadi

    Siku nchi ikirudi mikononi mwa wananchi, mpira wa Tanzania ambao umekua haraka kama uyoga, hakika utaporomoka. Wenye akili kubwa tu ndio watanielewa
  14. Tuache masihara Simba Sc wanagonga mpira

    https://youtu.be/ysrEn9vEb-M?si=EDdmtxh6RRcfPyhP Tazama pass zilivyopigwa goli la kwanza na la tatu Achana na goli, angalia pressure waliyotia kipindi cha pili, kama nyuki.
  15. Simba kufikwa na Msiba. CV ya Steve Barker inajadiliwa muda huu maamuzi kufanyika

    Kunazidi kunoga. Kikao kinajadili CV ya Steve Barker kocha aliyepo Simba kwa Mkopo. Maana Yanga wakiamua ni suala la kugusa tu anakuja Yanga. Ndo maana kila kilichopo Simba sisi Yanga huwa tunaita kipo kwa Mkopo. Hata Mo Dewj tukimwitaji tunamchukua tu. Hii ni team ya Nchi. Yeye mwenyewe mara...
  16. Simba kuwa bingwa wa CAF Champions League 2026-2027

    Japo Mimi ni Mshabiki wa Yanga..! Sijawahi ku bet Toka Dunia inaumbwa, nataka ku bet coz nimemuona Simba iknanyua ndoo ya Africa. Wataalam waku bet, naombeni maelekezo Kampuni gani ya ku bet naweza kubet kuhusu nani atakua BINGWA wa CAF this season. NB: Mimi sio Mtu wa kubet pia sitaendelea...
  17. Wanateka, wanaua, wanachangia ujenzi wa kanisa, misa viti vya mbele,changia yatima, changia Simba na Yanga, kesho wanateka tena, wanaua tena

    Teka, ua, hubiri amani Teka, ua, changia ujenzi wa kanisa Teka, ua, jichomeke kwenye mipira Teka, ua, changia yatima Teka, ua, hakikisha media hazireport, teka, ua tena Jiteteeni mababu zenu hawakuipigania hii ardhi ili leo hatma ya uhai wenu uamuliwe na watu kadhaa
  18. C

    Mchezo wa simba dhidi ya 15 De Agosto kutumia mfumo mpya wa tiketi

    Mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika kati ya Simba na 15 de Agosto ambao ni mchezo wa marudiano utakaochezwa katika uwanja wa Uhuru siku ya Jumapili kutatumika mfumo mpya wa uuzwaji tiketi. Akizungumza kuhusu mfumo huo Abdulrashid Hamza Rashid, Mkurugenzi wa Kampuni ya 121 Consultancy...
  19. M

    Mchambuzi MKALABOKO: Simba Sc ni sawa na Muhasibu wa kikoba ,akifika wakati wa marejesho lazima pesa mumpe yeye.

    Haya ni maneno aliyoyaelezea mchambuzi gwiji wa mpira kwa sasa nchini Tanzania. Amesema hayo hapo jana akihojiwa na Mtangazaji Tunu Hassan Shenkome kuhusiana na mchezo wa ngwe ya kwanza dhidi ya 15 agosto. https://m.youtube.com/watch?v=iJXAH1zXHqg
  20. Chief Mangungu wa Simba ndo muda wake huu sasa

    Sasa hivi mmesahau. Match ya pili tukija wachapa mtaanza kutoa milio chief Mangungu andoke. Je kwa sasa aendelee au bado yupo yupo kwanza? Tuambiane mapema nyie mikia. Maana yeye ndo huwa mnamwangushia Jumba bovu. Maana kwa sasa tumewapumzisha naye baada ya kuwaachia mpate ushindi hii match moja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…