simba

  1. M

    CAF Champions League: Simba SC in Pot 3 for Friday's draw

    Simba SC have been placed in Pot 3 for Friday's Caf Champions League group stage draw to be conducted in Cairo. As a result, the Msimbazi-based charges have now been placed in Pot 3 alongside Petro de Luanda of Angola, the winner between Sudanese outfit Al Hilal and Asante Kotoko of Ghana and MC...
  2. M

    Kati Bakari Mwamnyeto wa Yanga SC na Ibrahim Ame wa Simba SC, nani kafanikiwa zaidi kimpira?

    Bakari Mwamnyeto Kasajiliwa kwa Bei ya juu na Yanga SC na Gari bovu ( japo aliambiwa ni jipya) ila anaishia tu Kucheza VPL, Mechi za Kirafiki za Chamazi na ile Michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar na kama akicheza Michuano ya Kimataifa basi ni ile tu inayohusisha Timu ya Taifa (Taifa Stars)...
  3. N

    Simba yawekwa pot 3 kwenye draw ya CAF

    hii ni hatua kubwa sana kwa simba mwaka juzi tulikuwa pot 4 leo tuko na kina as vita pot 3,way to go champions #CAFCL Group Stage Draw POT1 Al Ahly SC TP Mazembe ES Tunis Wydad Casablanca POT2 Mamelodi Sundowns Al Hilal Horoya AC Zamalek SC POT3 Al-Merreikh Simba SC AS Vita Club...
  4. M

    Baada ya Simba SC kushinda leo dhidi ya FC Platinum hatimaye CAF yatangaza Tanzania mwakani kuingiza timu nne

    Nasisitiza Maamuzi haya ya CAF siyo kwa Ushindi wa Namungo FC bali ni kwa Ushindi mnono wa Simba SC na Kufuzu Kwake Makundi CL iliyopo. Taarifa: Mtandao rasmi wa CAF Ni matumaini yangu sasa Timu zingine zote hasa ile yenye Washamba wengi nchini Tanzania itaitii na Kushukuru kubebwa sana tu na...
  5. Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Sangoma atinga uwanjani, dah ebu cheki hii video hapa chini. Sangoma
  6. CAF Champions League: Simba yatinga hatua ya makundi

    Mchezo wa michuano ya Klabu bingwa barani Afrika umepigwa hii leo katika Dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam ambapo Wekundu wa Msimbazi Simba alikua nyumbani akiikaribisha FC Platinum ya Zimbabwe ikiwa ni mchezo wa pili kati ya michezo miwili ya hatua ya mtoano. Mechi hiyo ambayo...
  7. Jamani nataka nikawaone Simba uwanjani 6/Jan/2021. Napata wapi hizo tickets za ki digital?

    Jamani nataka nikawaone Simba uwanjani 6/Jan/2021. Napata wapi hizo tickets za ki digital?
  8. Simba anashinda 3:0 dhidi ya Fc platinum

    Ndio hivyo simba atashinda goli moja kipindi cha kwanza na magoli mawili kipindi cha pili.. Ndivyo nilivyoona matokeo ya hii game
  9. N

    Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

    Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo. Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini...
  10. Ni wakati sasa wa Gadiel na amekuchukua namba zao. Simba kocha aache kukariri

    Wakuu, Ujue watu wamejiuliza sana kwanini wachezaji wazuri walipokuwa team zao kila wakienda Simba wanazikwa? Gadiel wakati yupo yanga alimpokonya mpka Tshabalala namba national team alikuwa first choice na afcon alicheza mechi zote mpka wakati kuwania kwenda huko. Lakini toka aje simba...
  11. Wazee wa Simba wamechoka

    Timu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi. Simba kuna hela vijana wanafahamu hivyo lakini kinachowashangaza ni kuwaona wazee wengi kama Bocco, Ajibu, Onyango...
  12. Video: Nyati wamkanyaga kanyaga Simba na kumuua

    Nyati si mchazo Duh, ... Hii ni Kruger National Park, AK !
  13. B

    Kijo Bisimba, Ananilea Nkya, Lissu na Fatma Karume taasisi mlizoongoza zinakufa mkiangalia?

    Kwa Nini mtu aondoke madarakani taasisi inyong'onyee? TAMWa, TLS na taasisi nyingine zinazitetea haki Tanzania zinakufa taratibu kwa kukosa watu wanaoweza kuyaona matatizo ya wananchi kwa upana nakuyatatua. Kama taasisi hizi za haki za binadamu zimebaki kulipana mishahara nakukaa ofisini bila...
  14. M

    GOR MAHIA EYE SIMBA SC’S MATOLA AS OLIVEIRA SUCCESSOR

    Simba SC assistant head coach Selemani Matola has been reportedly linked with a move to Football Kenya Federation Premier League side Gor Mahia. Gor Mahia have been without a coach since Roberto Oliveira left last week after Caf and the FKF stated he was not eligible to oversee K’Ogalo in...
  15. B

    Vilabu vya Simba, Azam na Yanga kuna hela

    Wanabodi kwa takribani miaka mingi sasa Simba, Yanga na Ujio wa Azam kumekuwa na tatizo la kifedha kwa vilabu kama Simba na Yanga. Lakini ujio wa MO simba na GSM kwa yanga inaoneakana kuna uhai kidogo. Azam wao wako vzr tangu mwanzo. Me naamini kabisa Simba au Yanga wanahela zipo kwa wapenzi...
  16. Adhabu ya FIFA kwa Simba na Kichuya: Namuona Kichuya kwenye mechi ya Azam dhidi ya Namungo. Adhabu ile ilifutwa ?

    Kutokana na sakata la usajili wenye utata wa mchezaji Shiza Kichuya kutoka Misri kwenda Simba, tumeambiwa hapa juzi tu kwamba Simba ilipigwa faini ya takriban milion miatatu na mchezaji tajwa kufungiwa miezi sita. Lakini namuona Shiza Kichuya kwenye mechi ya Namungo dhidi ya Azam hapa ameingia...
  17. M

    Wachambuzi wa soka wa Kitanzania na Simba

    Wakuuu Habari za wkend, Kuna hili suala la Wachezaji wanaokaa Benchi pale Simba yaani Akina Ajibu, Ndemla, Morrison, Gadiel nk nk Lakini kule Yanga napo kuna akina Zawadi Mauya, Ninja, Wazir Junior, Boxer nk nk. Kwanini Wachambuzi wa Soka wanaumizwa na kukereketwa saana na kuwasema zaidi...
  18. Kuhusu suala la Kagere, Kaduguda umetuachia maswali yasiyo na majibu

    Nilikuwa namsikiliza katika kipindi cha sports arena Mwina Kaduguda akizungumza kuhusu swala la Meddie Kagere kupata nafasi hafifu ya kucheza kwa siku za hivi karibuni. Mashabiki wamekuwa wakilalamika inakuwaje the best striker anakosa nafasi katika kikosi. Point kubwa aliyoizungumza ni Afya ya...
  19. Suala la Kichuya kufungiwa ni ushahidi kuwa TFF inaibeba Simba

    Kichuya aliruhisiwa vipi na TFF kuichezea Simba bila taratibu za uhamisho kukamilika?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…