simba

  1. B

    Simba SC 2 - 1 Aigle Noir C.S à Arusha Tanzanie

    16 September 2021 Arusha, Tanzania Mechi ya kujiweka sawa pre season kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani yatakayoanza tarehe 25 september 2021 league ya Tanzania na baadaye michuano ya kimataifa ya CAF Champion league. Mchezo wa kirafiki baina ya Simba SC dhidi ya Aigle Noir C.S ya...
  2. Inasikitisha sana: Simba day ishafelishwa na tulioaminishwa ni wa kisasa

    Nikiwa kama mshabiki wa simba nawapa pole wote mnaoshindwa kununua tiketi za Jumapili, msiwe na wasiwasi ikifika Jumatatu wahusika watarudisha system yao vizuri Mwaka jana walifanikiwa ku frustrate wanunuzi wa tiketi na mwaka huu bado siku mbili jamaa wanaupiga mwingi sana hadi sasa huku kina...
  3. M

    Simba SC amkeni upesi kwani mnahujumiwa na N-CARD ili Tiketi zisumbue Mtandaoni na Uwanja usijae Jumapili

    Haiingii Akilini wakati wa Wiki ya Mwananchi inayohusisha Klabu mbovu ya Yanga upatikanaji wa Tiketi kwa njia ya N-CARD ( Mtandao ) ulikuwa hausumbui ila kwa Wiki hii ya Simba Day mpaka leo kila Kona ni Malalamiko ya Tiketi Kusumbua. Wewe Waziri ( mwana Yanga SC ) na uliye na Dhamana na Wizara...
  4. Ratiba ya Simba Ligi kuu 2021/2022 (Mechi zote)

    Ratiba mechi za Simba Ligi kuu TPL 2021/2022. Simba Sports Club watoto wa Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Walizaliwa 1936 as Queens, baadaye club ilibadilisha jina na kuitwa Eagles, baadaye Sunderland. Mwaka 1971 rasmi waliitwa Simba. TAZAMA FULL RATIBA KWENYE VIDEO! 👇👇
  5. Vikosi vya Simba na Yanga na jezi namba zao 2021/2022

    Habari wanaJF, Naomba kwa yeyote anayejua full team (kikosi cha simba na kikosi cha Yanga) na jezi namba za wachezaji msimu huu 2021/2022 anitiririshie hapa. 🙏🙏🙏
  6. M

    Uongozi wa Simba kwa Hitimana tumeteleza

    Inshort kumleta Huyo Hitimana Simba tumerudi nyuma miaka 10. Kocha ana majungu sana, kule Biashara United timu iliponea chupu chupu kushuka daraja kwa falsafa zake ameondoka leo timu iko Kimataifa. Akaenda Namungo alichoweza ni kujaza Warundi wenzake 6 akina Nahimana, Bigirimana...
  7. Caf wajisogeza kwa simba

    Nani asiyeipenda simba ukiachana na wavuta bangi ? Nenda kwa wanalamba lamba watakwambia simba baba lao wanajeshi wa mpakani huwaambii kitu kwa mnyama Sasa Caf wameanza kuisogelea simba washajua simba ina mashabiki wengi sana Na mpira unahitaji mashabiki tena mashabiki lia lia Hivyo wameamua...
  8. M

    Yanga tunajitoa kwenye mashindano: Caf wanaipendelea Simba! itakuweje sisi tucheze mechi 2 wakati Simba hajacheza hata mechi moja?

    Wasikie utopolo wanavyosema!! Tumewashtukia caf!! Caf wanaibeba simba! Hatupeleki timu Nigeria!! Kwa nini sisi tucheze mechi 2 wakati simba hawacheza hata mechi moja?? Kwa utopolo hiyo ni hoja yenye nguvu sana!
  9. B

    Haji Manara na fred Vunja Bei wanavyoathirika siasa za viwanjani Yanga na Simba

    Ipo siasa iliyopotea njia ndani ya nchi yetu. Ipo mikakati mfu yakiwekezaji isiyo na tija kwa Taifa letu. Wapo watu wanaamini kila Jambo lazima tuwe na viongozi wanaoongozwa na mfumo wa kisiasa. Wapo watu wanaishi vizuri kwa mwonekano wa nje lakini si kwa mwonekano wa ndani. Chama kinatafuta...
  10. Kwanini TFF imeruhusu Simba kusajili makocha vihiyo?

    Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano yake. Swali hapa ni je, TFF yetu hawazijui kwa kiasi gani sheria na kanuni za CAF na FIFA? Na kama...
  11. Simba: Kocha Gomez anasoma online course, tuna imani hadi mchezo wetu unachezwa atakuwa ameshamaliza masomo

    Baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kumtaja kocha mkuu wa Simba, Didier Gomes kukosa sifa za kukaa benchi la ufundi la Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kutokana na kukosa sifa, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kutolea ufafanuzi. Gomes ana (UEFA A Diploma) na kwa mujibu wa kanuni za...
  12. SIMBA NA YANGA DUUUUUUH

    Klabu ya Yanga imewachapa watani wao wa jadi Simba SC na kuizuia klabu hiyo kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa msimu wa 2020/2021. Mabingwa watetezi Simba walihitaji kupata alama tatu ili kutawazwa mabingwa kwa msimu wa nne mfululizo. Hata hivyo goli la dakika ya 13 lililofungwa na...
  13. LIVE: BODI YA LIGI inatangaza ratiba, Simba na Yanga December 11

    hapa ni ukumbi wa TFF
  14. Kocha wa Simba, Didier Gomes inawezekana kutokuwa sehemu ya benchi la Ufundi katika mechi za CAF

    Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO. Didier ambaye ana diploma ya UEFA A, hajakidhi vigezo vilivyowekwa kwa kocha Mkuu kuwa na leseni ya CAF A ama...
  15. Ukiona mtu anashabikia sana Simba na Yanga kuwa naye makini, wengi hawana akili timamu

    Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani. Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga...
  16. CONFIRMED: Manara alikuwa anaihujumu Simba SC

    Leo kwenye kipindi cha sports HQ kinachorushwa na E-fm aliyewahi kuwa msemaji wa club ya simba 'simba sports club' Ndg. Haji Manara ameweka bayana kuwa hajawahi kuipenda club hiyo na hajawahi kuwa miongoni mwao. Kwa kinywa chake haji manara amesema "sijawahi kuwa simba" Itakumbukwa kuwa ni wiki...
  17. Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

    Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga. Yaani yeye na simba au yeye na Yanga. Haya hebu tutajane hapa ili tujuane. kuna watu wanaojulikana kabisa na wengine hawajulikani ila wanaweza kujitaja tu wenyewe NAANZA MIMI 1:YANGA
  18. M

    Kutwa mnapoteza muda Kuinanga Simba SC badala ya Kuhangaikia Mikataba ya akina Aucho, Djuma na Mayele ili Jumapili wacheze CL

    Kumbe hata Mbunge wa Chalinze mwana Yanga SC lia lia Ridhiwani Kikwete alivyosema Yanga SC mnafanya mambo ya Kipuuzi mengi hakukosea. Pia kumbe hata aliyekuwa Kocha wenu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema kuwa Wana Yanga SC wengi ni Wapumbavu, Nyani, Mbwa na Sokwe hakuwakosea. Yaani...
  19. Simba mwaweza letewa chekechea ya TP Mazembe

    [emoji3514] invité par Simba pour un match international de haut niveau le 19/09 ... Notons que le même 19/09 nous aurons match de VL1 . Nous avons un effectif de beaucoup des joueurs il y a toujour possibilité d envoyé même une deuxième équipe en Tanzanie pour le match amical international...
  20. Tukiacha Unazi tuwe wakweli, je ni nani anayechezea Brand ya Simba hivi sasa bila makubaliano ya kimkataba yenye uwazi na yanayoeleweka?

    This is Funny Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu. Mo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…