simba

  1. Simba SC mmetumia vigezo gani kumchagua Kinana kuwa Mgeni Rasmi?

    Siku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii. Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi? NB: Maendeleo hayana chama. Cc; Erythrocyte
  2. Tutangulize Uzalendo mbele kwenye mchezo wa Simba Vs Orlando Pirates

    naweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates. Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali. Wito kwa sisi mashabiki wa Yanga, tujitunze kuwasapoti watani zetu katika hatua hii muhimu, baada ya...
  3. Kuelekea mechi ya kesho dhidi ya Simba Orlando pirates wamepata advantage kubwa ya match fitness kutoka kwa Mamelodi Sundowns.

    Save water drink beer. 🥃🥃 Pasaka njema mimi nimeshaanza kuzitwanga.
  4. N

    Kaizer chiefs wawaonya Orlando kwamba simba ni ya moto ikiwa nyumbani

    Haya wajameni simba lunyasi inajulikana ni hatari sana Kaizer chiefs walionusurika kutolewa mwaka jana baada ya simba kunyimwa penalt kwa konde boy kuangushwa ndani ya sita wanajua moto huo Wamewapa onyo ndugu zao kwamba kesho wajiandae kuvuta pumzi ya moto walisahau tu kuwammbia kwamba huku...
  5. M

    Kama mwana Yanga SC kindakindaki Dismas Ten kaikubali Simba SC Wewe ni nani uikatae?

    "Tukinuniana kwa hili Poa tu ila lazima ifike muda tuseme tu Ukweli kuwa Simba SC ndiyo Timu pekee iliyo set Standards ya Soka la Tanzania na Sisi wengine hatuna budi Kuiga na hata Kujifunza Kwao" Dismas Ten aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC na Mwandamizi wa Uongozi ndani ya Klabu hiyo ya Yanga...
  6. Naombea Simba atolewe na Orlando

    Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu. Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo. Mungu ibariki Orlando!
  7. M

    Siombei lakini natarajia vimbwanga siku ya mechi ya Simba Jumapili

    Naam nawaza utaratibu gani utatumika kuhakikisha kila aliyeingia uwanjani kwa ajili ya mashindano ya quran aweze kutoka kupisha waliolipia viingilio vya mechi baada ya mashindano hayo kuisha. Kumbuka mashindano hayo ya quran kiingilio ni buure kabisa. Lakini bado nawaza, kweli nchi nzima yenye...
  8. M

    Je, nguvu kubwa ya Simba SC iwe ni katika hamasa ya Mitaani au kuiandaa timu Kisayansi (Kiufundi) ili ishinde?

    Najiandaa kuona je, na Orlando Pirates FC nao kabla ya kucheza na Simba SC Kwao Afrika Kusini na wao watahamasisha Mashabiki wao Kuzurula hovyo Mitaani ili Kuujaza Uwanja na Washinde kwa Nyimbo za Hamasa na Tambo za Hekaya za Abunuasi?
  9. UTEUZI: Sophia Simba ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW). Bi. Simba ni Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua Jaji Hamisa Hamisi Kalombola kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma. Jaji...
  10. George Job: Simba haiwezi mechi za mtoano

    Mchambuzi wa michezo kutoka Wasafi Fm, George Job amesema klabu ya Simba bado haijajiandaa vema katika mechi za mtoano. Kikosi cha Simba ilkinaweza kupambana vizuri kwenye mechi za makundi ila linapokuja suala la mechi mbili za mtoano hapo ndipo ulipo mtihani kwa Simba SC. Kwa kauli hiyo ni...
  11. Jionee umaarufu wa Mayele Simba

    Mayele style imeteka Soka la Tanzania. Nini maoni yako kuhusu hiki akifanyacho mchezaji huyu wa Simba?
  12. Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

    Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR). Zaidi ya hayo Sheria za CAF zinataka uwanja kuwa wazi angalau saa 72 kabla ya mchezo. Pamoja na kwamba Wanasema saa...
  13. Haji Manara: Paul Makonda alilazimisha kwa nguvu uteuzi Simba SC, Mo Dewji asilaumiwe hakuwa na namna

    Haji Manara ameendelea kuanika maovu ya Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, kupitia Instagram yake, Haji Manara amesema haya kuhusu Paul Makonda kulazimisha uteuzi katika Klabu ya Simba. Ukalazimisha uteuzi Simba kwa nguvu, ktk hili MO alikuwa hana namna asilaumiwe, angefanyaje...
  14. L

    Je Clatous chama wa simba atacheza robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika?

    wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
  15. Mwamuzi Eli Sasii na mapenzi ya wazi kwa timu ya Simba na chuki iliyopindukia kwa timu ya Yanga

    Ninaandika uzi huu kwa maslahi ya ligi yetu na ustawi wa soka letu liweze kupiga hatua. Katika mchezo wa tarehe 10/4/2022 mwamuzi wa akiba Eli Sasii alionyesha maumivu ya wazi kabisa kutokana na matokeo ya pale Kilimanjaro kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba. Hii imejidhihirisha kwa vitendo...
  16. Timu nyingi zimepigwa kwenye usajili kuanzia Chelsea, Man Utd, PSG, Arsenal, Yanga, Simba

    Chelsea: kumsajili Torres kutoka Liverpool na Lukaku kutoka inter. Man Utd: kumsajili Ronaldo kutoka Juventus. Psg: kumsajili Neymar na Messi kutoka Barcelona. Arsenal: kumsajili Pepe kutoka Lille. Yanga: kumsajili Makambo mara ya pili. Simba: kumsajili Chikwende kutoka Platnum.
  17. Simba sport club. Tuleteeni wafungaji mashine kisawa sawa

    Nimeangalia mechi ya leo ya simba akiwa ugenini pale ushirika moshi akicheza na mwenyeji wake polisi katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Kiuhalisia na ukweli usiofichika simba tuna tatzo la wafungaji/wamaliziaji. Mfungaji anakimbia kabla mpira haujapigwa au anashindwa kusoma position...
  18. FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

    Leo tarehe 10 April 2022 majira ya saa 16:00, Mnyama hatali Sana , mnyama mwenye njaa ,, mfalme wa nyika , Club ya 12 kwa ubora Africa nzima,, club ya 12 miongoni mwa vilabu vya soka Africa nzima, simba sports club atakuwa na mazoezi ya kupasha misuri pale atapofika kumfundisha mazoezi ya viungo...
  19. Manara tumembeba habebeki. Ndo maana Simba walimfukuza. Huyu jamaa ni kirusi

    Manara ana Nyota ya Ufitini na Uchonganishi. Wakati anakuja kwa Steve kuomba asaidiwe usemaji Yanga, mimi nlikuwa mmoja ya watu ambao tulikuwa tunaona Manara kafukuzwa kwa kuonewa Simba. Lakini kwa kipindi hiki ambacho tumekaa naye huyu jamaa ni kunguru. Hafugiki. Kashawachonganisha watu wengi...
  20. Maono: Kati ya Simba na Yanga kuna timu moja leo itafungwa!

    Mimi ni miingoni mwa watu wenye maono sana, leo timu mbili za kariakoo zinacheza katika michezo tofauti. Yanga atakuwa anamkaribisha Geita Gold katika dimba la Mkapa, katika mchezo wa Azam Sports Federation. Simba itashuka dimbani Ushirika Moshi kuwakabili maafande wa Polisi katika muendelezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…