simba

  1. Ufuatao ni 'Mjumuisho' wangu wa 'Kiuchambuzi' baada ya kuiona Simba SC jana katika 'Simba Day' yao

    Heko kwa Msemaji Ahmed Ally amejitahidi, ila kwa Siku zijazo awe na back up ya Mtu mwingine Maarufu, Mchangamshaji na mwenye Sauti ya Juu ya Kimatukio. Golikipa Beno David Kakolanya ameimarika na Kukomaa vyema ila ajitahidi sana kufanyia Kazi 'Footwork' yake ambayo si nzuri na hata Mwenzake...
  2. Je, mnapendelea Jezi mpya za Simba au za Yanga?

    Timu kubwa za nchi, Simba na Yanga, zote mbili zimezindua jezi mpya zao kwa msimu 22/23. Styles zao zinatofautiana sana. Paintbrush elements za Simba kwenye kila jezi zinapigana na alama za vidole za Yanga. Siku hizi si Simba vs. Yanga tu kwenye mada za jezi. Tangu msimu 20/21, GSM na VunjaBei...
  3. M

    Simba msijidanganye kwamba mnayo timu bora kwa kuifunga ST. George

    Nilishangaa Sana simba kwenda kuwaalika st.george ya ethiopia kucheza nao, kweli wamechagua timu ya kupata matokeo hili kuwafurahisha mashabiki wao lakini kama ni kipimo cha kujiandaa kucheza mechi za kimataifa basi wamepotea njia kwa aina ya timu waliyocheza nay. Timu inapiga chenga na...
  4. L

    Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya...
  5. Simba ni dude kubwa sanaaaaaaa,,,,

    Simba ni Simba ,awe amelala au amekufa anabakia kuwa Simba ,Simba anatisha, Simba ni mnyama mkali sana .usijaribu kumzoea ,Simba ni mkali sana ,muwe na adabu Simba ni kubwa sanaaaaa,,
  6. Aliyesema SIMBA inaanzia raundi ya pili akamatwa

  7. TANZIA Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman Kibode (Meya), amefariki Dunia

    Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman kibode (Meya), amefariki usiku wa kumkia leo jtatu, katika Hospitali ya Muhimbili. Awali Iddy alilazwa katika hospitali ya Mwananyamala na juzi usiku alihamishiwa Muhimbili. Idd ni mdogo wa nyota wa zamani, Madaraka Seleman (Mzee wa...
  8. Mech ya Simba day inaanza saa ngap WADAU??

    Mweny taarifa anpe ili nijiandae kushuhudia vyuma vipya vinanolewa
  9. N

    Wakati wanazi wa simba tunasikitika kuanzia chekechea na utopolo embu wafikirie Zamalek jamani

    Tulifanya maombi ya nguvu kuombea njaa Orlando pirates, Etoile du sahel zifeli na against all odds zikafeli mambo yakatarajiwa kwamba simba itaingia kwenye favour ya zile teams 10 kuanzia round ya kwanza Mambo yameenda ndivyo sivyo tuaanzia round ya awali pamoja na waliostahili kuanzia round...
  10. FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

    Mashabiki makini wa Simba SC Mnyama tutakuwa hapa Live Jamiiforums. Mashabiki wa Simba dunia nzima wameendelea na vibe la Simba Day kona zote duniani,huku mashabiki wa Dar Es Salaam wakiendelea kumininika Uwanja wa Mkapa. Simba tutatambulisha kikosi hatari na benchi la ufundi katika msimu wa...
  11. Klabu ya Simba yatakiwa kuheshimu na kuacha kubagua vyombo vya habari

    Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Klabu ya Simba kimelalamikiwa kwa kitendo chake cha ubaguzi na kutoa kauli chafu dhidi ya wanahabari kitendo kilitafsiriwa kuwa ni ukandamizaji wa tasnia ya habari. Hayo yamejili jana katika uwanja wa Benjamini Mkapa, lilipokuwa likiendeshwa zoezi la...
  12. Tiketi za simba zinauzwa buku mbili?

    Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili. Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli? Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO. Kuna shida...
  13. M

    Kuna kila dalili simba kupigwa kanzu kwenye dili la manzoki

    Kuna mambo yanaendelea kimya kimya yanaweza yasiwafurahishe mashabiki wa simba lakini Mpira ni pesa na pesa ni sabuni ya roho,,tujipe muda
  14. Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

    Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23, leo Agosti 7, 2022 wametangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa magoli, Dejan Georgijevic (28) raia wa Serbia kwa mkataba wa miaka miwili akitokea NK...
  15. Unapo-deal na Yanga au Simba kuwa makini Sana

    Unapo deal na simba na yanga kuwa makini uwe Afsa wa serikali au uwe sijui rais wa TFF mwisho wako hautakuwa mzuri. Angalia historia ya yanga ilipotoka fatilia vizuri upatikanaji wa uhuru wa Tanganyika ulipatikana fatilia mchango wa Yanga na historia yake katika taifa hili. Yanga is next after...
  16. Ewe Mwenyezi Mungu naomba atakayetangazwa na Simba SC Saa 9 hii awe ni Ceaser Lobi Manzoki na siyo Mzungu Mserbia

    Haya wale Team Manzoki Wenzangu baneni sasa 'P' zenu Ili huyo Mchezaji atakayetangazwa na Simba SC dakika Moja tu kutoka sasa ( yaani Saa 9 Alasiri ) hii awe ni Manzoki. Kila la Kheri.
  17. N

    Video: Kuna utambulisho wa Mchezaji Simba leo saa 9:00 alasiri

    Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika please naomba iwe manzokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ila kila...
  18. Kati ya Simba na Yanga nani ameua kwenye jezi?

    Haya njooni tuchambue, nani ameua zaidi?
  19. ccm na mirangi rangi Yao (njano, white Red) imefanya niichukue Yanga na Simba

    Nashindwa kuwachukia watu Kwa sabab ya humanity...Ni hayo tu na Uzi tayari
  20. Simba SC tuzindua jezi zake mpya leo

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ile kiu ya mashabiki wa simba juu ya uzi wao mpya watakao utumia msimu huu kitendawili sasa kimeteguliwa. Leo saa tano asubuhi jezi zitazinduliwa kaa mkao wa kula.#we are unstoppable.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…