simba

  1. T

    Kwa Simba hii ya Gadiola Mnene, muda si mrefu haitakuwa tofauti na Coastal Union au Ihefu

    Mhamasishaji Gadiola Mnene atupiwe virago fasta au apelekwe Simba C kabla mambo hayajaharibika. Timu inacheza ki- Ihefu Ihefuna bado anaachwa tu.
  2. Yanga SC 4-1 Singida Big Stars FC | Ligi Kuu Tanzania Bara | 17-11-2022

    90' Mpira umekwisha 85' Shuti la Kagere akiwa na kipa linapanguliwa. 82' Kisinda anakosa goli akiwa yeye na kipa, shuti lake linapanguliwa. 74' Singida wamepata uhai kidogo na wanafanya mashambulizi, Kagere anaipatia Singida goli. 65' GOOOOOOOOOOOOOO! Mayele anafunga goli la nne kwa Yanga na la...
  3. Simba yatambulisha Kocha Mpya wa Viungo

    Klabu ya Simba imemtambulisha Kelvin Mandla kutoka Afrika Kusini kuwa kocha wa viungo (Fitness Coach) wa timu hiyo.
  4. FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

    Kama si Mbiringe bila shaka ni Patashika ya Ligi Kuu Tanzani Bara [emoji1241] kuendelea kupigwa leo Novemba 16, 2022. Mnyama Mkali Mwituni Simba SC [emoji881] kukiwasha na Wababe wa Kusini Namungo FC, katika Uwanja wa Stade de Benjamin Mkapa Dar es salaam [emoji2522] Mchezo unatarajiwa kuwa...
  5. Hili la Muharami Viongozi waSimba mpo sahihi

    Naona baadhi ya Watu ni kama wanalazimishwa kusikiliza au kuimbishwa mapambio yanayohanikiza kwamba Simba haikufanya sahihi kujiweka mbali na hili suala lililomkuta Bw Muharami. Na hata ukiwauliza ni kwa upande upi haswa wao wanaona Simba imekosea hawana hoja ya msingi zaidi ya kung'ang'ania tu...
  6. Ufanyike uchunguzi Klabu ya Simba SC ichunguzwe!

    Ukiunganisha matukio, kuna haja ya kuchunguza hili suala kwa mapana. Mengi yamejifunika
  7. Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya

    Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine. Sambamba na boss wa Cambiaso ================ Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
  8. Simba Panthera - Fact File

    Simba ndiyo mnyama mkubwa kuliko wote katika jamii ya paka. Simba hupatikana Afrika na Asia, idadi yao ikitizamiwa kufikia 23000(elfu 23), huku Tanzania ikiongoza kwa kuwa na idadi ya zaidi kuliko nchi zote. Simba wako katika hatua ya kutoweka (vulnurable). Ndiye mnyama pekee jamii ya paka...
  9. Simba kuna shida kubwa zaidi ya hiki kinachoonekana nje, mambo yanaenda kishkaji-shkaji

    Miezi kadhaa iliyopita mwekezaji wa Simba, Mo Dewji alitangaza kujiweka pembeni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya klabu hiyo, kisha ‘kishkaji’ akamkabidhi nafasi hiyo Try Again, baada ya hapo Mo akapotea, akawa anaonekana kwenye matukio machache ya klabu, ni kama aliamua 'kukata waya' na kuendelea na...
  10. Simba yatambulisha Kocha mpya wa Makipa

    Jina: Chlouha Zakaria Utaifa: Morocco Kwa mujibu wa taarifa ambazo hazijathibitishwa na Uongozi wa Simba SC, kocha Chlouha Zakaria anaweza pia kuhudumu kama kocha wa viungo. ===== Kocha huyo ni Chlouha Zakaria ambaye ametambulishwa leo Jumanne Novemba 15, 2022 ambapo anaungana na Juma Mgunda...
  11. Kocha Mgunda nae sio mfanyakazi wa Simba kwasababu wamemweka kwa muda?

    MUHIMUL Hauhusiani ni unga Je kocha akiwekwa kwa muda sio muajiriwa wa klabu?
  12. Press ya Simba leo

    Muda huu kuna press ya kutoka club kubwa kongwe Tanzania, aka mabingwa wa kwanza baada ya Uhuru wa Tanganyika. Inavyohisiwa ni kusafisha Hali ya hewaa kwani wingu limetandwa na rainbow. Sisi wanasimba kindaki Ndaki tmetega masikio. Najua pia mtatutangazia kocha mpya sijui wa viungo na...
  13. Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

    Uongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa aliyekuwa Kocha wa makipa Muharami Said Mohammed maarufu 'Shilton', hakuwa muajiriwa wa klabu hiyo na wala hakuwa na mkataba na Simba. Simba ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda kwa mwezi mmoja, wakati huo klabu ikiendelea kutafuta...
  14. Ewe Kiongozi Mkubwa Mstaafu Tanzania acha kutaka kuendelea Kumpandikiza Mwenyekiti Murtaza Mangungu ndani ya Simba SC yetu

    Tunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu. Tunajua Ahadi uliyompa ni kumpigia Chapuo kwa Mama Ili amteue Nafasi ya Ubunge au katika Sekta zingine za Ulaji na Kimaamuzi...
  15. Timu ya As Vital club huko iliko inaomba isipangwe kundi Moja na mnyama mkali Simba

    Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital. Hii imetokana rekodi mbaya waliyonayo clabu hiyo dhidi ya Simba Sports club. Jamaa aliendelea kudokeza kuwa ingekuwa mserereko...
  16. FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

    FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Ihefu FC. 90+3' kuelekea kumalizika kwa mchezo, Ihefu FC wanajitahidi kadri ya uwezo kutafuta bao, lakini muda mchache sana. 89' Akpan ameingia kuchukua nafasi ya MTUWilliam...
  17. FT: Bayelsa Queens 1-0 Simba Queens | 3rd Place Match | CAF Women's Champions League | Stade Moulay Hassan, Morocco

    Bayelsa Queens Vs Simba Queens Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu kwa michuano hii ya wanawake. Simba Queens watajaribu bahati yao kuanzia saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki. Live updates zitakujia hapa...ungana nasi
  18. Simba SC tusipozicheza 'Kimkakati' na 'Kimafia' hizi Mechi Tatu za Yanga SC tusahau 'Ubingwa' tena na Msimu huu

    Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani Mara (Musoma), msomi na tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika mechi zao hizi tatu...
  19. M

    Simba jiandaeni kuotesha kichaka kingine cha kujifichia dhidi ya Yanga

    Imekuwa wimbo na ngonjera zinazoimbwa na mashabiki wa Simba kila mara Yanga inapofanya vizuri dhidi yao au michuano ya ndani ya kwamba, Yanga haiwezi michuano ya kimataifa na wao wamewekeza uko. Sasa ni dhahiri shahiri kichaka hicho kinaanza kufyekwa taratibu na kitafyekwa kabisa siku siyo...
  20. Nani anabisha kuwa kupambana hadi ushindi wa Yanga SC jana kulichangiwa na kubezwa mno na mashabiki wa Simba SC?

    Kwa lugha nyingine ni kwamba badala ya kutushangaa na kututukana hadi kutudhihaki watu wa Simba SC GENTAMYCINE nikiwa kinara wao hapa JamiiForums, basi mngetupongeza! Kwani kwa 60% tumechangia kuwajaza ndimu (upepo) wachezaji wenu na wao kuamua kujitoa vile mpaka kushinda na kutinga makundi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…