simba

  1. Simba a.k.a wazee wa coaster

    Timu inayomilikiwa na Tajiri namba moja Tanzania billionaire/trillionnaire Mohammed a.k.a mudy dewji, club hicho chenye utajiri wa kutisha ambao mwanzoni wa msimuu huu waliingia mkataba na mbet wa kiasi Cha billion 26 kwa Sasa wanatumia usafiri coaster na sio ndege kama kipindi Cha nyuma
  2. M/kiti wa bodi ya Simba akili kutofautiana na wadhamini waliowapa basi

    "....Simba kama Taasisi huingia mikataba na wadau mbalimbali na tofauti kwenye mikataba huwa zinajitokeza popote pale na kama Klabu tupo kwenye mazungumzo na wadhamini wetu ili mambo yarejee kama kawaida." "....mabasi yale hayakutafutwa na washabiki ama wanachama bali ni Viongozi ndiwo...
  3. Video: Magoli halali ya Simba dhidi ya Geita, bila bahasha kama wenzetu

    Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya mfumo wa sayansi ya mpira. Tofauti kabisa na wale ndugu zetu magoli ya ujanja ujanja. Magoli ya...
  4. FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

    Mchezo umemalizika Kibu Denis anaipatia Simba goli la tano akimalizia pasi ya Chama GOOOOOOOOOOOOOOOOO 85' Simba inataka kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mpigo Sakho anapiga shuti la mbali nje ya eneo la 18, anafunga baada ya kipa kutoka eneo lake 75' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 74' Geita...
  5. B

    Bosi Simba: Manzoki sawa, Bobosi hapana

    MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefichua ni kweli kuna mipango inafanyika kumhusu Cesar Lobi Manzoki raia wa DR Congo, lakini akaweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna lolote kati yao na Bobosi Byaluhanga raia wa Uganda. Manzoki na Bobosi wamekuwa kwenye rada za Simba tangu...
  6. WANASIMBA WENZANGU NIWAONBE TU MSITEGEMEE MANZOKI KUTUA SIMBA.

    NAatamani sana kama Huu mjadala ungefungwa Rasmi. Cesar Lobi Manzoki. HAWEZI. HAWEZI HAWEZI. HAWEZI KUICHEZEA KLABU YA SIMBA. NAOMBA MJADALA UFUNGWE KABISA sahauni kuhusu Manzoki.
  7. Je, Simba kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu 22-2023?

    Sare anazopata Simba zinamuweka katika hali ngumu ya kurejesha ubingwa pale Msimbazi. Mpaka sasa inabidi Yanga ipoteze angalau michezo miwili ndipo Simba ipate ahueni. Lakini pamoja na yote, swali la Msingi ni kwamba Simba imefikaje katika hali hii? Hapa ndipo kwenye tatizo la msingi. Simba...
  8. K

    Sikilizeni, hakuna Simba bila Yanga na kinyume chake. Mngejua?

    Mwanzoni mwa kuinukia kujua mpira na kufuatilia ilikuwa naumia sana pale timu ninayoipenda kufungwa au kuwa na habari mbaya kama migogoro na mifarakano. Nimefuatilia kwa muda mrefu mpaka nilipokuja kungundua Kuwa Timu za SIMBA na YANGA ni habari nyengine hapa Tanzania. Kwa kweli nilipata tabu...
  9. Inawezekana kweli Barbara Gonzalez ni tatizo Simba

    NIMEONA na kusikia kelele nyingi mitandaoni kuhusu Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Inasemekana amekuwa shida pale Simba. Inasemekana. Nimeona baadhi ya watu wakisema kuwa Barbara amekuwa akikwamisha baadhi ya vitu pale Simba. Tena wanaosema, wanaongea kwa kujiamini kweli. Ni ngumu...
  10. Kuanzia mwakani Simba itakuwa haina tofauti na Ihefu

    Wandugu, Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu, uchawi sasa wnatoboaje kwa mfano? Yule CEO ndiye chanzo cha yote haya lakini kaamua mwakani akimbie...
  11. Barua ya wazi kwa bodi ya wakurugenzi Simba, Mwenyekiti Mangungo, Try again, Mohamed Dewji, Kassim Dewji Magori Matola na wengineo na mashabiki

    HABARI WAKUU. Heshima Nyingi sana kwenu. WAKUBWA Shikamooni. Mimi ni Mpenzi shabiki na Mdau wa mpira wa Miguu. Katika kufuatilia kwangu mpira nikajikuta ninaipenda sana club ya Simba SIMBA SPORTS CLUB. Lunyasi. Niliipenda sana Simba kwa sababu nilimpenda sana style of play. KUPIGA pasi...
  12. M

    Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

    Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi. Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
  13. G

    Tetesi: Yanayoendelea Simba yana uhusiano na kukamatwa kwa unga

    Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo. Mda utaongea zaidi
  14. M

    Tuliotukanwa hapa tuliposema kuwa Simba SC kuna Tatizo Kubwa tunaomba Kuombwa Msamaha

    Na mkimaliza kutuomba huo Msamaha mkubali kuwa kuna Watu Wengine hapa JamiiForums wanayajua yale ya Ndani yaliyojificha zaidi yenu hivyo wakiwa wanayasema hapa JamiiForums muwe mnawashkuru na ikiwezekana hata kuwapigia Saluti sawa? Mimi ndiyo MINOCYCLINE The Chief!!!
  15. Barbara na MO wakiziujulu Manara atarejea Simba?

    Kwavyovyote vile Manara anavinasaba na Simba, aliipenda Simba, alihudumu Simba na ana kadi ya Simba. Sote tunafahamu alifikaje Yanga aliko sasa hivi. Je, kuondoka kwa Barbara na MO Simba kunaweza kumrudisha Manara Simba? Kwanini arudi Simba na kwani aendelee kubaki Yanga?
  16. B

    Simba kwa uwekezaji ule ni ya kukosa basi?

    Habari ya asubuhi wana Simba. Nina mawili ya kusema: Hivi ni kweli Simba imepokonywa bus na wale wawekezaji? Kama ni kweli hii ni aibu kubwa kwa timu kubwa kama Simba kukosa bus la mil 200. Hebu imagine unamkataba na Azam, unamtangaza MO kwenye jezi za Simba, una mkataba na M-bet wa 26B. Mechi...
  17. C

    Simba SC kwanini mnazubaa na kuwa wazembe hivi?

    Inasemekana yafuatayo yanaweza kutokea japo hayana uhakika wa 50%, 75% au 100% kabisa kuwa; ~ Mshambuliaji Ceaser Lobi Manzoki kutua Yanga SC na tayari Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anamalizana naye. ~ Beki Henock Inonga kwenda Amazulu FC ya Afrika Kusini au kutua Yanga SC. ~ Clatous...
  18. C

    Msiyempenda Kocha Msaidizi Matola bado yupo sana tu Simba SC hivyo mtanuna mno

    Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola aliyekuwa visiwani Zanzibar kusoma kozi ya ukocha Leseni A ya CAF iliyokuwa ikifundishwa na wakufunzi kutoka nje ya nchi ametua jijini Dar akiwa amemaliza siku zake 10 za kwanza darasani na kusema anakisubiri kikosi cha timu hiyo kitoke mkoani Tanga baada...
  19. B

    Simba tunahitaji wachezaji watatu tu Januari, 'no panic buy'

    Kwanza kabisa tunashukuru Mgunda Mnene kutufikisha hapa tulipo pamoja na mapungufu yake ya kimbinu mpaka akapata hizi droo nne ambazo zimetuweka mbali na watani zetu. Ili tukimbizane na mbio za Ubingwa plus CAF CL tufike mbali, tunahitaji wachezaji watatu bora kabisa. Tupate Striker mzoefu...
  20. Huyu Refa anayechezesha leo Simba vs Coastal nimempenda jinsi anavyofanya

    Ana wa frustrate sana Simba.... 😂😂😀😂 Anawanyima fouls na hata wakichezewa rough anawachunia. Yaani kifupi simba leo lazima wapigwe iwe iweje. Na anawafundisha kuwa ngangali. Anawaumia meno kinyama. Coastal wapigeni hao mapaka.... Leo wakijitahidi ni draw. Nimekaa hapa. Simba leo hashindi. Piga ua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…