simba

  1. Kati ya Simba na Yanga unahisi Nani ataibuka na ushindi mnono?

    Je unahisi Nani ataibuka na ushindi mnono. Tabiri matokeo yako tujuane. Simba 2-1 wydad Yanga 1-0 rivers Wewe je?
  2. Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

    Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika mechi ya marudiano. Una maoni gani? Comments ziwe fupifupi
  3. Kwanini Simba wamesherehekea mno kuifunga Yanga?

    Nilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la usoni mwanafunzi mgomvi sana na mwenye nguvu wa darasa la saba B aitwae Mathayo hadi akazirai. Huyu...
  4. M

    Confirmed kutoka CAF kwa mwaka huu Timu za Africa Super Cup ni Nane tu Simba ipo na Yanga hawapo

    Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza. Taarifa ikufikie popote Wewe Zuzu uliyedanganywa na Kauli ya huyo Kiongozi kuwa CAF wameshaamua ( wamesema )...
  5. M

    Simba Sasa Ijiandae na Waydad

    Baada ya ushindi wa Jumapili; uongozi wa Simba usijisahau sana Jumamosi kuna match ngumu sana kuliko ya Yanga. Uhamasishaji ufanyike na pia Kikosi kijiandae kwa nguvu zote.
  6. M

    Pole kwa Yanga: Rivers United ya Nigeria yarahisishiwa kazi na Simba, itapiga kwenye mshono ambao Simba iliusababisha!

    Rivers United itapiga kwenye mshono wa Yanga wa tarehe 16/04/2023!! "wananchi" msijifanye hamjaelewa!
  7. Kikosi cha Yanga kilichofungwa na Simba ni sawa na kikosi kile kilichokuwa kinafungwa sana na mzee wa Kiminyio Madaraka Suleimani

    SIMBA VS YANGA;KIKOSI CHA YANGA KILICHOFUNGWA NA SIMBA NI SAWA NA KIKOSI KILE KILICHOKUWA KINAFUNGWA SANA NA MZEE WA KIMINYIO MADARAKA SULEIMANI. Leo 10:15hrs 17/04/20223 Mwaka 1994 timu ya Yanga ilikuwa na timu bora sana lakini kikosi hicho bora kililegezwa na mgogoro mkubwa wa Yanga asili na...
  8. D

    Matola ndiye alikuwa kirusi cha debi ya Simba na Yanga kiufundi bora abakie aliko

    Pengo la matola kwenye Debi ya Simba na Yanga limeonekana! Gemu hizi zilikuwa dili kwa watu! Hongera Simba kwa kumstafisha kwa heshima! Aendelee kubakia hukohuko shule anakosoma Manara, Wawa, Matola na Manula kwenye mechi za debi zilikuwa ni ..........kwao
  9. Simba wameset standards, mipango makini!

    Wanasimbaaaaa! Najua leo rafiki zetu Uto nyuzi nyingi watakuwa wanapita kama hawazioni lakini ndio mpira na utani wa jadi. Simba wameweka mpira wetu kwenye ramani misimu 5 sasa na kufanya hata ligi yetu iongezeke thamani. Hata ubora wa sasa wa Yanga benchmark yao ni Simba kuanzia mfumo wa...
  10. Yanga haijaishinda Simba katika Ligi ya Bara kwa miaka miwili sasa

    Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo 03/07/2021: Simba 0-1 Yanga 11/12/2021...
  11. Yanga waliingia uwanjani kwa kuidharau Simba

    Mechi ya jana imeamulia na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi wa mpira wa miguu ulimwenguni kutokana na kukosolewa kwao kuwa ni kikosi kibovu huku Yanga kwavile wanaongoza ligi na wamepoteza mechi moja tu...
  12. Rais awapongeza Simba SC kwa ushindi dhidi ya Yanga SC April 16/2023

    Nguvu Moja
  13. Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

    Kila wakati Takwimu huwa zinasema tofauti na wana- Yanga wanavyoaminishwa na watu wao wanaowaamini. Juzi Kati hapa almanusra Manara awadanganye Yanga kwamba haijawahi kutokea Timu ya Tanzania kuongoza kundi kwenye mashindano ya CAF ikiwa na Pointi 13. Alipokumbushwa kwamba simba iliwahi...
  14. Nabi: Bao la kwanza la Simba sio halali

    Kocha Mkuu wa Yanga, Nasrdinne Nabi akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo amesema; bao la kwanza walilofunga Simba halikuwa halali na hivyo likawatoa mchezoni hali iliyopelekea timu yake kupoteza mchezo huo. "Kwa waliotazama mechi vizuri hasa waliopo nyumbani watakubaliana na...
  15. B

    Hadi hapa Simba hawadaiwi

    Kwa matokeo ya leo 2-0 dhidi ya Yanga, hakuna shaka tena kuwa hawadaiwi na mashaabiki wao, iwe wakipoteza dhidi ya Wydad na hata wasipochukuwa kombe la NBC au la Azam Confederation. Kazi wameimaliza leo. Tukutane msimu ujao.
  16. Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga 😄

    Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄 Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
  17. Rekodi ya mechi 10 za Simba Vs Yanga zilizopita, sare zimetawala, hakuna mbabe

    Mechi 10 zilizopita baina ya Simba dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu Bara tangu Msimu wa 2017/18, kila timu imeshinda mechi 2 huku sare zikiwa ni 6. 29/04/2018: Simba 1-0 Yanga 30/09/2018: Simba 0-0 Yanga 16/02/2019: Yanga 0-1 Simba 04/01/2020: Simba 2-2 Yanga 08/03/2020: Yanga 1-0 Simba...
  18. Kwa Simba na Yanga, Mayele ni "mfalme" uwanja wa taifa kwa Mkapa

    Kinara wa mabao kwenve kikosi cha Yanga na Ligi Kuu Tanzania Bara, Fiston Mayele mwenye mabao 16 hadi sasa, ameifikia rekodi yake ya msimu uliopita na sasa anasaka kuivunja. Baada ya kukosa tuzo ya ufungaji boramsimu uliopita iliyokwenda kwa George Mpole (Geita) kutamba na kumaliza msimu aki wa...
  19. Manula out Kariakoo derby ya kesho

    MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa. Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno...
  20. FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

    Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli siku hazigandi. Ndio ni Kariakoo Derby, ni Simba Sc Vs Yanga Sc katika dimba la Benjamin Mkapa jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…